JESHI la Polisi mkoani Morogoro limesema kuna ongezeko la vitendo vya ubakaji na ulawiti vinavyohusisha wanafunzi wenye umri chini ya miaka 18 wanaotendana ukatili huo wanapokuwa shuleni.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Alex Mkama alibainisha hayo mjini hapo wakati alipochangia mada...
Nimefurahishwa sana na picha hii ya askari wanawake ambao wako fit kabisa.
Ni huko Urambo Tabora, Nipashe leo march 9. Mimi namchagua no 1, kwa maringo tu!
Huyu askari mstaafu Kimaro a.k.a Saba Sita, anafukuzana na kivuli chake cha mauti.
Siyo rahisi kwa mila za kiafrika, kukikaribisha kifo kwa bashasha na kimipango kama huyu Saba Sita anavyofanya.
Mauti yake yamemkaa akilini kisawasawa na hafikirii kitu kingine cha maendeleo.
Huyu Saba Sita...
Habari wana JF,
Kuna huu wizi sijui niite utapeli ambao binafsi nimeanza kuushuhudia tangu mwaka 2022 kwa maeneo ya Kariakoo na kila mara nikipita eneo hilo nakuta huo wizi unaendelea utapeli wenyewe unafanywa na jamaa wauza juice ya miwa mitaa ya karume mbele ya TBL (Tanzania Breweries...
Kamati ya Usalama Barabarani Mkoa wa Mbeya imekabidhi magari mawili na pikipiki mbili kwa Jeshi la Polisi ili kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa majukumu hasa doria za barabara kuu, utoaji wa elimu na kudhibiti ukiukwaji wa sheria za usalama.
Akizungumza na waandishi wa habari Machi 04...
Nikianza Jeshi la Polisi napenda kusema huu niuonevu wa wazi!
Swala la Namba 3D kuziondoa kwenye magari niuonevu usiozingatia sheria, Namba za kawaida kinacho reflect siyo maandishi ni kibati(Plate) Sawa sawa na 3D kinacholifanya Jeshi la Polisi kuondoa 3D nini? Kama siyo uonevu kwa Raia? Nchi...
Jeshi la Polisi Nchini limesema hivi karibuni kumejitokeza tabia ya baadhi ya watu kujichukulia sheria mkononi kwa kufanya vitendo vya kihalifu ambavyo havikubaliki,
Akitoa taarifa kwa Vyombo vya Habari leo Februari 28, 2024 Msemaji wa Jeshi la Polisi Naibu Kamishna wa Polisi DCP David Misime...
Polisi wametakiwa kumsaka na kumkamata askari anayedaiwa kumbaka msichana wa miaka 13 ili kuondoa hisia kwamba wanajaribu kuificha kashfa hiyo na kumkingia kifua afisa wao huyo.
Askari huyo aliyefahamika kwa jina la Madushi Mhogota Ng’wala, aliyekuwa akifanya kazi katika dawati la jinsia la...
Mara zote tumewashutumu polisi humu jf na kwingineko , na hata tumefikia na kuazimia kulivunja Jeshi hilo ilii liundwe upya, Lakini kiukweli Polisi ni watu wazuri tu , Shida kubwa ni hao viongozi wao wanaotaka kila askari awe mtumwa wa CCM, kwa vile wao wameteuliwa na Mwenyekiti wa CCM kwenye...
Tangu awamu ya 4 ya Mh. Kikwete polisi Tanzania wana stress sana . Sababu kubwa ni kuachwa gape kubwa la kimaslahi na askari na maofisa wa JWTZ. Posho na mishahara ya hawa watumishi ziko mbalimbali.
Kwakuwa jeshi ni utii polisi wetu wamekuwa watii kwa serikali lakini hasira zao zinaishia kwa...
Salama Wana JF, Nimeona andiko hili huko Mtandaoni, kuna mwenye taarifa ya kinachoendelea?
===
Mwandishi Kazimbaya Makwega asafirishwa toka Mwanza kwenda Dodoma
Ndugu waaandishi wenzangu muda huu nimefika kituo kikuu cha polisi kati na mawakili wa wawili wa OJADACT kufuatilia kukamatwa kwa...
Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani limesema litaendelea Kushirikiana na wadau wa Utalii ili kuweka mazingira bora ya usalama barabarani ambayo yatawashawishi watalii wa ndani na wale wanaotoka barani Afrika na Ulaya kuongezeka kwa wingi na kutembelea vivutio vilivyopo hapa nchini huku...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara limelazimika kurusha mabomu ya machozi kutawanya wananchi wa Magugu waliokuwa wanataka kuchoma kituo cha Polisi kwa madai ya kumtoa mhalifu aliyedaiwa kubaka mtoto wa miaka sita kisha kumchinja
Baada ya mtuhumiwa kuokolewa na Polisi na kupelekwa kituo cha...
Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) kimehitimisha mafunzo ya ukaguzi wa magari kwa askari wa kikosi cha usalama barabarani nchini ambacho kilihusisha wakuu wa kikosi cha usalama barabarani na wakaguzi wa magari (vehicle inspectors) kote nchini ambacho kilianza februari 19 hadi 20 mwaka huu katika chuo...
Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam linachunguza tukio la mtu mmoja aliyejifanya mganga wa jadi huko maeneo ya Mji mwema, Kigamboni, Dar es Salaam kwa kuwanywesha dawa inayodhaniwa kuwa ni sumu na kuwalewesha watu 16 wa familia moja na baadae kuwaibia simu.
Tukio hilo limetokea tarehe...
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰
🏆 ASFC
⚽️ Young Africans SC🆚Polisi TZ
📆 20.02.2024
🏟 Azam Complex
🕖 1:00 Usiku
Kikosi kinachoanza dhidi ya Polisi Tanzania
Mpira umeanza
Dakika ya 13
Goaaaaaaaal Guedeeeee
Dakika 45+1
Chuma cha piliii Farid Mussa⚽️🙌🏼
Dakika ya 45 niongeza 2
Gwedeeee goli la tatu dakika ya 46...
Katika kuhakikisha mifumo inaondoa changamoto na malalamiko kwa wananchi hususani katika shule za udereva ambazo hazijasajiliwa, Jeshi la Polisi na Taasisi ya Mitambo Mizito na Teknolojia IHET wamekuja na mfumo uitwao (DSRS) Driving School Registration System ambao Utazitambua shule ambazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.