rais

  1. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM oneni aibu - saidieni jitihada za Rais kupitia ugawaji wa pikipiki kwenye kata

    Naenda kwenye hoja moja kwa moja. Kwa kutambua mchango wa viongozi wa CCM wote ngazi ya kata nchini Mwenyekiti wa CCM taifa ametoa pikipiki kwa Makatibu CCM Kata na jumuiya zake. Ili wagawiwe pikipiki hizo viongozi hao wanatakiwa kulipia gharama kadhaa - sasa baadhi ya wilaya ikiwemo Kakonko...
  2. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Recap: Hapa Rais Samia uliteleza kwenye ulimi, ukiweza rekebisha kauli hii

    Kwa heshima na taadhima, Kama kuna njia unaweza kurekebisha kauli hii, itapendeza au kuifuta kabisa, sijui . It is one of the worst, devastating statement from your mouth!
  3. D

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona Rais kama huyu tangu nchi yetu iumbwe

    Kila kona anapigwa spana. Sijui hakujiandaa kuwa Rais alishtukia amekuwa Rais hivyo hakujua anachofanya ofisini kabisa. Yeye kila aliyekuwa anaonesha ana mawazo positive ya kumzidi yeye basi alikuwa ni adui na anawindwa ama kuuawa ama kufilisiwa ndo mana akina Lowasaa wakaona warudishe majeshi...
  4. Chakaza

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila kumtaja Rais wananchi wanazomea ni dalili ya nini?

    Kuna dalili viongozi wengi wanajizima data au hawaelewi nini kinaendelea katikati ya jamii ya Watanzania. Inakuwaje RC Chalamila anawahutubia watu wa Mbagala lakini alipofikia katika kutaka kutaja sifa za mheshimiwa Rais ndio anakumbana na kuzomewa na Miguno mingi hadi anagwaya? Hiyo ni dalili...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano mpya kati ya Zanzibar na Arusha kukuza utalii. Rais wa Zanzibar asema Zanzibar itawekeza Arusha

    Zanzibar and Arusha in new cooperation to boost tourism investment in Tanzania Arusha. Zanzibar and Arusha will cooperate in an effort to boost investments in Tanzania’s tourism sector. Zanzibar, which is famous for beach tourism, has been receiving an increased number of investors in the...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi avutiwa na utendaji wa Benki ya CRDB katika kutengeneza faida

    Arusha 17 Mei 2024 - Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Benki ya CRDB kwa kuendelea kutengeneza faida kubwa inayoiwezesha benki hiyo kutoa gawio kwa wanahisa wake kutokana na uwekezaji wao ndani ya benki hiyo. Rais Mwinyi alitoa pongezi hizo wakati...
  7. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Rais wa Nchi ya Watu wa Zanzibar yupo kikazi Jijini Arusha

    Rais wa Nchi ya Zanzibar yuko Jijini Arusha kikazi maalumu Mkutano Mkuu wa CRDB. Kama ulivyo utaratibu wa kuwapokea Viongozi wakuu wa nchi mbali mbali,leo mji wa Arusha umetembelewa na Rais wa Nchi ya Zanzibar kwa bashasha kubwa. Adhaa pekee tunayokumbana na nayo ni foleni kubwa ambazo...
  8. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Nampenda sana Rais wangu Mama Samia ila baadhi ya aliowaamini siwapendi!

    Ukiniuliza kiongozi gani unampenda mimi bila ya kupepesya macho nitakutajia Dkt Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania! Swali; Kwanini unampenda Dkt Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania! Jibu; Nampenda kwa sababu zifuatazo Nikiongozi wa Nchi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli haupingi Zanzibar ipo Kama hakuna Zanzibar mbona kuna Rais wa Zanzibar?

    Kama hakuna Zanzibar, mbona kuna rais wa Zanzibar? Anawakilisha nani?
  10. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia “amzawadia” Millioni 10 Askofu Ruwa’ichi Kwa kutambua mchango wake kwa Kanisa na Taifa

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge amemzawadia kiasi cha...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ripoti ya Taarifa ya Utendaji wa TAKUKURU inaishia kwa Rais badala ya kuwekwa wazi ili Umma uijue?

