polisi

  1. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa aipongeza CRDB kwa kutoa msaada wa pikipiki kwa Jeshi la Polisi kuimarisha usalama kwa watalii Arusha

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohammed Mchengerwa (wa pili kushoto) akiwa katika pikipiki zilizokabidhiwa na Benki ya CRDB kwa Kituo cha Polisi cha Utalii na Diplomasia jijini Arusha kwa ajili ya kusaidia katika doria na kuimarisha ulinzi na usalama kwa watalii. Wengine pichani ni Mkurugenzi...
  2. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Polisi Uganda ampiga risasi Mhindi dukani

    Tena alirudi mara ya pili kuhakikisha anamuua kabisa....
  3. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi wabaini maiti nyingine 29 kwenye Makaburi ya Shakahola, miili yafikia 179

    Polisi nchini Kenya Ijumaa wamepata miili 29 zaidi katika Msitu wa Shakahola, idadi kubwa zaidi ya kila siku tangu uchimbaji wa kaburi uanze mwezi uliopita, ikiwa ni uchunguzi dhidi ya sakata la Mchungaji Paul Mackenzie. Awamu ya pili ya uchimbaji wa miili ilianza wiki hii, baada ya timu...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania BAWACHA wadai wameruhusiwa kuandamana, Polisi yasema inasubiri siku ifike

    Wakati Baraza la wanawake Chadema (Bawacha) likieleza kuwa wameruhusiwa kufanya maandamano kesho, Jeshi la Polisi Kanda Maalum limesema linasubiri siku hiyo ifike. Mei 7, mwaka huu Bawacha walipanga kufanya maandamano ya kushinikiza Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson kuwaondoa wabunge 19 ambao...
  5. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Matumizi ya nguvu kupita kiasi katika ukamataji wa jeshi la polisi unavyodidimiza kaya masikini

    Nice try
  6. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Musa Pwele ashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za Kumbaka mwanaye wa kumzaa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Musa Pwele (47) Mkazi wa Jijini Mbeya kwa tuhuma za kuzini na maharimu. Kaimu Kamanda wa Polisi, ACP Christina Musyani amesema tukio hilo limetokea Mei 05, 2023 Jijini Mbeya baada ya mtuhumiwa kumtishia binti yake wa kumzaa kuwa hatampatia huduma...
  7. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Madrid: Polisi Waandamana Wakidai Nyongeza Ya Mshahara

    Tumezoea kuona Polisi wakituliza maandamano ya Raia katika maeneo mbalimbali na hata wakati mwingine kushuhudiwa kwa vurugu kati ya Raia na Polisi wakati wa maandamano lakini mambo yamekuwa tofauti Nchini Hispania ambapo Polisi ndio wameingia Barabarani kuandamana kushinikiza nyongeza ya...
  8. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Mackeninzie analalamika polisi wanamnyima chakula

    DUNIA bwana,huyu analalamika polisi wanamnyima chakula wakati yeye aliwafungisha watu mpaka kufa ili wakamuone Yesu,kwani yeye hapendi kumuona YESU :D :D :D :D :D :D :D
  9. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Uganda: Askari Polisi wakamatwa wakituhumiwa kuwaibia wezi

    Jumla ya Askari Polisi 10 wamekamatwa Jijini Kampala baada ya watuhumiwa wa wizi waliokamatwa na askari hao kudai kuwa kiasi cha pesa kilichotangawa kuwa kimerejeshwa hakifiki hata nusu ya nusu ya walichoiba wao. Inadaiwa kuwa wezi hao waliiba Dola 110,000 (Tsh. Milioni 258.1) na Euro 700 (Tsh...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania SACP David Misime awataka Maafisa Habari wa Jeshi la Polisi kuimarisha uhusiano na Waandishi wa Habari

    Maafisa Habari wa Jeshi la Polisi nchini wametakiwa kuimarisha uhusiano na Waandishi wa habari ili kwa pamoja waweze kuelimisha jamii kuhusu miradi mbalimbali ya Polisi Jamii kwa lengo la kutokomeza uhalifu. Hayo yamesemwa na Msemaji wa Jeshi Polisi, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP)...
  11. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Polisi wawatawanya wananchi waliotaka kuchota mafuta baada ya ajali ya lori

    Jeshi la Polisi mkoani Morogoro, limefanikiwa kuwatawanya wananchi waliojitokeza kuchota mafuta, baada ya lori lenye namba za usajili T 810 AJL lililobeba mafuta aina ya dizeli kuacha njia na kuingia mtaroni kisha mafuta hayo kuanza kumwagika, katika eneo la Msimba lililopo wilayani Kilosa...
  12. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali ianzishe kikosi cha Jeshi la Polisi Mazingira

