rais

  1. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais mstaafu Kikwete hakupewa nafasi ya kuongea katika uzinduzi wa Kavazi la Dkt. Salim?

    Jana nilipata wasaa wa kufuatilia mubashara uzinduzi wa Kavazi la Mwanadiplomasia maarufu Dr Salim Ahmed Salim. Watu wengi walipata nafasi ya kusema machache juu ya Dr Salim wakiwepo mawaziri wastaafu na hata wengine kutoka kada mbalimbali za utumishi. Cha ajabu uzinduzi wa Kavazi ulimalizika...
  2. Msanii

    JamiiForums Tanzania Rais hawezi kumchukulia hatua RC Chalamila kwa sababu anamuogopa?

    Kuna video inasambaa ambapo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akijinasibu kuwa na uwezo wa kujitwalia sheria mkononi na hakuna wa kumfanya lolote. Hii ni mara nyingine tena Chalamila akijinasibu kuwa bingwa wa kuvunja sheria na taratibu bila kuogopa yeyote. Hapo awali akiwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya...
  3. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Bandari ya Mombasa Haitabinafsishwa

    Kauli hiyo ya Rais wa Kenya inafuatia uwepo wa taarifa kuwa Serikali ina mpango wa Kubinafsisha Shughuli zote za Uendeshaji wa Bandari ya Mombasa, taarifa ambazo Ruto amezikanusha na kueleza Serikali yake inapanga kupanua Bandari kwa nia ya kuongeza utendaji kazi na kutoa ajira kwa vijana. Ruto...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Chuo cha Diplomasia sasa kitaitwa Chuo cha Dkt. Salim Ahmed Salim

    https://www.youtube.com/watch?v=Y8ALXkIaiow Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa shughuli ya Uzinduzi wa Tovuti ya Hifadhi ya Nyaraka za Dkt. Salim Ahmed Salim, leo Septemba 30, 2023 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, Dar es Salaam. Maktaba hiyo ya...
  5. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Uzalendo umeshuka na kutoweka kwa Watanzania bada ya Rais Samia kurithi Urais. Watanzania hawamuaamini kwa kila kila jambo

    Mitaani anaonekana ni rais anaendesha nchi kama picha tu huku wanaomua nchi iende vipi wapo kando . Ameonekana ni rais ambaye hana maamuzi ya msingi. Wanaoiba mali za umma kwa ufisadi mkubwa yuko nao. Watumishi wa hali ya chini wakiiba hata mil 5 anag'aka. Anaendesha nchi kwa kwa kudhibitiwa...
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania Rais Karia aongezewe muda TFF atake asitake

    Nimekuwa mkosoaji mkubwa wa TFF kutokana na sababu za waamuzi na upendeleo, lakini mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Karia amefanya na ziada kwenye mpira wetu. Amevunja rekodi nyingi kwenye tasinia ya mpira ambazo hazitaki maelezo mengi kuyataja. Kwakuwa amefanya na ziada basi na wadau...
  7. Egwugu

    JamiiForums Tanzania Pwani: Watu wametakiwa kulipia square meter moja kwa sh6,000/= Ili kufidia kile eti kinachoitwa fidia kwa aliyekuwa muwekezaji miaka 30 iliyopita

    Ni wananchi wanaopatikana ndani ya mkoa wa Pwani, Kibaha mji katika mtaa wa Viziwa ziwa. Hari si shwari hasirani, unyanyasaji huu na tamaa za viongozi huko chini inawahangamiza wananchi wa Tanzania na raia pasipo kuwepo na mhamiaji. Ni kaeneo kadogo kakiitwa "VIMISA". Hapa ndo panapoongelewa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Daktari aliyemkosoa Rais wa Burkina Faso kushindwa kushughulika na ugaidi apelekwa kukabiliana na ugaidi huo

    Wakuu, Habari hii imesambaa kwenye mitandao ya kijamii, kwamba huyu Daktari baada ya kumkosoa Rais wa Burkina Faso Kpt. Ibrahim Traore kuhusu kushindwa kupambana na magaidi, alikamatwa, akavishwa magwanda kwenda kupambana na magaidi hao kwakuwa yeye analiweza suala hilo kuliko jeshi. Hii...
  9. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Mijitu hii iliyoshindikana unaishia kuiambia "STUPID"?

    Ukihitaji salamu soma kwanza hizi nondo, tofauti na hapo utaambulia chuya! Wakazi wa Pemba & Unguja ni wakazi wa jamii ya Kiswahili ambayo hufanya mambo Ki-Goi Goi mnoooo!,Hii imepelekea hata viongozi wanaopatikana kutoka hizo pande mbili kutokuwa na misimamo mikali kama watu wa...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hurumia wazee waliolitumikia taifa kwa uaminifu leo wanalipwa Tsh 3,000 kwa siku

    Raisi wangu Samia naandika post hii nikiamini kwa huwa unapitia jukwaa hili kama siku moja ulivyotwambia. kama siyo wewe kuusoma mwenyewe basi naomba wasaidizi wako wakufikishie ujumbe huu. Kuna wazee wastaafu waliolitumikia taifa hili kwa uaminifu, na unajua kuwa huko myuma hapakuwepo ujanja...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais Biden asema Trump ni tishio kwa Demokrasia

