rais

  1. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Aliyempa Hayati Rais Magufuli zawadi ya jogoo atua na jogoo wa Waziri Bashungwa bungeni

    Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amekabidhiwa jogoo ikiwa ni ishara ya kumpongeza kwa juhudi kubwa za urejeshaji wa mawasiliano ya Barabara katika eneo la Tingi – Kipatimo na Barabara Kuu inayounganisha mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Lindi na Mtwara. Zawadi hiyo imetolewa leo Mei 29, 2024 na...
  2. Nifah

    JamiiForums Tanzania Zengwe lagubika ziara ya Rais na wasanii; waratibu wadaiwa kufanya mchezo mchafu

    Mkono mtupu haulambwi! Naam, ndivyo ninavyoweza kulielezea hili. Wikiendi iliyopita Rais alijumuika kwenye uzinduzi wa albam ya msanii wa kizazi kipya Harmonize akiwa kama mgeni rasmi pamoja na wageni waalikwa wengine ambao ni viongozi na wadau wa tasnia ya burudani. Katika uzinduzi huo Rais...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Bola Tinubu afunguliwa Kesi ya kumtaka aweke wazi Mali anazomiliki

    Rais Bola Tinubu ambaye anakaribia kutimiza mwaka tangu aingie Madarakani, ametakiwa kuweka wazi tamko Mali zake zote anazomiliki ikiwa ni njia ya kuonesha Uwajibikaji kwa Viongozi wa Umma Taasisi ya Haki za Kiuchumi na Uwajibikaji (SERAP) imemshtaki Rais Tinubu na kumtaka aweke wazi Fomu ya...
  4. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais wa Tanzania hajawahi kutoka kwenye royal family?

    Haya ni maswali tunapaswa kujiuliza na kuyaweka kichwani. Ni kwanini Rais wa taifa letu hajawahi kutoka Royal family. Yaani ngoja niweke picha ya Ruto:
  5. Sauti Moja Festival

    JamiiForums Tanzania Faida za Wasanii na Nchi katika Ziara za Rais Nje ya Nchi

    Habari wana-JF, Ziara za Rais nje ya nchi zinapowajumuisha wasanii, hata bila maonesho ya sanaa, zinaweza kuleta manufaa makubwa kwa wasanii binafsi na taifa kwa ujumla. Hizi ni baadhi ya faida hizo: Faida kwa Wasanii Mtandao wa Kijamii na Kitaaluma:Wasanii wanapata fursa ya kukutana na wadau...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wajua Muungano wa Kweli, Ni Muungano wa Serikali Moja?. Wajua Karume, Alitaka Serikali Moja, Nyerere Ndiye Akazuia?. Jee Wazanzibari Watakubali S.1?.

    Wanabodi, Kama kawa, kila nipatapo fursa, huwapiga tuu watu darsa humu, leo naliendesha darasa nikitokea Tanga kwa waja leo, warudi leo. na ni darsa kuhusu muungano wa kweli. Swali ni Je Wajua Muungano wa Kweli, Ni Muungano wa Serikali Moja?. Wajua Karume, Alitaka Serikali Moja, Nyerere Ndiye...
  7. L

    JamiiForums Tanzania “Kukabiliana na China” kwaibuka tena wakati wa ziara ya Rais wa Kenya nchini Marekani

    "Miezi saba iliyopita, Rais William Ruto wa Kenya alipowasili Beijing, China ilimkaribisha kwa zulia jekundu. Safari hii anapoelekea Washington, anapokelewa tena kwa zulia jekundu." Katika wakati ambao sera za serikali ya rais wa Marekani Joe Biden kuhusu Afrika zimekuwa zikilalmikiwa, tovuti ya...
  8. Tiger B

    JamiiForums Tanzania Nisamehe Rais wangu Magufuli

    Mimi ni kati ya Watanzania ambao tulikuwa hatukuelewi kipindi ukiwa hai. Ni kweli, kama mwanadamu ulikuwa na mapungufu yako. Lakini jambo moja ni hakika, uliipenda Tanzania na Watanzania kwa moyo wako wote. Kila nikisikiliza ule wimbo wa Msechu huwa ninatokwa na machozi. Pumzika kwa amani Rais...
  9. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasanii wakisafiri na Rais nje wanakwenda kutumbuiza? Nani atagharamia safari zao?

    Jana lililotoka tamko kwamba kuanzia sasa Mhe. Rais akisafiri nje ataambatana na wasanii mbalimbali. Je hao wasanii lengo lao ni kwenda kufanya matamasha au watakuwa na kazi gani? Je, nani atagahrimia safari zao kuambatana na Rais? Nchi ina utajiri mkubwa kiasi hicho wakati nchi nyingi Duniani...
  10. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto adai kama angetumia Ndege za KQ kwenda Marekani, gharama zingekuwa kubwa zaidi

    President William Ruto has stated that his US travel expenses were significantly lower than those incurred if he had used a Kenya Airways (KQ) plane. "As a responsible steward of public resources and in keeping with my determination for us to live within our means and that I should lead from...
  11. mchawi wa kusini