    Kama Serikali ina nia ya dhati kufaulu kwenye usimamizi wa mazingira, Serikali haina budi kuanzisha kikosi cha jeshi la polisi mazingira. Suala la uchafuzi wa mazingira ni la saa 24 hivyo haliwezi likasimamiwa na watumishi wa wizara ambao hawana nyenzo za kuwadhibiti wahalifu.
  13. J

    JamiiForums Tanzania "Meya" Boni Jacob: "Polisi wafuate sheria na katiba, sio kauli za watawala au wanasiasa."

    ..Boni Jacob amezungumzia mambo mbalimbali kuhusu haki, siasa, katiba, na sheria. ..mojawapo ya mambo aliyoyatilia msisitizo ni jeshi la Polisi kuheshimu sheria na katiba badala ya kutekeleza maelekezo batili ya watawala na wanasiasa. ..fuatilia mahojiano yake na GlobalTv hapa chini.
  14. BigTall

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbeya: Kata ya Serengeti mabingwa wa Mashindano ya Kyela Polisi Jamii Cup 2023

    Mkuu wa Wilaya ya Kyela, Josephine Manase Keenja, Mei 01, 2023 amefunga rasmi mashindano ya mpira wa miguu yajulikanayo kwa jina la "KYELA POLISI JAMII CUP, 2023" baada ya kushuhudia fainali iliyozikutanisha timu za Kata ya Ipinda dhidi ya Kata ya Serengeti. Mashindano hayo yalihusisha Kata 33...
  15. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania SoC03 Namna Teknolojia inavyoweza kuzuia Rushwa na kuongeza weledi kwa Jeshi la Polisi na Uhamiaji

    UTANGULIZI. Jeshi la polisi na uhamiaji ni miongoni mwa vyombo vya dola ambavyo takwimu zinaonesha ndio vinavyoongoza kwa kukiuka maadili ya kazi kwa kujihusisha na vitendo vya rushwa. Jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani na askari wa doria ndio vinavyoongoza kwa vitendo vya rushwa...
  16. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Sitaki kuamini kama Polisi wamewashindwa Bodaboda, lakini wameshindikana

    Kwa Sasa sheria za barabarani hapa nchini kwetu ni kama hazipo kabisa. Bodaboda wanajiamulia Wanavyotaka,wanavuka zebra Huku wakiendesha Katikati ya kundi la raia wanaotembea kwa miguu. Maderava wanapiga honi katika zebra wakiwa mbio wakati watembea kwa miguu wakiwa wanavuka,yaani mtembea kwa...
  17. R

    JamiiForums Tanzania SoC03 Responded Kitambulisho cha Taifa kiboreshwe ili kuendana na ulimwengu wa kidigitali

    Kitambulisho cha taifa hutumika kuthibitisha uraia wa mwananchi kwenye taifa husika. Lakini namna ulimwengu unavyoshuhudia ukuaji wa kasi kwenye sekta ya teknolojia ni vizuri kuboresha kitambulisho cha taifa kwa kukiwezesha kubeba taarifa nyinginezo muhimu pamoja na nyaraka za mhusika. Itasaidia...
  18. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Kutokufanya kazi kwa mfumo wa kuripoti wizi, kunafanya raia wengi wapoteze fedha

    Kupitia mfumo wa kutoa taarifa kuhusu mali zilizopitea jeshi la polisi huwaibia raia wengi sana shilingi 500. Yaani unaweza kuwasilisha taarifa zako kwa usahihi kisha baada ya kufanya malipo mfumo unakwambia "Ripoti bado haijathibitishwa" hapo utasubiri hata siku 3 hakibadiliki kitu ndo...
  19. dubu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru Kenyatta: Polisi acheni kutumika vibaya na Serikali

    Rais Mstaafu wa Kenya, amewataka Polisi wa Kenya Kutenda haki na kuacha kutumika Vibaya kwa manifaa ya Serikali. Imejili baada ya kutaka kuzuiliwa kuingia kituo cha Polisi. Cheo ni dhamana. Sasa hivi Uhuru Kenyatta anazuiliwa na Polisi!
  20. aka2030

    JamiiForums Tanzania Kwanini polisi wanapenda sana kujipost mitandaoni?

    Nauliza tu mbona wao sio kama wale wa TPDF kidogo picha kidogo kujisifia
Back
Top Bottom