Mijitu hii iliyoshindikana unaishia kuiambia "STUPID"?

TUKANA UONE

JF-Expert Member
Jan 3, 2018
1,816
5,151
Ukihitaji salamu soma kwanza hizi nondo, tofauti na hapo utaambulia chuya!

Wakazi wa Pemba & Unguja ni wakazi wa jamii ya Kiswahili ambayo hufanya mambo Ki-Goi Goi mnoooo!,Hii imepelekea hata viongozi wanaopatikana kutoka hizo pande mbili kutokuwa na misimamo mikali kama watu wa Bara(Tanganyika).

Nadhani hii kasumba ni karibia jamii yote ya watu wa pwani huwa wanayo.

Kinachomfelisha Rais Samia Suluhu Hassan siyo Uanamke wake bali ni Uvivu na Ugoigoi wa kizanzibar kwenye uwajibikaji.

Hii nchi yenye watu wenye vichwa vigumu kama mawe ilipaswa iwe Rais ambaye utendaji wake ni kama nyundo ambayo itayabomoa mavichwa magumu ya watanganyika.

Mtanzania kutoka Bara (Tanganyika) hajazoea kuongeleshwa kwa kubebembelezwa kama mwanamke,wao wanataka Amri tu.(Ndiyo au Hapana),tofauti na hapo usitegemee utamuongoza akaongozeka!.

Rais Samia siyo Mbaya ila anavitu vya kizanzibar ambavyo huku Bara havina Impact yeyote,sana sana majitu yaliyoshindikana yanamchora tu anavyopiga Methali na Nahau zake za Kizanzibar kisha yanapita na kutokea kule na mambo yanabaki palepale.

Mitanganyika hii iliyoshindika unaishia kuiambia "STUPID"?,Hili taifa bado lilihitaji watu wa kariba ya Magufuli kwa Takribani miaka 100 ili kuweka mambo sawa,mambo yangekaa sawa sasa ndipo Taifa liachiwe mwanamke aliongoze kwa ngonjera na nahau!.
 
Back
Top Bottom