polisi

  1. Ritz

    JamiiForums Tanzania Magaidi wavamia makanisa mawili ya Orthodox, sinagogi na kituo cha polisi huko Urusi

    Wanaukumbi. BREAKING: 🇷🇺Mapigano na magaidi yanaendelea, baadhi ya wanamgambo wameondolewa, wengine wamezuiliwa. - Wanamgambo wawili waliangamizwa huko Dagestan, -Gari la doria linawaka moto kwenye Mtaa wa Ordzhonikidze. -Mashambulizi ya silaha yalifanywa kwa makanisa mawili ya Orthodox...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Polisi mkuu wa Kenya (IGP) avunjika mikono akiwalipua waandamanaji.

    Inasemekana kwamba Polisi aliyevunjika mikono pale Kenya kwa kuwatupia mabomu waandamanaji ni IGP wa Kenya. Kwa nini habari hii inafutwafutwa mitandaoni na kuonekana kama ni polisi wa cheo cha kawaida? Hata ingekuwa wa cheo cha chini mimi nimefurahi fundisho hilo kwa mapolisi wakuda wa aina...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Jamani nia na madhumuni ya Uzi huu ni kupeana updates mbalimbali Kwa wale tulio omba ajira za jeshi la polisi 2024 kama Kuna yeyote anajua chochote kuhusiana na CCP akuje atupe mwanga, mbinu za kutoboa pamoja na life la huko Asantni🙏
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mwandishi wa Habari, Dinna Maningo na wenzake waachiwa kwa dhamana kutoka Polisi

    Mwandishi wa Habari, Dinna Maningo pamoja na wenzake Waandishi wa Habari wawili wameachiwa huru baada ya kushikiliwa kwa zaidi ya wiki moja. Taarifa zaidi zinafuata... ~ Hii kamatakamata ya Waandishi wa Habari na ukimya wa Polisi, ni hatari kwa Uhuru wa Vyombo vya Habari ~ THRDC: Mwandishi...
  5. Mill broh

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mfumo wa Polisi unatoa invalid control number unapoomba loss report online

    Habari wakuu! Leo ni siku ya pili naomba loss Report bila mafanikio nikifika hatua ya kulipia nikiingiza control number inaandika number does not exist. Nini kinaweza kuwa changamoto hapo wataalam?
  6. BigTall

    JamiiForums Tanzania Hii kamatakamata ya Waandishi wa Habari na ukimya wa Polisi, ni hatari kwa Uhuru wa Vyombo vya Habari

    Nikiwa kwenye TV yangu nimefanikiwa kupata nafasi ya kumsikiliza Mkuu wa Nchi Rais Samia Suluhu Hassan kwa mara nyingine akisisitiza Uhuru wa Vyombo vya Habari, hii ilikuwa kwenye lile Kongamano la Wanahabari, Juni 18, 2024. Alivyokamatwa Mwandishi wa kwanza katika sakata hilo ~ Mwandishi...
  7. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Paroko katajwa kimakosa kifo cha Albino, Polisi Mtawaambia nini Watanzania?

    Salaam Wakuu, Mambo ya dini yanaamsha hisia sana. Inadaiwa Paroko aliyetajwa si Paroko wala nini. Ni kweli Polisi nao ni Binadamu. Kwa hili tunaomba uwajibikaji. Inadaiwa Paroko ni Deodatus Tibakwasa na msaidizi wake ni Fr. Mathias. "Msemaji wa Jeshi la Polisi David Misime amewataja...
  8. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania KERO Biashara ya lodge Sinza, Manzese na Tandale ni hatari kwa sasa! Wateja na wamiliki wanadhalilishwa na polisi kwa kisingizio Cha madada poa!

    Inasikitisha sana kwa wakuu wa wilaya na mapolisi kuvamia guest usiku, na kuwadhalilisha wateja waliolala kama vibaka. Ifahamike kwamba gesti ni biashara kama zilivyo biashara zingine! Kinachoendelea wilaya ya Ubungo ni udhalilishaji na kuharibiana biashara. Chimbuko la madada poa sio gesti...
  9. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Sinza: Madada Poa 25 na Wateja wao 5 wadakwa na Polisi

    Msako uliofanyika Ubungo Riverside unaendelea Sinza. Nadhani muda wa kwenda viwanja mbali na maeneo ya uyu Mkuu wa Wilaya. Hapa naona ni mitaa ya Vibe Lounge (zamani Corner Bar) Sinza Mori.
  10. mackj

    JamiiForums Tanzania Ulipuaji mabomu wakati wa mazoezi ya kijeshi unaofanywa na polisi kikosi cha kutuliza ghasia FFU manispaa ya Musoma udhibitiwe ni hatari kwa afya za w

    Kambi ya jeshi la polisi kikosi cha kutuliza ghasia FFU kilichoko mtaa wa uwanja wa ndege kata ya kamunyonge manispaa ya Musoma kinaendesha zoezi la ulipuaji mabomu na silaha za kivita ovyo bila utaratibu wakati wa mazoezi yao bila kutoa tahadhari kwa wananchi jambo ambalo limekuwa kero na kuzua...
  11. Sex body

