rais

  1. Japhet Karibu

    JamiiForums Tanzania Covid 19 imemrudisha sana nyuma Rais wetu Magufuli kwa aliyoyatarajia kuifanyia Tanzania

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza na tunavyojionea kwa sasa kutokana na huu ugonjwa wa Corona matarajio ya Rais wetu mpendwa kutaka kuifikisha nchi yetu katika uchumi bora imefifia kutokana na tatizo hili. Japo mpaka sasa bado namuona Rais wetu akiwa bado ana matumaini hayo ya kuifikisha...
  2. technically

    JamiiForums Tanzania Ukiutazama Utawala wa Rais Magufuli kwa upande mwingine unatoa somo kali sana

    Mwigulu Nchemba wakati ni Waziri wa Mambo ya Ndani nilitoka nikamshutumu waziwazi kupotea kwa Ben Saanane, Mauaji Soweto na kuuawa kwa Police wetu kule Mbagala ila alianzisha uzi humu kunishambulia kwamba hakuna ninachokijua ila kama angejiongeza angejiuzulu kuliko kungoja kutimuliwa kama mbwa...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Ni hatari kufanya uchaguzi wa Rais katika kipindi hiki cha COVID 19

    Dunia nzima inapita katika kipindi kigumu sana kisiasa, kiuchumi na kijamii. Shughuli zote za kijamii, kiuchumi na kisiasa zinafanyika kwa ugumu sana. Tumeshuhudia shule zikifungwa, ndege haziingii wala kutoka, utalii ukisimama mabisa, biashara zikidorola, hofu ya ugonjwa na matumaini ya maisha...
  4. Superbug

    JamiiForums Tanzania Housegirl wa Rais Karume alivyoniokoa soko la Sabasaba Morogoro wakati tunatoka Malawi. Dada, barikiwa popote ulipo - uliniokoa

    Duniani bado kuna watu wema. Nakumbuka Housegirl wa mh Rais Karume tulipanda basi toka Malawi. Miaka ya 2007/8. Nilimpigisha Sana story njiani mpaka akafurahi sana. Tulipofika Msamvu usiku kabla stend mpya haijajengwa wakaja wahuni wengi including vibaka. Yule dada kwa kutambua hatari iliyokuwa...
  5. Superbug

    JamiiForums Tanzania Wanaomsifia Magufuli leo kesho Lisu akiwa Rais watalamba matapishi yao?

    Naomba kuwauliza wote waliounga juhudi za Rais wetu mpendwa Magufuli je kesho Tundu Lisu akiwa RAIS je watageuka na kuanza kumponda Magufuli na kumsifia Tundu Lisu? Je TBC itaanza kuimba nyimbo za kumsifu Lisu na wataimbaimbaje? Hebu tufikirie ulimwengu unavyoweza kubadilika kwa ghafla kwa...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania "Mimi ni Mwenzenu Hapa, Sijabadilika ni Yule Yule "KaJoni" - Ni Maneno Simple, Humble and Down to Earth Yenye Maana Kubwa!

    Wanabodi, Hili ni bandiko la hoja ngumu zinazoitwa abstract, na zinahusu kitu kinachoutwa psychoanalysis, mtanisamehe, sikijui Kiswahili cha abstract wala psychoanalysis, lakini inahusu kumsikiliza mtu kauli na kuibaini kama inatoka moyoni au mdomoni. Ili uweze kuibaini kauli ni ya kutoka moyoni...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kudhibiti wahujumu uchumi: Mzee Kimiti amfananisha Rais Magufuli na mpambanaji shujaa Edward Moringe Sokoine

    Mzee Paul Kimiti ambaye amewahi kushika nyadhifa mbalimbali nchini ikiwemo ubunge, ukuu wa mkoa na uwaziri kuanzia enzi za mwalimu Nyerere amemmwagia sifa za kutosha Rais Magufuli. Mzee Kimiti anasema katika kupambana na wahujumu wa uchumi wa taifa letu Dr Magufuli anafanana sana na aliyekuwa...
  8. F

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Wadau nasikia Rais Museven kapiga pushups na kukimbia kuliko hata kijana mdogo

    Wadau mada hapo juu yajitosheleza, siamini nilichosikia juzi BBC Radio- Swahili.
  9. Chibudee

    JamiiForums Tanzania CHATO: Rais Magufuli asema Serikali haitafunga mipaka wala kuwazuia watu kutoka ndani ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona

    Amesisitiza kuwa Serikali imeamua kutowazuia Watu ndani ya nyumba zao wala kufunga mipaka kwa kutambua madhara mkubwa yanayoweza kutokeza kwa kufanya hivyo. Aidha, amesema madhara hayo yanaweza pia kuziathiri nchi 8 ambazo zinatengemea kupata huduma na bidhaa kupitia Tanzania hususan bandari ya...
  10. sabuwanka

