rais

  1. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya mazungumzo na msomi Prof Patrick Loch Otieno Lumumba, msomi huyu ammwagia sifa lukuki Dr Magufuli

    Rais Magufuli leo amekutana na msomi mbobezi duniani Prof Patrick Lumumba Ikulu jijini Dsm. Rais Magufuli amempongeza Prof Lumumba kwa namna anavyojitahidi kuwashauri viongozi wa Afrika namna ya kuzifanya nchi zao zijitegemee. Nay Lumumba amempongeza Dr Magufuli kwa jinsi alivyoibadilisha...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Harusi ya Rais Uhuru na Margaret Kenyatta

    Ilikua mwaka 1991
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe muige Raila Odinga shirikiana na Rais Magufuli kuijenga Tanzania yetu!

    Ni ushauri tu kwa mwenyekiti wa Chadema na Kiongozi wa Upinzani Bungeni mh Mbowe kwamba afanye siasa za kushirikiana na serikali ili tuijenge nchi yetu. Pale Kenya Kiongozi wa Upinzani mh Raila Odinga yuko mstari wa mbele akishirikiana kwa karibu na Rais Uhuru Kenyata katika kuwaletea wananchi...
  4. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais wetu ameshindwa kabisa kuchukua hatua dhidi ya janga la kamari? Tunaelekea shimoni, nini kifanyike?

    Kila kona ukipita wamejaa mateja wa kamari wenye msongo mkali wa mawazo baada ya kuliwa dau walizoweka, hasa sports betting, muda wote wanaomba hela tu, full vizinga, ili wakabet, na kazi hawataki kufanya wakiamini ipo siku watakuwa mamilionea. Sasa sielewi,serikali inafurahia hili wimbi la...
  5. Chamoto

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Bernie Sanders Ndiye Rais Ajaye Wa Marekani

    Bernie Sanders ndiye atakayekuja kuwa Rais wa 46. Kuna vita Marekani kati ya matajiri na masikini, mfumo uliopo sasa unakandamiza sana watu wa kawaida. Pengo kati ya matajiri na wafanyakazi limezidi kuongezeka. Mfano, watu watatu matajiri kabisa wanautajiri mkubwa kuliko nusu ya wananchi wa...
  6. beth

    JamiiForums Tanzania Sudani Kusini: Rais Kiir na Mpinzani wake, Riek Machar wakubali kuunda Serikali ya Muungano

    Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir na Mpinzani wake Riek Machar wamekubaliana kuunda serikali ya muungano kufikia siku ya Jumamosi kama walivyokubaliana. Hatua hiyo inafuatia mkutano uliofanyika katika Ikulu katika mji mkuu wa Juba siku ya Alhamisi. Rais Kiir ameahidi kuwalinda viongozi wa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Sio vema wala haki viongozi wa kisiasa kuwakamata na kuwaweka mahabusu madaktari

    Rais Magufuli amesema si vema wala haki viongozi wa kisiasa kuwakamata na kuwaweka mahabusu madaktari. Rais Magufuli amesema hatoi kinga ya moja kwa moja ila anawatahadharisha viongozi wa kisiasa kuwa siyo jambo la hekima na busara kuwaweka rumande madaktari Source ITV habari My take...
  8. Influenza

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Stella Nyanzi aliyehukumiwa kwa kumtukana Rais Museveni Facebook, ameachiwa Jaji akisema alihukumiwa kimakosa

    Mwanaharakati Stella Nyanzi aliyefungwa akielezwa kuwa alimtukana Rais wa Uganda, Yoweri Museveni ameachiwa huru huku Jaji akieleza kuwa alifungwa kimakosa Msemaji wa Magereza, Frank Baine amesema Stella alirudishwa katika gereza alilokuwemo lenye ulinzi mkali kwenda kuchukua vitu vyake baada...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar: Madaktari wamuangukia Rais Magufuli, amwaga ajira 1,000 za Madaktari, aelezea alivyozimia siku mbili mbele ya Zainabu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 20, Febuari, 2020 anazungumza na Madaktari pamoja na watumishi wa Sekta ya Afya katika Hafla Maadhimisho ya Siku ya Madaktari Nchini inayofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere...
  10. Muokota Makopo

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli mtumbue Bosi wa TTCL anaihujumu kampuni

    Shalom, Niende moja kwa moja kwenye mada. Mh Rais tunaomba umtumbue boss wa TTCL haiwezekani tangu apewe uongozi mwaka 2016 mpaka leo kampuni ipo ovyo. Kampuni haijiongezi na pia huyo boss sio mbunifu kabisa. Yaani 52% wa watumiaji wa TTCL hawajui menyu ya kuangalia salio ipoje. Kampuni haina...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Mama Samia: Wapinzani wana hoja nzuri, zisizojibiwa na Mawaziri