    JamiiForums Tanzania Natabiri Paul Makonda atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2030

    Habari Wana JF Nisipende kuzunguka Sana Ni Kwamba PAUL MAKONDA anaenda Kuwa Raisi Wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania mwaka 2030 tuombeni uhai Ukweli Ni kwamba Paul makonda anapitia wakati mgumu sana ila huwa anakuwa na uvumilivu wa Kuyabeba wengi Wenu Mnamchukia sana Huyu Mwamba naamini Mungu...
  12. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kuna siku Makonda atamvua nguo Rais Samia

    Asipodhibitiwa kuna siku Makonda atafanya tukio au ataropoka kitu ambacho kitamvunjia heshima Rais wetu jjambo ambalo litamdhalilisha Rais na kujutia uamuzi wake wa kumrudisha mjini mtu asiye na staha
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuanza kusafiri na Wasanii kwenye ziara zake nje ya nchi

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema mara nyingi anapokwenda nje ya Nchi huwa anafuatana na jopo la Wafanyabiashara lakini kwa sasa anataka kugeuka kidogo na atakuwa anasafiri pia na Wasanii ili kuwapa nafasi ya kujifunza zaidi kutoka nje ya Nchi na kutanua wigo wa kazi zao. Rais...
  14. Technophilic Pool

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Rwanda hakujawai kuwa na uhuru wa hivi kama Kenya? Erick omondi amkosoa rais Ruto

    Kenya ikiwa inaongoza kwa kua na uhuru wa Kujieleza na maoni .Haya mambo huwezi kuyasikia nchi kama Rwanda hata kidogo!! Hata kwene social media raia wa rwanda hawawezi kumkosoa Godfather hata akiuza hako kanchi! Lakin Kenya mambo ni yofauti. Ukipangilia nchi kwa uhuru wa kujieleza na kutoa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu aeleza alivyotembelewa na Abdul mtoto wa Rais

    Akiongea na wanancho kupitia mtandao wa Maria Sarungi Lissu anaeleza namna alivyodai haki zake za utumishi ubungeni akapigwa danadana. Akaeleza namna alivyofuatwa na Abdul mtoto wa Rais ili "kufanya urafiki", na akaeleza kuwa ukidai haki yako kwa kuiita ni haki hawakupi ila wao wanataka uiombe...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Makonda aondolewe kwa udhalilishaji wa wanawake. Amewadhalilisha wanawake na rais wetu pia

    Kitendo cha mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda kumdhalilisha afisa wa serikali mwanamke huko Longido mkoani Arusha hakikubaliki. Makonda akimhoji mtumishi huyo alisikika kumwambia mbele ya hadhara kuwa asiongee kama vile anaposwa na kwamba yeye (Makonda) ana mke mzuri nyumbani. Kitendo hicho...
  17. ezekeo

    JamiiForums Tanzania Mshangao: Imekuwaje Rais Ruto awe Rais wa kwanza kutoka Afrika kufanya ziara rasmi ya kiserikali nchini Marekani?

    Nimejikuta katika wakati mgumu wa kuiamini taarifa inayosema eti rais Ruto wa Kenya ndie rais wa kwanza kufanya ziara rasmi ya kiserikali nchini marekani kwa kipindi Cha miaka 15 iliyopita. Swali ni je Hawa Marais wengine kutoka afrika ambao kwa mamia walioitembelea marekani kwenye hicho...
  18. F

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mchango wa Rais Samia katika Kuendeleza Utalii kupitia Filamu kwa Maendeleo ya Uchumi wa Tanzania katika miaka 25 ijayo

    Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa akiongoza Tanzania katika wakati wa mabadiliko makubwa, akilenga kuleta maendeleo na ustawi kwa nchi yake. Mojawapo ya mikakati ambayo Rais Samia ameifanya ni kutumia tasnia ya filamu kuendeleza utalii na kusaidia ukuaji wa uchumi wa Tanzania. Katika miaka 25...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nilikua namuunga mkono Makonda. Kwa kumdhalilisha mke wa jamaa yangu jana sasa najitoa rasmi, aendelee na kiburi chake na hatokuja kuwa rais wa nchi

    Wakuu, Yule muhandisi ni shemeji yangu kabisa na ana watoto 3. Yule ni mtu mpole sana na ana hekima kuliko kawaida. Makonda kusema ana mke mzuri kuliko shemeji yangu, ajue na sisi tuna wake wazuri kuliko mke wake. Wakati anamlilia Kajala hadi akazidiwa na Harmo mke wake alikua mbaya? Sasa...
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu akiwa Rais atavunja muungano halafu atawafukuza Wazanzibari wote pamoja na Bakhresa?

    Leo nimejikuta nawaza hili jambo, inawezekana tukawa tunamchukulia Lissu kwa urahisi rahisi, kumbe mwenzetu ana jambo zito zaidi. Tanzania ina wawekezaji wengi kutoka zanzibar, na wengine wameoa bara. Bakhresa ni mmoja wa wawekezaji wakubwa sana na analipa kodi kubwa kuliko huyo Lissu. Nawaza...
Back
Top Bottom