    JamiiForums Tanzania Rais Yoweri Kaguta Museveni anatufundisha mazoezi ya viungo ya ndani

    Museven anatushauri tufanye mazoezi ya viungo ndani ya nyumba au nyumbani katika kipindi hiki cha ombwe la corona
  11. Rich Pol

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya marais wenye elimu kubwa Afrika, Rais Magufuli ashika namba tano

    Sio tu kwamba wana madaraka makubwa ya kisiasa nchini mwao, bali wana elimu kubwa kwenye fani mbalimbali jambo linalothibithisha usemi wa Kiingereza wa “readers are leaders,” yaani viongozi ni watu wenye hulka ya kusoma sana. Hii ni orodha ya wakuu wa nchi za Afrika wenye elimu kubwa zaidi...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, kwa hii Kauli yake dhidi ya Rais Dkt. Magufuli, huyu Mchungaji ameponya tatizo au sasa ndiyo amelizidisha zaidi?

    "Makabila yote yana umoja wao, sisi hatukuwa na umoja kabisa hatuna desturi kama za Wachaga wanavyokuwa pamoja mwishoni mwa mwaka, niliamua kuwaunganisha pamoja kuna Watemi wa Kisukuma ukienda kule Usukumani utawapata watu. Lengo lilikuwa ni kuwa pamoja katika kusaidiana, tuwe pamoja na...
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ama kweli nabii hakubaliki nyumbani. Je, Magufuli ni nabii? Tanzania wanambeza, Afrika wanamlilia! Tanzania yapigiwa mfano Magufuli awe Rais wa Afrika

    Wanabodi, Kila nipatapo nafasi, huwa naandika makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", makala hizi huwa zinachapishwa na magazeti mbalimbali, hivyo Wahariri kuweni free kuitumia makala yangu yoyote, na be free kui edit kwa kiwango chochote utakacho ona inafaa, maana hata mimi sitaki tena...
  14. Nyenyere

    JamiiForums Tanzania Unabii kuhusu mh. rais J. P. Magufuli

    Unabii huu ulitolewa mwaka jana na mtumishi wa Mungu Dr. Ian Ndlovu wa Zimbabwe.
  15. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 10-Year Jail Sentence for Kilifi DG - Uhuru Recommends

    Wakati naendelea kutafakari juu ya yule mama aliyetoroka katika karantini na kukamatwa na DC Kasesela huko Iringa pia yule jamaa aliyotoka Dubai na kutua JNIA Dsm na kukamatiwa Mwanza akiwa na maambukizi ya Corona ndio ghafla nakutana na mkwara wa Rais Kenyatta wa Kenya. Rais Kenyatta anasema...
  16. God'sBeliever

    JamiiForums Tanzania Utata kifo cha hayati Abeid Karume

    Miaka 40 iliyopita, Aprili 7, 1972; Rais wa Serikali ya awamu ya kwanza ya Mapinduzi na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, ambaye pia alikuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Abeid Amani Karume, aliuawa kwa kupigwa risasi katika mazingira na sababu za...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar balozi Idd Seif yuko kwenye karantini ya Corona

    Balozi Seif Idd anasema baada ya kutoka Cuba ameamua kujiweka katika karantini ya siku 14 nyumbani kwake. Source ITV habari!
  18. D

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Rais John Pombe Magufuli - Madaktari Bingwa Wabobezi na TCU

    Mheshimiwa Rais! Hongera na Pole kwa majukumu makubwa uliyopewa na Watanzania. Nikiri kwamba barua yangu hii, imechagizwa na Mkutano wa Madaktari Tanzania wa mwaka huu. Bahati mbaya Dr. Elisha Osati alisahau kuwasilisha hili. Mheshimiwa Rais, toka umeingia madarakani umeokoa kiasi kikubwa cha...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nchi ya Rwanda na Rais wake Paul Kagame wamekuwa mfano bora na wa kuigwa katika kupambana na COVID-19

    Serikali ya Rwanda kupitia Rais wake imefanya yafuatayo.. 1. Inawajali Wananchi wake mara kwa mara juu ya Ugonjwa 2. Inatoa Msaada wa Vyakula bure kabisa kwa Wananchi wake 3. Inatoa bure kabisa Vifaa vya Kujiinga na Ugonjwa kwa Wananchi wake 4. Waziri wake wa Afya hana Unafiki katika Kutoa...
  20. Magonjwa Mtambuka

    JamiiForums Tanzania Maganja: Zitto hafai kuwa Rais, akipewa nchi atauza hadi watu wake

    Jamaa kajitoa.
Back
Top Bottom