    Rais wa Marekani, Joe Biden, amezidisha mashambulizi yake dhidi ya rais wa zamani Donald Trump, Alhamisi, katika hotuba kali ambayo amewahi kutoa hadi sasa, kwamba rais huyo wa zamani na mgombea anaeongoza katika chama cha Republikan, ni kitishio kwa desturi na taasisi za kidemokrasia za nchi...
  12. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto aagiza Wizara ya Mawasiliano kuandaa Sheria itakayowezesha Ushindani wa Kidigitali

    Rais William Ruto ametoa maagizo hayo na kueleza Serikali yake imeweka nia ya kutengeneza mazingira yenye Ushindani ikiwemo kuongeza ushawishi kwa Makampuni ya Teknolojia kwaajili ya kuwekeza zaidi Nchini humo. Kauli ya Ruto inakuja siku chache tangu aanze ziara ya siku 10 katika Mataifa ya...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Prof. Kennedy kutenguliwa siku moja baada ya kuapishwa kuwa Katibu Mkuu Wizara nyeti ya Mambo ya Nje kuna shida katika "Vetting" za Viongozi?

    Juzi Mhe. Rais Rais alimteua Prof. Kennedy Gaston kuwa Katibu Mkuu wizara ya mambo ya nje (anayeshughulikia ushirikiano wa Afrika Mashariki). Ijumaa tar. 1 akaapishwa huko Zanzibar. Jumamosi akarudi nyumbani Dsm. Jana jumapili akaenda kanisani kutoa shukrani kwa kuteuliwa lakini jana usiku...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Rais amtoa hofu Balozi Yakubu: Si demotion. Tunataka mkakijenge kitengo kwa nguvu zote

    Negative plus Negative 🟰 Positive Don’t think it’s a demotion simply means…😂😂😂. Uzuri ni kwamba Rais akikuteua kwa nafasi yoyote ile juwa kwamba wewe ni jembe na anakuamini utamsaidia. Watanzania ni wengi, Rais akikuamini wewe nenda kapige kazi kweli kweli. Mamlaka aliyo nayo Rais anapanga...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ampa miezi 6 Mkurugenzi mpya wa TANESCO kuondoa kero ya kukatika Umeme

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo September 26,2023 amewaapisha Viongozi mbalimbali Wateule Ikulu jijini Dar es salaam ambapo pamoja na mambo mengine amempa miezi sita ya matazamio Mkurugenzi Mkuu mpya wa TANESCO, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga na kumwagiza kuwa baada ya hiyo miezi...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia yalituliza Taifa na Kukata kiu ya Watanzania juu ya changamoto ya umeme

    Ndugu zangu Watanzania, Leo Rais samia Amekata kiu ya watanzania na kulituliza Taifa ambapo muda mwingi walikuwa wanataka kusikia kauli yake juu ya changamoto ya kukatika kwa umeme. Kwa utulivu ,upole,uthabiti na uimara wa hali ya juu sana amelieleza Taifa sababu ya chagamoto hiyo na mikakati...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tuna ‘crisis’ ya umeme, tunafanya ukarabati wa mashine

    Akizungumia kuhusu changamoto ya kukatika kwa umeme, Rais Samia Suluhu Hassan amesema mitambo haikufanyiwa maboresho kwa muda mrefu, hivyo maboresho yanapofanyika baadhi itazimwa na ndio maana imesababisha upungufu wa umeme
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Maharage ana biashara ndani ya TTCL ndio maana nimemtoa

    https://www.youtube.com/watch?v=JHMCidEdAKY === Rais Samia amesema amemhamisha Maharage Chande kutoka TCCL ili kuondoa mgongano wa kimaslahi kwa kuwa ana biashara na taasisi hiyo. "Maharage tumekutoa TANESCO na nikachukulia uzoefu wako wa DSTV nikaona sekta ya TTCL ingekufaa zaidi. Sasa baadae...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Samizi ashiriki kupokea madawati 50, washuhudia mamilioni ya Rais Samia ujenzi wa shule

    Jana Jumatatu Septemba 25, 2023 Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, Dkt. Florence George Samizi ameambatana na Mkuu wa Wilaya ya Kibondo, Col. Aggrey Magwaza pamoja Mkurugenzi wa Benki ya NMB Kanda ya Magharibi Seka Urio katika mapokezi ya madawati 50 yenye thamani ya milioni tano kutoka...
  20. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Kiintelijensia: Magonjwa 10 yatakayosababisha kifo cha TTCL

    1. Hapo zamani mtaji wa TTCL uliporwa na kina Mwandosya na kupelekwa kampuni mpya ya Airtel, ambayo sasa ni kubwa kuliko TTCL, na mshindani wa TTCL. 2. Kuna wakati, kila mwaka serikali ilikuwa inaleta bilioni 1.8+ kwa ajili ya network operations and maintenance, kazi inayosimamiwa na Head of...
Back
Top Bottom