figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
Mimi katika kuishi kwangu nilijua Waharifu ndo wanadukua Mitandao ya Kijamii kama Facebook, Instagram, twitter, Whatsapp nk, baada ya Mfanyabiashara maarufu wa Magari Jijini Dar Samweli Shammy kupasua jibu na kuweka wazi kinagaubaka jinsi alivyo dukuliwa nikashangaa sana.
Nimeshangaa kusikia Polisi wanadukua Account zetu za Mitandao ya Kijamii. Kwamba Mwanasiasa anaweza kumtuma Polisi adukue simu yako na Kufuta Ushahidi. Polisi hao hao wanaenda eti Benk wanachukua fedha za mtu kwa amri ya Mwanasiasa. Nimeshangaa sana.
Hata hivyo Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro amekanusha kata kata kwamba hajatumwa na Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa.

Mfanyabiashara bilionea Dar es Salaam, adai kutishiwa maisha, akimbia kwa pikipiki kutoroka asiuawe hadi Arusha
Mfanyabiashara maarufu wa Magari Jijini Dar es Salaam, Samweli Shami maarufu Bilionea Shami, amedai kutishiwa maisha na watu aliodai ni vigogo wa polisi jijini humo na kulazimika kuyakimbia makazi yake kutoka dar akitumia usafiri wa pikipiki na kukimbilia jijini Arusha. Akiongea na vyombo vya...
www.jamiiforums.com
Hata hivyo Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro amekanusha kata kata kwamba hajatumwa na Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa.