rais

  1. JamiiForums Tanzania NI WAZI KUWA NDENGE ILIYOMBEBA MAKAMU WA RAIS ILIANGUKA NA KUUA ABIRIA WOTE.

    Rais wa Malawi ametangaza rasmi kupatikana kwa mabaki ya ndege na abiria wake wote wakiwa wamefariki.
  2. JamiiForums Tanzania Ndege iliyopotea iliyombeba makamu wa rais wa Malawi itatafutwa mpaka ipatikane

    Shughuli za utafutaji na uokoaji zitaendelea hadi ndege iliyotoweka iliyombeba makamu wa rais wa Malawi, Saulos Klaus Chilima, ipatikane, rais wa taifa hilo la kusini mwa Afrika alisema. Chilima, 51, alikuwa ndani ya ndege ya kijeshi na wengine tisa walioondoka Lilongwe, mji mkuu, saa 9.17...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Rais Mstaafu Joyce Banda

    Joyce Hilda Banda, alizaliwa 1950. Huyu alikua Rais wa Malawi (April 2012-May 2014) msomi haswa alifurushwa kupitia sanduku la kura za Wananchi.
  4. G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shime watanzania 2025 tumpate rais mwenye sifa za uongozi na siyo uongozi wa sifa

    Tangu 2015 watanzania hatujapata rais anayestahili na mwenye sifa za uongozi. Rais wa 2015 - 2021 . Huyu alikuwa anaendesha nchi kama nyumba yake. Alijawa na sifa za kishamba, matusi kibao na udikteta usioelezeka. Alitaka kila kitu kiwe siri, kuanzia mikopo inayochukuliwa na serikali mpaka...
  5. JamiiForums Tanzania TANZIA UPDATE: Makamu wa Rais wa Malawi afariki katika ajali ya Ndege

    Rais wa Malawi, Dk Lazarus Chakwera ametangaza kupatikana ndege ya Jeshi la Malawi iliyokuwa imembeba makamu wa Rais wa nchi hiyo, Saulos Klaus Chilima (51) ikiwa imepata ajali katika msitu wa Chikangawa. Ndege hiyo ilioondoka Lilongwe saa 3:17 asubuhi jana Juni 10, 2024 na ilipangwa kutua...
  6. JamiiForums Tanzania Jordan Bardella tishio kwa Rais Macron

    Uchaguzi wa bunge la ulaya umemalizika jana kwa raia kutoka nchi 27 kupiga kura kuchagua wabunge watakaowawakilisha katika bunge la ulaya ambapo vyama vya siasa vya mrengo wa kulia vimeonekana kufanya vizuri. Nchini ufaransa, chama cha mrengo wa kulia cha “National Rally, NR” kimefanya vizuri...
  7. X

    JamiiForums Tanzania Chama cha Rais Macron na Chancellor Scholz vyapata matokeo mabaya uchaguzi wa Bunge la Ulaya

    Chama cha Marine LePen kimepata kupata karibu 30%, wakati upande wa chama cha Macron kimepata kura kwa karibu 15%. Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametangaza kuvunja bunge la kitaifa na kutoa wito wa uchaguzi wa haraka Juni 30 na Julai 7. Chama cha AfD cha Ujerumani kilipanda hadi nafasi ya...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Makala ya wazi kwa Rais Samia imfikie popote alipo na kuisoma

    Ndugu zangu Watanzania, Hii ni makala yangu ya wazi kwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Samia Suluhu Hasssan Shujaa wa Afrika,Nuru ya wanyonge,Nyota ya Matumaini na jasiri Muongoza njia.Ni makala Ya kumtia moyo,kumpa faraja,kumpa pole kwa kazi nzito...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Upuuzi mkubwa: Inakuwaje Rais asiyekubalika anashinda uchaguzi mwaka mmoja kabla ya uchaguzi?

    Ni ukweli usiopingika kuwa Rais Samia hakubaliki kwa 80%. Kundi lake linalosemekana liko Msoga Bagamoyo ni mafisadi. Anatoa pesa nyingi ili kuwasaidia wanannzchi zinaliwa na mafisadi. Anashindwa kudhibiti ufidadi sababu amezungunkwa na wapigaji.. Inakuaje? Kwa upuuzi na upumbavu. Rais...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kinachomsumbua Dkt. Slaa ni udini na chuki binafsi kwa Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Kama ni Wafuatiliaji wazuri wa siasa za nchi hii mtakubaliani nami na ukweli kuwa Dkt. Slaa amekuwa na Udini mkubwa sana ndani ya kifua chake. Amekuwa na chuki binafsi sana kila inapotokea utawala uliopo madarakani ni wa upande wa pili yaani Uislamu. Amekuwa ni mtu...
  11. JamiiForums Tanzania KWELI Lissu amesema Abdul Halima Ameir (mtoto wa Rais Samia) aliwahi kutaka kumpa rushwa

    Salaam Wakuu, Nimekutana na maandiko yanadai kuwa Lissu akiwa kwenye mkutano Singida alisema mtoto wa Rais Samia aitwaye Abdul aliwahi kumpelekea rushwa akamfukuza. Je, kauli hii ni kweli? Tunaomba mtusaidie kutafuta uhakika --- Video 1: Lissu akiwa Mkutanoni Singida akielezea kufuatwa na...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi huyo Magoti, mshauri wa Rais kuhusu siasa, alikuwa na uzoefu upi wa mambo ya siasa? Mbona CCM ina manguli wa siasa jamani?

