polisi

  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mahakama: Mwanamke aliyefia Mahabusu ya Mahabusu alijinyonga

    Mahakama ya Korona Kinondoni jijini Dar es Salaam leo Ijumaa Septemba 22, 2023 imetoa uamuzi wa uchunguzi ilioufanya kuhusu mazingira ya kifo cha Stella Moses aliyefia mahabusu katika kituo cha Polisi Mburahati Desemba 20, 2020, ikisema kifo chake kilisababishwa na yeye mwenyewe kujinyonga...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Peter Madeleka: Leo itajulikana kama Stella alijinyonga au aliuliwa na polisi.

  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mwimbaji wa Wimbo wa "Mnatuona Nyani" afikishwa Mahakamani, tuhuma za Uchochezi zayeyuka yawa kesi ya kusambaza Uongo

    Kwa mujibu wa Wakili Jebra Kambole ambaye yuko upande wa utetezi, amesema Watuhumiwa wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi jijini humo kwaajili ya kusomewa Mashtaka yanayowakabili. Sifa Bujune, Mkazi wa Isyesye anashikiliwa tangu Septemba 13, 2023 pamoja na Mtayarishaji wa muziki aitwaye...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi tumieni Sheria na taratibu zilizopo kudhibiti mtu yeyote mwenye viashiria vya kuvuruga amani nchini

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini (Mb), ameliagiza Jeshi la Polisi kutumia sheria na taratibu zilizopo kudhibiti mtu yeyote mwenye viashiria au lengo la kuvuruga amani hapa nchini. Mhe. Sagini ametoa maagizo hayo alipotembelea na kukagua Kituo kidogo cha Polisi Bwanga...
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Wasanii watoa wimbo wa Kukemea matendo Maovu ya Polisi. Wamvaa RCO Andrew Kantimbo

    Tuseme Mbeya wameamua au ndo kawaida yao? Wanasema Andrew Kantimbo atawafunga, atawanyonga, atawapiga ila ajue sio Mungu. Kwamba anacheza na Chanda cha Mungu. Nashauri IGP amhamishe Mbeya sababu inaonekana Moyoni anachukiwa sana na Wananchi anao wasimamia.
  6. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maafisa Polisi wawanyanyasa Waandishi wa Habari waliokuwa wakiripoti maandamano katika makaburi ya Langata

    Tukio hilo limetokea wakati waandishi wa habari wakirekodi tukio la wafanyakazi wa makaburi ya Langata kugoma wakilalamika kucheleweshewa mishahara yao, ambapo polisi waliwataka waandishi wa habari waondoke kutoka eneo la tukio. Shughuli za mazishi zilisitishwa katika makaburi hayo, baada...
  7. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Polisi wengi wanatengwa na Jamii na kuishi kwa msongo mawazo

    Utafiti wangu mdogo umebaini Watanzania wengi hawana urafiki na polisi, yaani ule urafiki kama wa mtu na mshkaji wake, mfano kupigiana simu kujuliana hali, kutembeleana, kubadilishana mawazo, kushirikiana katika biashara na kupeana michongo. Mapolisi wengi wanakuwa na urafiki wao kwa wao na...
  8. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Polisi Kitunda Mkoani Tabora kimechomwa moto na wananchi wenye hasira

    Mkuu wa Kituo cha Polisi Kitunda amekimbia baada ya kunusurika kuuawa na wananchi wenye hasira. Katika tukio hilo la Septemba 18, gari la askari Polisi na Kituo cha polisi kimechomwa moto. IGP hana habari! ============== POLISI YAKIRI KUTOKEA KWA TUKIO HILO Alipoulizwa na JamiiForums kuhusu...
  9. figganigga

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Baada ya Polisi kumshikilia Msanii wa Nyimbo, Sifa Bujune Wenzake watoa wimbo wa Kulaani kitendo hicho

    Salaam Wakuu Ninacho jua, Watawala hawawezi kuwanyamazisha Watu wa Mbeya. Watu wa Mbeya ni wapole ila ni watu wenye Ushirikiano na kupendana pia. Hawaogopi wala kutishwa. Tangu enzi la Nyerere Mbeya imejijengea sifa hiyo. Waliomkamata Sifa walijua wamemaliza. Bado sana na ndo kwanza...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Video: Watu wenye maoni ya kuikera serikali kama huyu dada ndio wasiotakiwa na serikali ya CCM. Sitashangaa polisi wakimkamata kwa uchochezi!!

