kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 12,316
- 12,615
Nimekuwa mkosoaji mkubwa wa TFF kutokana na sababu za waamuzi na upendeleo, lakini mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Karia amefanya na ziada kwenye mpira wetu. Amevunja rekodi nyingi kwenye tasinia ya mpira ambazo hazitaki maelezo mengi kuyataja.
Kwakuwa amefanya na ziada basi na wadau wa mpira tumtendee na yeye Cha ziada. Tumpe muda zaidi aweze kuikamilisha ndoto yake ya kuiandaa afcon 2027. Yeye ndiye anaejua mganga alipo.
Kwakuwa amefanya na ziada basi na wadau wa mpira tumtendee na yeye Cha ziada. Tumpe muda zaidi aweze kuikamilisha ndoto yake ya kuiandaa afcon 2027. Yeye ndiye anaejua mganga alipo.