Aman iwe juu yenu wakuu,
Rais Magufuli akiwa njiani Wilaya ya Nzega kuelekea Shinyanga amewahutubia wananchi wa Wilaya ya Nzega na kuwapongeza viongozi wote walioshinda katika Uchaguzi wa Serikari za Mitaa.
Aidha, katika hotuba hiyo Raisi Magufuli akigusia kuhusu Uchaguzi wa Serikali za mitaa...
Mh Rais pole na kazi za kututumikia Watanzania. Ninakupongeza kwa kazi kubwa unazofanya katika kuleta mapinduzi makubwa katika Taifa hili la Tanzania.
Kazi zako zinaonekana na zinaungwa mkono na Watanzania wengi. Wachache wanaokukosoa wanatimiza wajibu wao wa kukuimarisha katika majukumu yako...
Rais John Magufuli amemtaka Mkurugenzi wa Igunga kuhakikisha kesho anaitisha kikao cha dharura cha madiwani Igunga kwa ajili ya kubatilisha matumizi ya fedha kiasi cha zaidi ya shilingi bilioni moja ambazo zilipitishwa na baraza la madiwani kujenga mitaro.
Rais Magufuli amesema amewashangazwa...
Nakumbuka wakati Rais anatoa msamaha kufuta kesi kwa wafungwa aliahidi ifanyike na magereza mikoa mingine lakini hadi sasa bado kiza kinene.
Je lilikuwa changa la macho au wasaidizi wake hawakumwelewa?????
Au kwa kuwa Mwanza ni kanda atokayo?
WAZIRI Mkuu Mstaafu, John Malecela amesema kutojitokeza wagombea wa vyama vya siasa vya upinzani kugombea nafasi za wenyeviti za Serikali za Mitaa, Vitongoji na Kata katika Jimbo la Mtera kunaonesha namna Serikali ya Awamu ya Tano ilivyojikita katika kutatua changamoto mbalimbali za kimaendeleo...
Rejea kichwa cha Habari hapo juu kisha anza kutiririka na kuserereka kwani mimi GENTAMYCINE tayari nimeshachoka na hii tabia ya Mheshimiwa Rais kuonyesha anawapenda sana wanajeshi wa Tanzania kuliko makundi mengine yote wakati ukweli ni kwamba kila Tasnia (kada) ya uwajibikaji nchini Tanzania...
Saa chache baada ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kutoa siku 60 kwa Taasisi, Kampuni ambazo Serikali ina hisa chache na Mashirika ya Umma 187 ambayo hayajatoa gawio au mchango kwa Serikali tayari Taasisi nne zimetekeleza agizo hilo leo.
Akizungumza leo, jijini Dodoma, wakati akipokea gawio na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo Novemba 26, 2019 anatarajiwa kuwa na ziara ya kikazi ya siku mbili katika halmashauri ya mji wa Kahama mkoani Shinyanga.
Akizungumzia ujio wa Rais Magufuli mkuu wa wilaya ya Kahama Anamringi Macha amesema Rais...
Hakuna ushindi wenye raha kama wa kishindo. Ushindi wa namna hiyo unatoa hakikisho kuwa chochote unachofanya kinapata baraka kutoka kwa watu.
Kila mmoja hawezi kukupongeza kwa kazi nzuri unayofanya lakini kupitia sanduku la kura ndio utajua mwitikio wa kile unachofanya.
Wiki hii ni ya shangwe...
Read this very carefully guys and take a close look at yourself and the environment that you live in today
Botha speech 1985
THE FOLLOWING is a speech made by former South African President P.W. Botha to his Cabinet. This reprint was written by David G. Mailu for the Sunday Times, a South...
Katika hali ya kindumilakuwili, RAISI akiwa kanisani Dodoma, kanisa katoliki lile linalomwimbia nyimbo za sifa na kuabudu, baada ya kusali alikabidhiwa kipaza sauti aseme neno, alizungumza siasa japo huwa yeye anasema siasa na dini zisichanganywe tena huenda mabili zaidi na kukutanisha wanasiasa...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amewataka wajumbe wa mabaraza ya Ardhi kuwa makini na watu watakaokuwa wanawasimamia, katika kutatua migogoro na kuleta usuluhishi kwa kuwa mkoa huo, umejaa watu wajanja na wanaojifanya kujua kila kitu.
Hayo ameyabainisha leo Novemba 23, 2019, mara...
Rais Magufuli amesema alikuwa anataka kwenda kupiga kura lakini amesikia katika mtaa wao mgombea amepita bila kupingwa.
Rais Magufuli amesema hayo akiwa ibadani katika Kanisa katoliki la mt Imaculata, Chamwino Dodoma.
Dr Magufuli aliwataka waumini ambao uchaguzi unafanyika katika mitaa yao...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la ushauri.
Pongezi kwa taasisi kutoa gawio, Je Rais aanzishe utaratibu sekta binafsi Kuchangia kwa hiari? Atakusanya sana, japo wengine hoi, tutachagia tu.
Kwanza natoa pongezi kwa taasisi kutoa gawio kwa serikali, ila pia naomba kukiri nimeumia kidogo, baada ya...
Rais Magufuli atoa siku 60 kwa Taasisi na Kampuni zenye hisa za Serikali zipatazo 187 ambazo hazikutoa gawio lake Serikalini leo, kufanya hivyo kwa Waziri mwenye dhamana vinginevyo Menejimenti na Bodi zake zivunjwe zenyewe kwa kundika barua
Amesema, “Hapa ni Mashirika 79 tu ndio yametoa gawio...
Anasema ata akifa leo makao makuu yatakuwa dodoma hayawezi kurudi dar maana ni kuvunja sheria anasema anaweza ondoka akaja mtu akataka makao makuu yarudishwe dar never haitatokea itakuwa ni uvunjifu wa katiba.
My take: kumbe yeye akivunja katiba nisawa ila hataki wengine wavunje kama yeye?
Na Elius Weston Ndabila.
+255768239284
Hili si jambo la kawaida la mtu wa kawaida kujitokeza hadharani nakusema ipo siku atamshauri Rais ajiudhulu nafasi yake ya kuliongoza Taifa.
Nimetafakari sana hadi kufikia maamzi haya. Nitajitoa kwa niaba ya Watanzania kumshauri Rais kuachia nafasi yake...
Rais John Magufuli amemsimamisha kazi Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Richard Abwao na mkuu wa upelelezi mkoani humo, John Rwamulema kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazowakabili.
Taarifa iliyotolewa leo Jumamosi Novemba 23, 2019 na msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime inaeleza kuwa...
Rais Magufuli amemuagiza IGP Sirro kuwasimamisha kazi Kamanda wa Polisi wa mkoa na Afisa upelelezi wa mkoa wa Shinyanga kutokana na tuhuma za kuhujumu uchumi.
Kadhalika Rais Magufuli amemuagiza Kamishna mkuu wa TRA kumsimamisha kazi Meneja wa TRA mkoa wa Shinyanga kwa tuhuma za kuhujumu uchumi...
Nauliza tu kwa wajuzi wa itifaki maana sasa kiti cha Rais kimehamia Dodoma, je hapo magogoni patajulikana kama Ikulu ndogo?
Je, ofisi za mkuu wa mkoa zitahamia humo magogoni au pale ilipokuwa wizara ya elimu ili iwe jirani na Ikulu ndogo kama ilivyo katika mikoa mingine?
Nasubiri majawabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.