Kutokana na ukosefu sugu wa vitendea kazi Jeshi la Zimamoto napendekeza liunganishwe na kiwe kitengo ndani ya jeshi la polisi

Konseli Mkuu Andrew

JF-Expert Member
May 10, 2013
740
855
Siku za nyuma kidogo nilipiga simu jeshi la zimamoto na katika maongezi yetu na askari aliyekuwa mapokezi nikamuuliza ni kwanini huwa wanachelewa kufika eneo la tukio panapotokea ajali ya moto na hata wakifika huwa hakuna msaada wanaotoa.

Alichonieleza ni kuwa sio kama wanapenda kufanya hivyo bali hawana vitendea kazi vya kutosha na hivyo vilivyopo huwa mara nyingi huwa vipo kwenye garage na malipo huwa ni changamoto sana kiasi kwamba huwa wanashindwa kurespond majanga yanapotokea.

USHAURI
Najua fika jeshi la zimamoto limeanzishwa kwa Sheria za Bunge, napendekeza serikali ilivunje mara moja jeshi ili na kurudishwa kuwa kitengo cha jeshi la polisi maana naona fika askari wa jeshi ili la zimamoto huwa wapo idle sana kiasi kwamba wanaishi kwa mazoea maana hakuna kazi wanazofanya.

Tumeshuudia mkoani Kilimanjaro zaidi ya marambili soko la mbuyuni kuungua ila mara zote hizo jeshi la zimamoto mkoa wa Kilamanjaro huwa limeshindwa kutekeleza majukumu yake na mbadala wake kitengo cha zima moto kiwanda cha sukari TPC ndio huwa msaada.

Kurudishwa na kuwa kitengo ndani ya Jeshi la polisi kunaweza kuboresha ufanisi na kama hakuna majanga ya moto askari hawa wanaweza fanya majukumu mengine kama kuimarisha usala wa raia na mali zao.

Nawasilisha.
 
Si lilikuwa ni idara ya Polisi kabla ya JPM kulifanya Jeshi Kamili, ili kuondoa mgogoro wa kugombea u-IGP kwa kina Chagonja na Andengenye na wenzao!!

Akampa Changonja u-RAS Katavi na Andengenye akampa ukuu wa Jeshi la Zimamoto ambako Andengenye alinunua vifaa vya kuzimia moto kwa fedha kubwa 'pasipo' ushiriki wala ridhaa ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na akaondolewa kwenye nafasi yeye pamoja na Kangi Lugora, aliyekuwa Waziri wa mambo ya ndani wakati huo.

Kulirudisha polisi ni wazo jema, ila kuwanunulia vifaa vya uokozi ni jambo jema zaidi.
 
Siku za nyuma kidogo nilipiga simu jeshi la zimamoto na katika maongezi yetu na askari aliyekuwa mapokezi nikamuuliza ni kwanini huwa wanachelewa kufika eneo la tukio panapotokea ajali ya moto na hata wakifika huwa hakuna msaada wanaotoa, alichonieleza ni kuwa sio kama wanapenda kufanya hivyo bali hawana vitendea kazi vya kutosha na hivyo vilivyopo huwa mara nyingi huwa vipo kwenye garage na malipo huwa ni changamoto sana kiasi kwamba huwa wanashindwa kurespond majanga yanapotokea.

USHAURI.
Najua fika jeshi la zimamoto limeanzishwa kwa sheria za bunge ,napendekeza serikali ilivunje mara moja jeshi ili na kurudishwa kuwa kitengo cha jeshi la polisi maana naona fika askari wa jeshi ili la zimamoto huwa wapo idle sana kiasi kwamba wanaishi kwa mazoea maana hakuna kazi wanazofanya.Tumeshuudia mkoani Kilimanjaro zaidi ya marambili soko la mbuyuni kuungua ila mara zote hizo jeshi la zimamoto mkoa wa Kilamanjaro huwa limeshindwa kutekeleza majukumu yake na mbadala wake kitengo cha zima moto kiwanda cha sukari TPC ndio huwa msaada.

Kurudishwa na kuwa kitengo ndani ya Jeshi la polisi kunaweza kuboresha ufanisi na kama hakuna majanga ya moto askari hawa wanaweza fanya majukumu mengine kama kuimarisha usala wa raia na mali zao.

