Rwanda tunayoichukia na Rais Kagame tunayemchukia wanatuonyesha Upendo wao Kwetu kwa Vitendo

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,571
108,927
Taarifa......

1. Rwanda kuendelea kutumia Bandari ya Dar es Salaam

2. Rwanda kujenga Kiwanda kikubwa cha Maziwa Mwanza Tanzania

Ukiona Adui/ Mtu ambaye kwa Wivu na Upumbavu wako Unamchukia halafu Yeye anakujibu kwa kukuonyesha Upendo wa Ajira kwa Watu wako na kukuimarishia Uchumi wako jua si tu AMEKUPUUZA bali anataka Kukusaidia uondokane na Ushamba na Roho Mbaya yako.

Asante sana Rais Kagame na Rwanda.
 
Back
Top Bottom