Msaada kupeleka rufaa kwa Rais

Kambale1

New Member
Jul 9, 2023
4
7
Habari,

Naomba msaada/Muongozo jinsi ya kufikisha rufaa kwa Rais.

Nilipeleka rufaa tume ya utumishi wakaikataa, zaidi nimeongezewa kosa ambalo silitambui.

Na Mwajiri hakufuata kanuni za Utumishi, niliweka hayo malalamiko kwenye rufaa ya mwanzo ila hawajajibu wameconclude kuwa adhabu niliyopewa ni sawa.

Naomba kujua rufaa kwa Rais inabidi niende Ikulu au natumia njia gani.
 
Back
Top Bottom