    February 17, 2020 FULL HISTORIA YA MAMA SAMIA Mama Samia anakubali hoja nzito za wapinzani, nilikataa pendekezo la kuwa Makamu wa Rais Makamu wa Rais wa serikali ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Hassan Suluhu asema kilichomsukuma kuingia katika siasa ni maoni na hoja za mashiko za...
  12. Charlzdeo 97

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mheshimiwa Rais Dr. John Pombe Magufuli

    Habari Mh rais Dr John Pombe Joseph Magufuli, Pole kwa majukumu mazito ya nchi kwa maana ya kitaifa na kimataifa kwa ujumla. Awali ya yote tunatoa pongezi za dhati kabisa kwa serikali yako ya awamu ya tano, chini ya uongozi wako kwa kazi nzuri ulizozifanya na unazoendelea kuzifanya katika...
  13. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, fanya mabadiliko Jeshi la Polisi

    Mh Rais wewe kama Amiri Jeshi Mkuu huu ndio wakati kulifanyia mabadiliko Jeshi la Polisi. Liwe jeshi la kisasa ambalo lina askari wenye weledi na maadili. Fanya mabadiliko liwe Jeshi la kulinda raia na mali zao na sio jeshi la kulinda watawala (legacy iliyoachwa na wakoloni). Fanya mabadiliko...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi atekeleza agizo la Rais Magufuli, aikabidhi Halmashauri ya Kigamboni ekari 715 za ardhi

    Waziri wa ardhi mh Lukuvi leo ametekeleza agizo la Rais Magufuli kwa kuikabidhi halmashauri ya Kigamboni ekari 715 zilizokuwa za Quality group iliyozimiliki kupitia International Village ltd. Rais Magufuli alitoa siku 7 kwa Waziri Lukuvi awe ameikabidhi ardhi hiyo kwa halmashauri ya Kigamboni...
  15. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa niliyoyashuhudia ibadani Kenya ni sahihi kabisa alichofanya Rais Magufuli kuzuia mikutano holela ya kisiasa hadi wakati wa kampeni

    Jana nimebahatika kuhudhuria ibada katika Kanisa moja pale Mtwapa katika pwani ya Kenya, ama kwa hakika ibada iligeuka kuwa " kama" mkusanyiko wa wanasiasa. Watu wanazungumzia nani awe Rais wa Kenya baada ya Uhuru kanisani wakibishana juu ya William Rutto, Raila Odinga na Gideon Moi...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Suala la wastaafu kutolipwa kiinua mgongo(Pensheni) kwa wakati

    Katika biashara yangu ya ujasiriamali nimetokea kuwakopesha sana walimu na hivi karibuni nilikopesha walimu wanaokaribia kustaafu na wamekuwa wanastaafu lkn hawalipi rejesho. Sasa katika hawa niliowakopesha nimewauliza mbona Rais aliwahi kutoa maelekezo penshni zisichelewe inakuwaje? Majibu...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais wa Senegal asema nchi hiyo hairuhusu ushoga

    RAIS wa Senegal Macky Sall ametetea hatua ya taifa lake kupiga marufuku mapenzi baina ya watu wa jinsia moja, wakati wa ziara ya Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau. Mataifa 28 kati ya 49 yaliyoko Kusini mwa janga la Sahara yameweka sheria zinazopiga marufuku shughuli kama vile ushoga na...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Natarajia kufungua shauri la kikatiba kuhusu Ibara ya 46(3) Inayoenda kinyume na ibara 13(1) katika mahakama Kuu ya Tanzania

    Habari wanabodi? Heri ya siku ya wapendana nao. Ni matumaini yangu kwamba wote hamjambo humu ndani. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Ni kwamba mwishoni mwanzoni mwa mwezi wa tatu natarajia kupeleka Shauri mahakama kuu ya Tanzania kuhusu uhalali wa Ibara ya 46(3) ya Katiba ya...
  19. technically

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Serikali ya Rais Magufuli kichekesho cha karne

    Aliingia madarakani mwaka 2015 na kwa mjibu wa TRA toka kipindi icho anakusanya 1.3 trion *50 miezi aliyokaa madarani. amekusanya trion 65. Na kakopa zaidi ya trion 25 jumla ni trion 90 Wakati huo. Kapunguza mikopo ya watoto chuo kikuu, wanafunzi bado wanakaa chini, ajira za walimu hakuna...
  20. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Walinzi wa Kenya na Rwanda watifuana kwenye mazishi ya Rais Moi

    Wadau wa maswala ya intelijensia hii kitu imekaaje? Hakukuwa na coordination kati yao? ========== Rwandan President Paul Kagame’s arrival at the Nyayo Stadium to attend the national prayer service for the late former President Daniel Moi was marked with chaos. A video posted by the Daily...
Back
Top Bottom