Rais Samia ndiye Profesa halisi wa Demokrasia na Utawala Bora Afrika

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,209
4,706
Wadau hamjamboni nyote?

Wapo watakaokubali na watakaopinga hoja hii ila ukweli halisi Rais Samia anastahili kabisa kupewa hadhi ya kuwa Profesa wa Demokrasia na Utawala Bora Afrika

Unapozungumzia Viongozi walioleta mabadiliko makubwa ya kisiasa kwenye nchi zao duniani nina hakika jina la Kiongozi wetu Rais Dkt Samia Suluhu Hassan litakuwa la kwanza

Rais Samia ameleta maridhiano makubwa ya Kitaifa na sasa Wapinzani kila kona ya nchi yetu wapo huru, wakifanya maandamano & mikutano ya hadhara kwa uhuru mkubwa bila kubughuziwa.

Rais Samia amefanya makubwa na ambayo hayakutarajiwa na wengi na hivyo tuna kila sababu ya kumpongeza na kumpa heshima anayostahili.

Hongera sana Rais Samia kwani wewe ndiye Profesa wa Demokrasia na Utawala Bora Afrika

1709467783493.jpg

KaziIendelee
 
Either umejitoa ufahamu which is Sad au Uelewa wako una walakini jambo ambalo sio baya; unaweza ukajifunza...

He who does not travel, thinks his mother is the best cook....
 
Umesahau namba ya simu.

Nilipoona heading nikadhani yule lucas mashambwa, kumbe mnazidi kuongezeka!

Juzi tu kawakana hadharani, leo mnajitoa ufahamu na kujisahaulisha.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Wapo watakaokubali na watakaopinga hoja hii ila ukweli halisi Rais Samia anastahili kabisa kupewa hadhi ya kuwa Profesa wa Demokrasia na Utawala Bora Afrika

Unapozungumzia Viongozi walioleta mabadiliko makubwa ya kisiasa kwenye nchi zao duniani nina hakika jina la Kiongozi wetu Rais Dkt Samia Suluhu Hassan litakuwa la kwanza

Rais Samia ameleta maridhiano makubwa ya Kitaifa na sasa Wapinzani kila kona ya nchi yetu wapo huru, wakifanya maandamano & mikutano ya hadhara kwa uhuru mkubwa bila kubughuziwa.

Rais Samia amefanya makubwa na ambayo hayakutarajiwa na wengi na hivyo tuna kila sababu ya kumpongeza na kumpa heshima anayostahili.

Hongera sana Rais Samia kwani wewe ndiye Profesa wa Demokrasia na Utawala Bora Afrika

View attachment 2934350

KaziIendelee
Praise team
 
Ni miongoni mwa wanawake si tu madhubuti lakini pia ni shupavu, makini na jasiri zaidi , mwenye kukubalika zaidi Tanzania, Africa na Duniani nzima 🐒
 
Back
Top Bottom