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Wanachama wa Simba wapigwa STOP na Polisi

    Itoshe kusema Mangungu anamizizi iliyo jikita kisawa sawa hivyo wanasimba mjiandae kwa maumivu makali msimu ujao mchangue moja wakati wa match akiingia uwanjani azomewe au apigwe mawe au msuse kuingia uwanjani ni hayo tu. Muwe na usiku mwema
  12. Johnson Yesaya

    JamiiForums Tanzania SoC04 Jeshi La Polisi, "Mwiba Kwa Wananchi wa Tanzania" liundwe upya

    1.0 Utangulizi. Jeshi la polisi la Tanzania, ni kati ya majeshi mengi Afrika ambayo yanalaumiwa sana na wananchi kwa ukiukaji mkubwa wa sheria na haki za binadamu ikiwemo kuua raia katika mazingira ya kutatanisha, kupora mali na fedha za wananchi wanapokuwa mikononi mwa polisi, kuwatolea...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa tuliowahi kufukuza / kufukuzwa na polisi, wezi. Je, ulichomoka kwa anaekufukuza ama kumpata unaemfukuzia?

    2014 hiyo nipo napiga misele kwenye kagari kangu carina ti, nipo eneo halina magari ghafla nikafika sehemu nigeuze gari bila kuangalia nyuma, vile nageuza nasikia kishindo, kuangalia nyuma ni gari ya idara fulani ya usalama, akili ziliziruka maana navyosikia ukiingia 18 zao utaita maji mma...
  14. greater than

    JamiiForums Tanzania Huduma katika Kituo cha Polisi Oysterbay ziboreshwe

    Utakapoenda kituo cha polisi Oysterbay na ikakupasa usubirie huduma, Utaelekezwa nje, upande wa pili wa barabara. Sehemu yenyewe haina Mabenchi ya Kukaa Ni njia ya Vumbi Hakuna Kikinga mvua wala jua. Wizara ya mambo ya Ndani na Jeshi la polisi, jirekebisheni kwa hili.Mana nawaza kama Oysterbay...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Malisa aachiwa kwa dhamana Saa Saba Usiku, moja kwa moja aelekea Hospitali ya KCMC

    Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limemuachia kwa dhamana Godlisten Malisa majira ya Saa saba Usiku wa kuamkia leo Juni 8, 2024. Baada ya kuachiwa moja kwa moja yeye na wawakilishi wake wakiongozwa na Wakili Hekima Mwasipu wakaelekea Hospitali ya KCMC kutokana na afya ya Malisa kudaiwa kutokuwa...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RPC Mara: Kama kuna Mgambo wanaodai wanafanya kazi ya Polisi hao ni Wahalifu tu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara limetoa ufafanuzi juu ya madai ya Polisi kuwatumia Mgambo katika shughuli zao Awali, Mwanachama wa JamiiForums.com alidai Mgambo hao wamekuwa wakitumiwa usaidia shughuli za Kipolisi wamekuwa hawatendi haki kwa baadhi ya Wananchi pia akadai wanashirikiana na Whalifu...
  17. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Polisi Bunda wafanyieni uchunguzi wanunuzi wa vyuma chakavu

    Hili sasa ni janga kuu hapa Bunda. Unapoamka alfajiri unakutana na makundi ya watoto na vijana wamebeba shehena za vyuma kwenye mifuko na maboksi yao. Wanavitoa wapi? Mwisho wa safari zao huwa ni kwa wachuuzi wa vyuma ambao kwa bahati mbaya sana hawabagui vyuma aina ya vyuma chakavu...
  18. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Polisi anayeenda kumkamata mwananchi anatakiwa kuwaje? Mwananchi anatakiwa kufanya nini ikiwa amegundua mtu huyo siyo polisi?

    Wakuu mko salama? Kumekuwa na matokeo mengi yanatokea hivi karibuni watu wanakamatwa na watu wanaojitambulisha ni polisi mwisho wa siku wanaokotwa wamekufa, polisi wakiambiwa ni wao wamefanya hivyo wanagoma kuwa waliowakamata siyo polisi. Wakati mwingine huwa inatokea wanaomkamata mtuhumiwa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ijenge Vituo vya Polisi kwa kila kata, kuwe na Magari ya wagonjwa na gari za Zimamoto

    Nashauri serikali yetu iwe na mipango ya kujenga vituo vya kipolisi kwa kila kata, pia kuwe na gari za wagonjwa, gari za zima moto. Katika huduma ya afya, nashauri maduka yote ya dawa yapewe vibali maalum vya kuuza dawa ili dawa zipatikane hospitali za kata kwa urahisi. Manaibu waziri, wakuu...
  20. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi latoa ufafanuzi juu ya tuhuma za baadhi ya Trafiki kuhusika na uchepushaji wa fedha

    Jeshi la Polisi lingependa kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa zilizoandikwa na kusambazwa kupitia vyombo vya habari zikisema "Wachepusha mfumo wa malipo". Taarifa hiyo imeenda mbali zaidi ikidai na kutaka kuaminisha umma kuwa askari wa Usalama barabarani wameingilia mfumo wa malipo ya fedha za...
Back
Top Bottom