rais

  1. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi na Tundu Lissu wanastahili kuwa kwenye Serikalli ya Rais Samia

    Sijatumwa, lakini ikikupendeza, Hawa watu waweke kwemye serikali yako. Wataiva tu pamoja, hata kama wana itikadi tofauti. tuletee watu wa kutupeleka mbele hata kama wanatofautiano kimtizamo. Chonde chonde, mrudishe huyu mwanazuoni huko serikalini, amekaa bench muda mrefu na ana madini ya...
  2. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa kutafakari kutoka kwa Waziri Salum, Katibu binafsi wa Rais Samia

    “Unaweza kuanzisha fitna au kuumiza watu kwa siri na ukaona umefanikiwa. Maana hakuna anayekujua. Fitna hiyo fahamu itakuwa, itasambaa na itakomaa. Ikishakomaa huwa na tabia ya kurudi ilipoanzia na inaumiza kama vile wakati unaianzisha kwa lengo la kuwaumiza wenzio ukajisahau kama itarudi...
  3. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Nape anatakiwa ajiuzulu nafasi ya uwaziri wa mawasiliano kwa kushindwa kumlinda Rais dhidi ya matusi

    Rais wetu mpendwa Mama Samia anaendelea kutukanwa na kudhalilishwa mtandaoni. Waziri wa mawasiliano yupo amekaa kimya mpaka anatokea mkuu wa mkoa kukemea. Inamaana hakuna teknolojia nchi hii ya kuzuia watukanaji wa Rais either kuwakamata au kuzuia platform wanazotumia? Kama hakuna basi ata...
  4. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Makonda naye ametumwa na Rais Samia?

    Mwezi uliopita, aliyekuwa mkuu wa majeshi ya ulinzi, Jenerali Venance Mabeyo, aliongea na waandishi wa habari wa gazeti la serikali, Daily News, kuhusu siku za mwisho za Rais John Magufuli. Wajuzi na wajuvi wa mambo wakadai kwamba ametumwa na Samia kuyasema hayo aliyoyasema. Kwamba hakusema tu...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais na Waziri Mkuu wanaweza kumwambia Rais ukweli pale anapotoa maamuzi yasiyo sahihi?

    Rais Samia alikuwa Makamu wa Rais na Majaliwa alikuwa Waziri Mkuu chini ya utawala wa Hayati Magufuli. Wakati huo mengi yalifanyika na hakuna siku wawili hawa waliwahi kupinga. Baada ya Rais Samia kuingia amepingana kwa kiasi kikubwa na mtangulizi wake. Amepingana naye kuhusu uwepo wa mikutano...
  6. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Nayo ni hisani ya Rais Samia?

    Katiba mpya! Hivi, upatikanaji wa katiba mpya nayo ni hisani ya Rais Samia [mimi simuiti Dokta kwa sababu hastahili kuitwa hivyo]? Nimeona mara nyingi vya kutosha sasa watu wakisema:- 1. Samia atuletee katiba mpya. 2. Samia atupatie katiba mpya. Sielewi kabisa. Kwani yeye huyo Samia ndo ana...
  7. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwaongoza Watanzania katika kumbukizi ya miaka 40 ya kifo cha Waziri Mkuu mstaafu Hayati Sokoine

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kesho, Ijumaa Aprili 12.2024 anatarajia kuwaongoza Watanzania katika kumbukizi ya miaka 40 ya kifo cha Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania Hayati Edward Moringe Sokoine Akizungumza na wanahabari leo, Alhamisi Aprili 11.2024 Monduli...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kwako Rais Samia, fupa la ukwepaji Kodi Kwa wafanyabiashara wape wanunuaji wamalizane nalo lakini Serikali iwahamasishe kwa gawio katika manunuzi

    Kwako Rais wa JMT Mhe.Samia Suluhu Hassan, ninakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe.Rais, kwa namna ya pekee pekee ninapenda kuchukua nafasi kukupongeza kwa kuwa kielelezo Cha safari ya mabadiliko makubwa kwenye nyanja mbalimbali katika Taifa letu na kubwa zaidi...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa pole mafuriko ya Rufiji na Moro. Atoa maagizo haya mazito kwa BAKWATA na Serikali

    10 April 2024 MH. RAIS DR. SAMIA S. HASSAN MGENI RASMI BARAZA LA IDD 2024 RAIS SAMIA ATOA POLE MAFURIKO ya RUFIJI na MORO - ATOA MAAGIZO HAYA MAZITO KWA BAKWATA na SERIKALI https://m.youtube.com/watch?v=6UqmPgp6mtY Serikali ipo pamoja na wananchi wa Rufiji na maeneo ya mkoa wa Morogoro asema...
  10. Mcheza Piano

    JamiiForums Tanzania Maoni Binafsi: Mzee Wassira alipaswa kuwa Rais wa hii nchi

    Najua wapo watakao beza ila huyu mzee ni presidential material aisee. Kama ulikuwa unamfahamu kijuu juu chukua muda wako mfahamu kwa kina zaidi. Nashauri chama changu kimpe nafasi mwakani kwa lazima hata kama hataki, atuongoze kwa miaka 5 tu.
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania MHE. WANU HAFIDH (Mtoto wa Rais Samia) Awekeza Kuwainua Wanawake na Vijana Wakulima Kiuchumi Kupitia Zao la Mwani