Nawasilisha.
Sio kuunganishwa na polisi, hilo jeshi la Zimamoto linapaswa kufutwa kabisa, na hicho kitengo kisiwepo popote pale. Kwanini?
Hilo jeshi (sijui kitengo) ni mfu, halina kazi yoyote linayofanya, kuendelea kuwepo ni kupoteza pesa za umma.
 
Si lilikuwa ni idara ya Polisi kabla ya JPM kulifanya Jeshi Kamili, ili kuondoa mgogoro wa kugombea u-IGP kwa kina Chagonja na Andengenye na wenzao!!

Akampa Changonja u-RAS Katavi na Andengenye akampa ukuu wa Jeshi la Zimamoto ambako Andengenye alinunua vifaa vya kuzimia moto kwa fedha kubwa 'pasipo' ushiriki wala ridhaa ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na akaondolewa kwenye nafasi yeye pamoja na Kangi Lugora, aliyekuwa Waziri wa mambo ya ndani wakati huo.

Kulirudisha polisi ni wazo jema, ila kuwanunulia vifaa vya uokozi ni jambo jema zaidi.
Hakupelekwa hata mahakamani lakini VEO akiiba mchango wa elfu 50 kesho yake mahakamani
 
Siku za nyuma kidogo nilipiga simu jeshi la zimamoto na katika maongezi yetu na askari aliyekuwa mapokezi nikamuuliza ni kwanini huwa wanachelewa kufika eneo la tukio panapotokea ajali ya moto na hata wakifika huwa hakuna msaada wanaotoa.

Alichonieleza ni kuwa sio kama wanapenda kufanya hivyo bali hawana vitendea kazi vya kutosha na hivyo vilivyopo huwa mara nyingi huwa vipo kwenye garage na malipo huwa ni changamoto sana kiasi kwamba huwa wanashindwa kurespond majanga yanapotokea.

USHAURI
Najua fika jeshi la zimamoto limeanzishwa kwa Sheria za Bunge, napendekeza serikali ilivunje mara moja jeshi ili na kurudishwa kuwa kitengo cha jeshi la polisi maana naona fika askari wa jeshi ili la zimamoto huwa wapo idle sana kiasi kwamba wanaishi kwa mazoea maana hakuna kazi wanazofanya.

Tumeshuudia mkoani Kilimanjaro zaidi ya marambili soko la mbuyuni kuungua ila mara zote hizo jeshi la zimamoto mkoa wa Kilamanjaro huwa limeshindwa kutekeleza majukumu yake na mbadala wake kitengo cha zima moto kiwanda cha sukari TPC ndio huwa msaada.

Kurudishwa na kuwa kitengo ndani ya Jeshi la polisi kunaweza kuboresha ufanisi na kama hakuna majanga ya moto askari hawa wanaweza fanya majukumu mengine kama kuimarisha usala wa raia na mali zao.

Nawasilisha.
Walikuwa kitengo chini ya jeshi la polisi zamani lakin even that walitolewa. unadai wako idle, una uhakika? Jeshi la zimamoto liwezeshwe si kuvunjwa
 
Sio kuunganishwa na polisi, hilo jeshi la Zimamoto linapaswa kufutwa kabisa, na hicho kitengo kisiwepo popote pale. Kwanini?
Hilo jeshi (sijui kitengo) ni mfu, halina kazi yoyote linayofanya, kuendelea kuwepo ni kupoteza pesa za umma.
Uko sahii mkuu
 
Ikiwa hii huduma ya kuzima moto tangia zamani hata kabla ya ujio wa zimamoto watu walikuwa wanapata hasara kubwa Sana.

Maana yake , tatizo sio jeshi Ila tatizo ni serikali kuwekeza kwa uchache Sana KTM hilo jeshi.

Ushauri naomba serikali Iwape watu binafsi tenda ya kuzima moto na kuokoa kuliko ilivyo sasa
 
napendekeza mkuu livunjwe na lirudi kuwa kitengo cha Polisi
Umchelewa it is too late. Sijaona sababu ya maana kwanini livunjwe?
Zimamoto limeisha kwenda mbali mno, majukumu yao na police hayafanani tena, unahitaji ku retrain jeshi zima ku fit police again. Serikal haito ingia gharama hizo.

Zima moto wamekuwa ni kama step child wa serikali, jeshi liwezeshwe kwenye vifaa na mafunzo
 
Siku za nyuma kidogo nilipiga simu jeshi la zimamoto na katika maongezi yetu na askari aliyekuwa mapokezi nikamuuliza ni kwanini huwa wanachelewa kufika eneo la tukio panapotokea ajali ya moto na hata wakifika huwa hakuna msaada wanaotoa.

