rais

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbunge asema mbele ya Rais Samia kuwa Umeme umekatika mara 21 ndani ya siku mbili

    Rais samia akiwasalimia Wananchi wa Somanga akiwa njiani kuelekea Jijini Dar es Salaam https://www.youtube.com/watch?v=3F82U8xtIb4 MBUNGE: UMEME UMEKATIKA MARA 21 NDANI YA SIKU MBILI Mbunge wa Kilwa Kaskazini, Francis Ndulane akielezea changamoto ya umeme kukatika katika Jimbo hilo na...
  2. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Waziri Ulega: Rais Samia unawaonesha kwa vitendo wasemaji wa ovyo ovyo, vizabi zabina

    Akiwa kwenye sherehe ya uzinduzi bandari ya Uvuvi Kilwa Masoko, Waziri wa Uvuvi amerusha mawe kwa raia wote waliokuwa wanapinga uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam wakidai kwamba kwa uwekezaji ule basi nchi haitoweza kuendeleza bandari nyingine yoyote.Amewaita raia hao vizabina Nanukuu "Wako...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kipande cha neno la shukrani kwa Rais Samia kutoka kwa mnufaika wa boti za uvuvi Lindi, atakuwa anajua hata mwani ukoje kweli?

    Mmoja ya wananchi aliyechaguliwa kutoa neno la shukrani kwa Rais Samia, baada ya Rais kukabidhi boti za uvuvi, ikiwemo boti za mwani mkoani wa Lindi leo tarehe 19/9/2023.
  4. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kufutwa kwa leseni ya utafiti wa madini pl/6973/2011 iliyokwisha muda mwaka 2020, baada ya agizo la Doto Biteko kupuuzwa

    Wananachi wa Kijiji cha Itumbi, Kata ya Matundasi, kwa ujumla wao, wakishirikiana na wachimbaji wa madini wadogo wanaomba Mh Waziri wa Madini kupitia Tume ya Madini , kuifuta leseni ya utafiti PL 6973/2011 inayomilikiwa na kampuni ya Dondoro Minerals Limited. Leseni hiyo ya utafiti...
  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa yupo kwenye "Mchezo wa kutunzwa" maendeleo, tutamtunza

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema ‘Mcheza kwao hutunzwa’ hivyo ni lazima Serikali ipeleke maendeleo Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi ili kumtunza kwa maendeleo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo hilo kwakuwa kazi yake ya kuwatumikia Watanzania ni kubwa hivyo...
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania Je, Tundu Lissu anazo sifa za kuwa Rais wa Tanzania?

    Rais wa nchi yetu awe na sifa zipi? Je, ni nani anazo sifa nyingi za kuwa Rais ajae? Je, Tundu Lissu anazo sifa hizo pia?
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia arudisha matumaini Mbarali

    Ni kuhusu mgogoro wa ardhi katika eneo la Bonde la Mto Usangu. Akubali Wananchi kuendelea kulima Na MWANDISHI WETU, Mbarali MAKAMU Makamu Mwenyekti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Abdulrahaman Kinana amewaambia wananchi wa Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kuwa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Edgar Lungu aishtaki Serikali kwa kumzuia kusafiri

    Rais Mstaafu wa Zambia, Edgar Lungu amefungua mashtaka hayo akidai Mamlaka za Nchi hiyo zilimzuia kwenda Nchini Korea Kusini kwaajili ya kuhudhuria Mkutano wa Amani. Amesema alikutana na pingamizi la safari yake na kushushwa kutoka ndani ya Ndege huku akitajiwa sababu ni kutaka kusafiri bila...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Shule ya Mvinza Kagerankanda haina Madarasa na Madawati. Waandikia Majivu

    Shule ya Msingi Muvinza iliyopo Kata ya Kagerankanda, Wilaya Kasulu Mkoani Kigoma ina changamoto ya upungufu mkubwa wa madarasa na madawati hali nayowafanya wanafunzi wengi kusoma nje na wengine kusoma wakiwa wamekaa chini katika madarasa machache yaliyopo. Wanafunzi ambao wameanza elimu ya...
  10. Replica

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Ruangwa wamwambia Rais Samia hakuna changamoto yoyote ya kufanyia kazi

    Rais Samia Suluhu amesema amekuta Ruangwa hali ni tofauti na maeneo mengine ambapo kote alikopita amepokea changamoto nyingi za kwenda kufanyia kazi, lakini Ruangwa wamemwambia hawana changamoto yoyote, Ruangwa wametaja mazuri waliyofanyiwa na Serikali. Rais Samia amewapongeza mkoa wa Lindi na...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Leo Waziri Mkuu Majaliwa ni kusifia tu, kila mara utamsikia "Piga makofi mengi kwa Rais"!