    MHE. WANU HAFIDH (Mtoto wa Rais Samia) Awekeza Kuwainua Wanawake na Vijana Wakulima Kiuchumi Kupitia Zao la Mwani Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kusini Unguja na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation (MIF), Mhe. Wanu Hafidh Ameir tarehe 07 Machi, 2024 amesaini MOU na Kampuni ya...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Mambo 4 yanayoangusha uongozi wa Rais Samia

    Ukilinganisha na mtangulizi wake, rais Samia amefanya mengi mazuri yanayoliunganisha taifa. Lkn kuna mambo 4 tu ambayo yanafifisha nyota ya rais Samia ktk uongozi . Mambo hayo 4 ni:- 1. Kukwepa mchakato wa kupata katiba mpya na hatimaye tume huru ya uchaguzi. 2. Kulea rushwa na ubadhirifu. 3...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Nimwombe Rais Samia awaondoe haraka wanajeshi wetu kule DRC Congo. Mnapigana na nchi ya EAC

    Sijajua wanajeshi wetu wanafia nini kule DR congo wakati sasa imejulikana bila shaka kwamba wanapigana na wanajeshi wa Rwanda ambayo ni nchi mwanachama wa EAC. SOLUHISHO ya vita ile ni kuiwekea vikwazo RWANDA na kuifukuza EAC haraka iwezekanavyo. Mama yetu mpendwa nakuomba uwaondoe haraka...
  14. F

    JamiiForums Tanzania ITV dk 45: Rais Karume akiri kuandaliwa kuwa Rais wa Zanzibar

    Rais wa zanzibar 2000 hadi 2010 Amani Abeid Karume, akiri kuandaliwa kuchukua wadhifa huo. Akihojiwa ktk kipindi cha ITV DK 45 leo usiku, amesema aliitwa na wazee na kuambiwa Dkt Salmin anamaliza muda wake "Tunataka wewe uwe Rais" Baada ya hapo alienda kuchukua fomu ya urais na ktk mchujo...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Miradi yote mikubwa iliyoanzishwa kwa pupa na Hayati Magufuli sioni hata mmoja utakaokuwa na ufanisi

    1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema. 2. Madege:- Kwa mujibu wa ripoti ya CAG iliyotolewa karibuni madege haya...
  16. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Rais Samia ameipendelea Arusha, amemtoa mwanae wa pekee na kumleta Arusha

    Nafahamu Arusha ni mji wa kitalii, Dkt. Samia Suluhu Hassan (Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania) ameamua kwa makusudi kuipendelea Arusha hata akamtoa mwanaye wa pekee (Paul Makonda) ili aje aungane nanyi, angeweza kuniacha nikafanya kazi ya Uenezi na amesema mwenyewe nimeifanya vizuri...
  17. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa Rais Samia, leo ningemtumbua Makonda akiwa uwanja wa KIA kabla hajakanyaga ardhi ya Arusha

    Mbwembwe zinazofanywa na makonda na tabia yake ya kujifanya yeye ni special kuliko wakuu wa mikoani wote leo ingemtokea puani. Ashukuriwe Mungu leo Kuna mvua Arusha, lakini mji umesimama! Watu wanalazimishwq kwenda kumpokea makonda kwa misafara mikubwa. Mbona wakuu wa mikoa wanapokabidhiwa...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Twaha Mpembenwe afika Kibiti kutoa pole, Rais Samia Suluhu Hassan kutuma misaada ya kibinadamu kusaaidia wahanga wa mafuriko

    Mbunge Twaha Mpembenwe Afika Kibiti Kutoa Pole, Rais Samia Suluhu Hassan Kutuma Misaada ya Kibinadamu Kusaaidia Wahanga wa Mafuriko Mbunge wa Jimbo la Kibiti Mkoa wa Pwani, Mhe. Twaha Ally Mpembenwe amefanya ziara ya kuwatembelea wananchi wa Kata, Vijiji, vitongoji na mitaa katika Wilaya ya...
  19. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais wa Tanzania amefanya upendeleo wa makusudi kwa mikoa ya Pwani na Tanga kuwa na Mawaziri wengi kuliko mikoa mingine?

    Shalom, Tafadhari nakaribisha mjadala wa wazi katika hili. Rais amethubutu vipi kuvunja kwa makusudi utaratibu wa uwiano wa uwakilishi kimimkoa na kikanda katika uteuzi wa Baraza la Mawaziri, kuna udhaifu gani dhidi ushauri katika misingi ya mila na desturi. Kuna nini nyuma upendeleo huo wa...
  20. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais wa Tanzania amefanya upendeleo wa makusudi kwa mikoa ya Pwani na Tanga kwenye Baraza la Mawaziri?

    Shalom, Tafadhari nakaribisha mjadala wa wazi katika hili. Rais amethubutu vipi kuvunja kwa makusudi utaratibu wa uwiano wa uwakilishi kimimkoa na kikanda katika uteuzi wa Baraza la Mawaziri, kuna udhaifu gani dhidi ushauri katika misingi ya mila na desturi. Kuna nini nyuma upendeleo huo wa...
Back
Top Bottom