    Kwa ufupi na kwa uchache; "Inashangaza kuwa Rais Samia Suluhu Hassan anahubiri amani, uzalendo na utulivu huku akisahau neno HAKI Kwa makusudi. Pengine hajui kuwa hayo yote ni tunda la HAKI. Bila haki, hakuna yote hayo!" "Kuhusu Rais kuita katiba ya JMT kama kitabu tu kama vitabu vingine...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi Mbeya: Ulinzi waimarishwa kuelekea uchaguzi mdogo wa Ubunge Mbarali

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limejipanga vyema kuimarisha ulinzi na usalama kuelekea uchaguzi mdogo wa ubunge katika jimbo la Mbarali. Akizungumza na vyombo vya habari leo Septemba 18, 2023 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi wa Polisi Benjamin Kuzaga amesema, "Vikosi vyote vya...
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna mazingira ya rushwa kwa Askari wanaoomba kwenda Kozi

    Nimeamua kuandika hapa kwa kuwa JamiiForums inafuatiliwa na watu wengi ndani na je ya Nchi, mtandao huu unafuatiliwa na watu wa kawaida, Viongozi na Watu wengine mashuhuri. Ningependa kuwaomba kwa unyenyekevu mkubwa kabisa andiko langu hili liende hewani. Ikiwezekana andiko hili lifikisheni...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Polisi: Askari ana haki ya kutumia Silaha ili kujilinda

    JESHI la Polisi nchini, limewataka watu wanaojichukulia sheria mkononi kwa kuwashambulia askari wanaobeba siliha kuacha tabia hiyo mara moja kwani sheria inamruhusu kutumia silaha hiyo kwa ajili ya kulinda uhai wake, uhai wa mtu mwingine na mali binafsi na za serikali. Taarifa hiyo imetolewa na...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Aliyekuwa akisafirisha Mirungi afariki dunia wakati akijaribu kuwakimbia Polisi

    Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Mkacha Mohamed (35), mkazi wa Soya wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma, amefariki dunia baada ya kuanguka na pikipiki akiwa na mwenzake wakiwakimbia Polisi wa Kibaya waliokuwa kwenye doria kijiji cha Namelock. Vijana hao walikuwa wanasafirisha shehena ya dawa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Mwananchi au mfanyabiashara atakayetaka kusafirisha korosho kwa barabara kuomba kibali kwa polisi na mkuu wa mkoa! Nini maoni yako?

    Mhe. Rais ameelekeza korosho yote ya Mtwara isafirishwe kwa njia ya meli kupitia bandari ya Mtwara; vinginevyo ukitaka kusafirisha kwa barabara lazima uombe kibali kwa mkuu wa mkoa na polisi ikieleza kwanini uruhusiwe kutumia barabara. Kwanini amri hii imetolewa ? Kuna faida gani kutumia...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tabora: Mathias Maganga, adaiwa kufia mahabusu ya polisi

    Na Abdallah Amiri – Igunga Mathias Maganga (31) mkazi wa Kitongoji cha Kinambuga Kijiji cha Majengo, Kata ya Chabutwa, Tarafa ya Simbo Wilaya ya Igunga mkoani Tabora anadaiwa kufia Kituo kidogo cha Polisi Simbo. Baba wa marehemu, Maganga Hanga (67) akizungumzia kifo cha mwanawe juzi, alisema...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Polisi wazuia magari Chunya kwa saa 7 kusubiri mwenge

    Polisi Wilayani Chunya wamezuia magari yote toka Chunya Makongolosi na yote toka vijijini KUSUBIRI MWENGE upite toka saa10 mpaka saa 5 hii. Mwenge haujulikani uko wapi na utapita saa ngapi. Shughuli zote zimesimama KUSUBIRI upite. Sasa tutalaumuje kwamba maendeleo hayaji Wakati watu...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ateuliwa kuwa Mjumbe wa Bodi ya Ushauri wa Mabadiliko ya TabiaNchi

    Uteuzi wa Rais Samia uliwasilishwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Kituo cha Dunia cha Uhimilivu wa Mabadiliko ya TabiaNchi (GCA) Ban Ki-moon wakati walipokutana Kenya kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika uliohusu Mabadiliko ya TabiaNchi Wajumbe wengine wa Bodi hiyo ni Rais wa Senegal...
  19. Ileje

    JamiiForums Tanzania Kuna haja Police General Orders (PGO) ziwekwe hadharani kwa matumizi ya umma

    Mara nyingi watu hufanyiwa vitendo vya hovyo, udhalilishaji na kunyimwa haki zao za kisheria na kikatiba na polisi wetu kwa kukosa uelewa wa PGO. Hali hii hufanyika kwa makusudi na polisi ama kwa polisi kusahau au kutokuifahamu PGO. Kwa wananchi kuifahamu vizuri PGO watakuwa katika nafasi nzuri...
  20. Bemendazole

    JamiiForums Tanzania Gari T887 CKW imeibwa, atakayeiona atoe taarifa kituo cha polisi

    Kwa masikitiko napenda kutoa taarifa kuwa gari inayoonekana pichani imeibwa. Aina ya gari: Nissan Gloria No za usajili T887 CKW Rangi: Nyeusi, iliibwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam. Yeyote atakayeiona atoe taarifa kwa jeshi la polisi. Ahsante kwa ushirikiano. Wako Mmiliki, Bemendazole
Back
Top Bottom