Alichonieleza ni kuwa sio kama wanapenda kufanya hivyo bali hawana vitendea kazi vya kutosha na hivyo vilivyopo huwa mara nyingi huwa vipo kwenye garage na malipo huwa ni changamoto sana kiasi kwamba huwa wanashindwa kurespond majanga yanapotokea.

USHAURI
Najua fika jeshi la zimamoto limeanzishwa kwa Sheria za Bunge, napendekeza serikali ilivunje mara moja jeshi ili na kurudishwa kuwa kitengo cha jeshi la polisi maana naona fika askari wa jeshi ili la zimamoto huwa wapo idle sana kiasi kwamba wanaishi kwa mazoea maana hakuna kazi wanazofanya.

Tumeshuudia mkoani Kilimanjaro zaidi ya marambili soko la mbuyuni kuungua ila mara zote hizo jeshi la zimamoto mkoa wa Kilamanjaro huwa limeshindwa kutekeleza majukumu yake na mbadala wake kitengo cha zima moto kiwanda cha sukari TPC ndio huwa msaada.

Kurudishwa na kuwa kitengo ndani ya Jeshi la polisi kunaweza kuboresha ufanisi na kama hakuna majanga ya moto askari hawa wanaweza fanya majukumu mengine kama kuimarisha usala wa raia na mali zao.

Nawasilisha.
V8 haziwezi kuwa converted zizime moto?
 
Sio kuunganishwa na polisi, hilo jeshi la Zimamoto linapaswa kufutwa kabisa, na hicho kitengo kisiwepo popote pale. Kwanini?
Hilo jeshi (sijui kitengo) ni mfu, halina kazi yoyote linayofanya, kuendelea kuwepo ni kupoteza pesa za umma.
Wana vifaaa au unataka wanunue vifaa kwa mishahara yao? we mjinga mno, hili swali kawaulize wanunua V8
 
Siku za nyuma kidogo nilipiga simu jeshi la zimamoto na katika maongezi yetu na askari aliyekuwa mapokezi nikamuuliza ni kwanini huwa wanachelewa kufika eneo la tukio panapotokea ajali ya moto na hata wakifika huwa hakuna msaada wanaotoa.

Alichonieleza ni kuwa sio kama wanapenda kufanya hivyo bali hawana vitendea kazi vya kutosha na hivyo vilivyopo huwa mara nyingi huwa vipo kwenye garage na malipo huwa ni changamoto sana kiasi kwamba huwa wanashindwa kurespond majanga yanapotokea.

USHAURI
Najua fika jeshi la zimamoto limeanzishwa kwa Sheria za Bunge, napendekeza serikali ilivunje mara moja jeshi ili na kurudishwa kuwa kitengo cha jeshi la polisi maana naona fika askari wa jeshi ili la zimamoto huwa wapo idle sana kiasi kwamba wanaishi kwa mazoea maana hakuna kazi wanazofanya.

Tumeshuudia mkoani Kilimanjaro zaidi ya marambili soko la mbuyuni kuungua ila mara zote hizo jeshi la zimamoto mkoa wa Kilamanjaro huwa limeshindwa kutekeleza majukumu yake na mbadala wake kitengo cha zima moto kiwanda cha sukari TPC ndio huwa msaada.

Kurudishwa na kuwa kitengo ndani ya Jeshi la polisi kunaweza kuboresha ufanisi na kama hakuna majanga ya moto askari hawa wanaweza fanya majukumu mengine kama kuimarisha usala wa raia na mali zao.

Nawasilisha.
Ushauri mzuri hii. Kwa upande wangu ningependekeza liongezewe nguvu na lisiwe la zimamoto tu, bali liwe la Kukabiliana na Majanga aina yote.
 
Umchelewa it is too late. Sijaona sababu ya maana kwanini livunjwe?
Zimamoto limeisha kwenda mbali mno, majukumu yao na police hayafanani tena, unahitaji ku retrain jeshi zima ku fit police again. Serikal haito ingia gharama hizo.

Zima moto wamekuwa ni kama step child wa serikali, jeshi liwezeshwe kwenye vifaa na mafunzo
Nchi imejaa wajinha wanasapoti ujinga, watawala wako busy kwa anasa, V8 inanunua zimamoto kama 5 au 6
 
Back
Top Bottom