    Kila mwaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) huwa inatoa Ripoti ya Taarifa ya Utendaji Kazi ambayo hukabidhiwa kwa Rais kwaajili ya hatua mbalimbali. Lakini Ripoti hiyo haiwekwi wazi kwa Umma kutokana na kubanwa na Sheria ya Kupambana na Rushwa ambayo haijaweka takwa hilo Je...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Vuma Holle: Rais Samia Suluhu Hassan Atakumbukwa Kigoma

    Mbunge Vuma Holle: Rais Samia Suluhu Hassan Atakumbukwa Kigoma Mbunge wa Kasulu Vijijini mkoani Kigoma, Augustine Vuma amesema kazi kubwa ya kumtua mama ndoo kichwani inayofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia Wizara ya Maji imeleta mabadiliko makubwa ya upatikanaji wa huduma ya maji...
  13. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Nini umuhimu wa ziara ya Rais Samia Ufaransa?

    Rais Samia huyoo? Sasa hivi kaenda Ufaransa! Ufaransa, chini ya Macron, sasa hivi kimataifa haivumi upepo mzuri. Matukio ya uhusiano wa Ufaransa na nchi za Afrika Magharibi, kama Niger, Mali, Burkina Faso na nchi nyingine siyo mzuri kabisa. Nchi hizo za wenzetu zime experience ushenzi wa...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amewasili salama nchini Ufaransa kushiriki Mkutano wa Kimataifa wa Nishati Safi ya Kupikia

    Ndugu zangu Watanzania, Tunamshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema na Fadhili kwa kumsafirisha na kumfikisha Salama Nchini Ufaransa Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa Mwenyekiti Mwenza wa Mkutano wa Kimataifa Kujadili Nishati Safi utakaofanyika Ufaransa

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa mara nyingine tena Dunia imempatia heshima ya kipekee kabisa na ya hadhi ya juu kabisa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Rais wa Rwanda Jenerali Paul Kagame akiwa na wajukuu zake

    Wadau hamjamboni nyote? Mungu ibariki Rwanda.
  17. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ndani ya ya Gari lililounganishwa Kiwanda kipya cha Kuunganisha Malori kigamboni

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa ndani ya mojawapo ya Gari lililounganishwa katika Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited kilichopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Mei, 2024.
  18. R

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini Rais Samia anawafanyia wamasai haya mateso? Kwanini anauza Tanganyika yetu?

    Tumepiga kelele, tukamuomba, aache kuwaumiza wamasai kuwatoa kwenye ardhi yao. Kuuza rasilimali zetu kwa waarabu. CCM, watanganyika wenzetu kwa kutetea matumbo yao wamepitisha sheria za hovyo as long as wanashiba na familia zao. WANAMPA SAPOTI SAMIA AUZE TANGANYIKA WHILE ZANZIBAR REMAINS...
  19. Mbahili

    JamiiForums Tanzania Vipaumbele vyangu nikiwa rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

    Kuwa raisi sio jambo dogo/jepesi hata kidogo. Kongole kwa La mama anaeendelea kugongelea misumari kuhakikisha gurudumu halichomoki na tunakwenda mbele bila wasi. Twende sasa.... Cha kwanza nikiwa Raisi nitakuwa mbabe. Tupa kule ilani ya chama Changu, nitatengeneza ilani itakayohakikisha...
  20. copyright

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mh Rais hakutokea kwenye sherehe za siku ya wafanyakazi (Mei Mosi)

    Habari ya kazi wakuu!! Naomba kwenda moja kwa moja kwenye hoja. Hili nimekaa nalo sana tangu tarehe moja hadi leo na kila siku linaniumiza, nikikaa na wafanyakazi wenzangu naona wanahoja tofauti tofauti sasa leo nimeamua kuja mbele yenu wanajukwaa mnisaidie hili. Nimetonywa hapa kuwa katiba...
Back
Top Bottom