    Leo 18/9/2023 Rais Samia anafanya mkutano Ruangwa Lindi, jimboni kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. Majaliwa kila akiongea leo kidogo tu piga makofi mengi kwa Rais, Mh Rais umeleta maji piga makofi kwa Rais, kuna barabara piga makofi kwa Rais, piga makofi kwa Rais, piga makofi kwa Rais...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Wanawake Ruangwa wagalagala chini kufurahia ujio wa Rais Samia, wasema hawakutegemea ujio wake hususani kwa Waziri Mkuu!

    Jana 17/9/2023 Rais Samia alivyofika Ruangwa baadhi ya wanawake walimpokea kwa kugaladala chini, wakisema hawakutegemea kama Rais Samia anaweza kufika Ruangwa na kwamba wanashukuru sana.
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Kutangaza nafasi za ajira kwa watu "Wa ndani ya NSSF" ni Ubaguzi, Rais Samia ingilia kati, unachonganishwa na wananchi!

    Haiingii akilini NSSF wamepata wapi huu ujeuri wa kuamua kuwatenga na kuwabagua watanzania wengine wote ili kuajiri wateule wao tu waliopewa nafasi kinyemela ya mikataba na kwa gia ya "kujitolea". Lazima nyuma yake kuna vigogo vinasukuma hii agenda nyuma ya pazia! Haishangazi yalishaanza...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mzee Mwinyi: Unaibu Waziri Mkuu haupo kwenye Katiba yetu

    Nimenukuu maneno ya rais Mstaafu kutoka kwenye kitabu chake ambapo alikua akizungumzia suala la yeye kunteua Lyatonga Mrema kama Naibu Waziri Mkuu. Mwinyi amekiri bayana kua cheo hicho hakipo kwenye katiba. Kwa muktadha huo,je Rais Samia hana washauri wazuri ama haoni kua amevunja katiba...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni jasiri mpambanaji

    Ndugu zangu Watanzania, Wakati wenzetu Wakenya kwa sasa wanakabiliwa na Tatizo la Bei kubwa ya Nishati ya mafuta kuwahi kutokea na kushuhudiwa katika Taifa lao, wakati kukiwa na Tishio la mfumuko wa bei ya bidhaa nchini Kenya, wakati Nauli zikipanda nchini kenya,wakati wakenya wakikabiliwa na...
  16. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Hii picha inatuambia nini? Kwamba Tanzania is full of nepotism? Rais na mkwe wake wanaweka jiwe la msingi!

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi Ujenzi wa Ofisi za Halmashauri ya Masasi Mkoani Mtwara tarehe 16 Septemba, 2023.
  17. Maan

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Tundu Lissu hakuwa Rais baada ya kifo cha Hayati Magufuli kwa kipengele cha kuwa namba 2 katika kura za Wananchi

    Ili kuepuka kuwa na Rais ambae hakutokana na kuchaguliwa na wananchi ilipaswa kupewa nafasi yule aliye shika nafasi ya pili. Alafu Rais Samia angetumika kuongoza nchi kwa kipindi kifupi hadi pale Rais atakapo tawazwa kisha aachie nafasi ya Urais ambayo alishikili baada ya Rais aliye madarakani...
  18. LorenzoA

    JamiiForums Tanzania Ni mkakati wa kumuangusha Rais Samia kisiasa?

    Kuna mambo yanaendelea nchini unajiiza hizi Habari kwanini zinatoka sasa bila maelezo? Mawaziri viburi na majibu ya rejareja kwenye mambo mazito yanayohitaji utulivu wa akili. Mambo haya yafuatayo yanamfanya Rais aonekane anatoa maelekezo kwa manufaa ya wachache wasio na uchungu na taifa...
  19. Maan

    JamiiForums Tanzania Serikali iangalie kwa ukaribu suala la Bima ya Afya. Mzigo ni mkubwa sana kwa Mtu kama Mimi

    Rais Samia na Waziri Ummy Mwalimu Watanzania mnaowaambia walipe BIMA ya afya shilingi 488,000 kwa baba na mama, 120,000 kwa kila mtoto, na kama wanaishi na wazee wao, basi Kila mmoja wawalipie shilingi 360,000. Hamuoni kama BIMA yenu ni kejeli kwa Watanzania walio wengi, tena wa hali ya chini...
  20. econonist

    JamiiForums Tanzania Hizi ni ziara za Rais au ni kampeni za uchaguzi?

    Nimefuatilia hicho kinachoitwa ziara za rais huko mkoani mtwara. Kuanzia Jana mkutano wa Mtwara mjini na Leo Tandahimba. Nilichogundua, hizi sio ziara za kazi Bali ni kampeni za uchaguzi. Sababu zangu ni zifuatazo: 1. Sababu ya kwanza, Kila anayesimama anampigia debe Rais kana kwamba ni mkutano...
Back
Top Bottom