Rais Samia: Kama Viongozi mnakula na wanaoharibu Bei ya Sukari acheni, shughulikeni na shida za wananchi

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,377
8,121

Rais Samia amewataka Viongozi kuhakikisha wanasimamia Bei Elekezi ya Sukari na kuwachukulia hatua Wanaokiuka bei iliyotangazwa huku akiwataka Wanaoshiriki kuharibu bei kuacha mara moja

Amesema "Tunashukuru Sukari imesambaa na nyingine inakuja nendeni kasimamieni, wale watukutu kashughulikaneni nao. Kama mnakula nao kuanzia sasa acheni, kama ndiyo wanaowagawia vijifedha huko acheni shughulikieni wananchi"

Kauli ya Rais Samia inakuja wiki moja baada ya JamiiForums kuendesha Mjadala kupitia XSpaces ambapo Bodi ya Sukari ilisema mwaka huu (2024) utakuwa na changamoto kubwa ya Sukari kuliko mwaka 2023
 
Dola inatakiwa iwe DOLA sio kubembeleza wajingawajinga.

Vyombo vyote vya Usalama ni mali ya Rais kama Amir jeshi mkuu, anapaswa kuwabaini wahujumu uchumi wote na kuwapoteza sio kuwaweka jela nazungumzia kuwapoteza kabisa wasionekana.
 
Hana ubavu huo🙏
Dola inatakiwa iwe DOLA sio kubembeleza wajingawajinga.

Vyombo vyote vya Usalama ni mali ya Rais kama Amir jeshi mkuu, anapaswa kuwabaini wahujumu uchumi wote na kuwapoteza sio kuwaweka jela nazungumzia kuwapoteza kabisa wasionekana.
 
Sio kwamba tuongeze Supply bali tuhakikishe tunatumia Kodi zetu kusimamia watu Bei tunazozipanga !!!!; Iwapo Sukari yangu ni quality zaidi (naongeza Ukarimu na customer service) Kwanini mteja ndio asiamua kwenda huko pengine ?

Kama kweli Supply imeongezeka haiwezekani Bei Sizishuke... Economically Impossible...
 
Back
Top Bottom