    Nimeshangaa kusikia Magoti ndiye alikuwa anamshauri Rais kuhusu siasa. Nikimuangalia ni kama ana umri wa miaka thelasini hivi, yaani mtoto tu, na ndio maana mwanzo nilidhani ni mhudumu au afisa wa kawaida tu pale ikulu. Hivi katika "msitu" wa wazee waliokomaa kisiasa kama Steven Wasira, Mizengo...
  13. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara waiomba serikali, kuambatana na Rais katika ziara za nje ya nchi!

    Jumuiya ya Wafanyabiashara Kariakoo imeiomba Serikali kuweka utaratibu wa wafanyabiashara wa kati kuambatana na Rais Samia Suluhu katika ziara zake nje ya nchi ili waweze kujifunza mambo mbalimbali ya kibiashara.
  14. JamiiForums Tanzania Rais Ramaphosa na ANC wakubali kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa na Vyama Pinzani

    AFRIKA KUSINI: Chama Tawala cha African National Congress (ANC) kimekubali kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa baada ya kupoteza idadi kubwa ya viti vya Ubunge. Akitoa taarifa hiyo baada ya Kikao cha Kamati Kuu ya Chama (NEC) Rais Cyrill Ramaphosa amesema “Tumeridhia kuvialika Vyama vya Siasa...
  15. JamiiForums Tanzania Badala ya kutapanya mali kwa wageni kwanini Rais asijikite kwenye kuwajengea wananchi wake uwezo?

    Kila safari atayofanya Rais , lazima itaambatana na kisainiwa kwa mikataba ya kiuwekezaji kwenye Rasilimali zetu. Dunia ya sasa idadi ya watu inaongezeka na hii inafanya rasilimali kuwa adimu. Kwa kulitambua hili mataifa makubwa yamekuwa na sera kandamizi na kutumia mbinu za kila aina...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu asema uwekezaji wa kweli katika Nishati ni kuwekeza katika Nishati safi ya kupikia Afrika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameiambia Dunia kuwa uwekezaji wa kweli katika nishati ni kuwekeza katika nishati safi ya kupikia barani Afrika. Rais Samia ametoa kauli hiyo wakati anahutubia Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Korea na Afrika unaofanyika Seoul, Korea...
  17. JamiiForums Tanzania Rais wa Palestina amsuta kiongozi wa dini wa Iran kuhusu vifo vya Wapalestina

    Huyo kiongozi wa dini ya uislamu anayeongoza Iran alijitokeza na kusifia sifia Wapalestina kwa wao kujitolea kufa, ila rais wa Palestina amemsuta na kumwambia Wapalestina wameteseka, wamekufa 36,000 na 83,000 kujeruhuwa kwenye vita ambavyo havina umuhimu kwao. ============================...
  18. JamiiForums Tanzania Maafisa Ubashiri tunaomba pia Rais ukienda Uingereza usitusahau

    Tunampongeza sana Samia kwa kwenda na wenzie huko Korea. Itakuza sana uigizaji katika nchi yetu. Tumeona boda boda nao wameomba akienda India aende nao ili wakajifunze namna bora ya kuendesha boda boda. Nasisi maafisa ubashiri (Betting Officers) tunaomba sana akipata nafasi ya kwenda England...
  19. JamiiForums Tanzania Ikiwa tunashindwa kujitosheleza kwa rasilimali zetu kama taifa basi, haina haja ya CCM Kubaki katika kuongoza taifa hili

    Mr Nice Bwana mmoja mwenye shamba alipanda viazi akachimbachimba akapata almasi hii ni bahati kwa mtu mwenye shamba*2 akatupa jembe lile akaenda mjini kanunua moto car,sasa ni gariii. Naam, Muheshimiwa Rais wa jamhuri wa muungano, nakusalimu kwa salamu yako ukweli nimeona jitihada zako baada...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Korea kaskazini: Rais kim jong Un asema Africa itaendelea kunyonywa na ulayakupitia dini mpaka hapo watakapomtambua Mungu wao

    Kim Jong Un amesema nchi za ulaya zinainyonya Africa kwa kile walicho waghirib eti Mungu wao ndo mungu wa kweli wakati ulweli ni kwamba Africa inapaswa kuondokana na ukoloni huo. Ikumbukwe korea kaskazini wamezuia na kupiga marufuku biblia na quran kwa kusema na culture ya wazungu na waarabu tu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…