polisi

  1. BigTall

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Polisi, Kibamba CCM ni changamoto, hali ni mbaya

    Wakazi wa Kibamba CCM, kuhusu "Barabara ya Police" imekuwa changamoto, yaani gari haziwezi kupanda kabisa tunaambiwa Mkandarasi ameshasaini Mkataba lakini hatuoni kinachoendele na mvua ikinyesha hali ndio inakuwa mbaya zaidi. Tumekuwa tunaripoti lakini wanachofanya ni kuleta michanga, mvua...
  2. Zakamwamoba

    JamiiForums Tanzania Watu wanaodhaniwa kuwa Polisi wamkamata Sheikh Abdulrazack Mohamed na kumpeleka kusikojulikana

    Taarifa kutoka huko Tunduru mkoani Ruvuma zinadai kwamba Sheikhe afahamikae kwa jina la Abdulrazack Mohamed alikamatwa na watu wanaodhaniwa kuwa polisi (kutokana na mavazi yao) mnamo tarehe 7 mwezi March 2024 na kupelekwa kusikojulikana. Ndugu walivofanya ufuatiliaji kwenye vituo vyote vya...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Amos Makalla: Nimezaliwa Ocean Road, Baba Polisi, Mama Polisi

    Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Amos Makalla amesema yeye ni Mtoto wa Mjini amezaliwa Kilwa road na wazazi wake Wote ni askari Polisi Makalla amesema yuko tayari kwa mdahalo na Mwanasiasa yoyote Wakati wowote na pia yuko tayari kwa Siasa za maridhiano na hayuko tayari kwa Siasa za viroja...
  4. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Ujuzi na mbinu miaka ya nyuma kukwepa polisi

    Miaka ya (1920-1933) huko nchini marekani wauzaji na wasambazaji wa pombe haramu waligundua njia za kuwa kwepa polisi kila wanapoelekea kusambaza pombe. Njia hiyo walitumia kuweka nyao za ng'ombe kwenye viatu ili kuwapoteza polisi kujua sehemu inapotokea pombe na kuelekea. UJUZI.
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Kituo cha Polisi Wilaya ya Ushetu, Mkoa wa Shinyanga

    Ujenzi wa Kituo cha Polisi Wilaya ya Ushetu, Mkoa wa Shinyanga Mbunge wa jimbo la Ushetu, Emmanuel Cherehani ameiomba serikali kukamilisha haraka ujenzi wa Kituo cha Polisi Ushetu ambacho kwa nguvu za wananchi kipo hatua ya msingi. Ametoa Ombi hilo wakati akichangia hoja baada ya jibu la Naibu...
  6. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Kahama: Bertha Mabula adai polisi kutaka kumbambikia kesi ya ugaidi kutaka kulipua Mahakama Kuu

    Bertha Mabula amesema anahofia usalama wake kwa madai ya kubaini Polisi Mjini Kahama wanataka kumbambikia kesi ya ugaidi wakidai alitaka kulipua Mahakama Kuu Kanda ya Shinyanga wakati akifuatilia mwenendo wa shauri lake kwa ajili ya kukata rufani. Bertha amedai alifika Mahakama Kuu kwa ajili ya...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi mkoani Katavi imekamata Watuhumiwa 128, wamo wa Dawa za Kulevya, Gongo Lita 223

    Jeshi la Polisi mkoani Katavi imekamata Watuhumiwa 128 kwa makosa mbalimbali wakiwa na vielelezo vya makosa hayo. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi, Kaster Ngonyani amesema wamenaswa kupitia msako na doria ambazo zinaendelea kila wakati ili kuhakikisha usalama unaendelea kuwepo.
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kamishna wa Polisi Zanzibar: ACT Wazalendo wanapotosha kuhusu usalama wa Zanzibar, wana malengo binafsi ya kisiasa

    Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamad Khamis Hamad amelani kitendo cha upotoshaji wa hali ya uhalifu na usalama visiwani Zanzibar. Akizungumza na waandishi wa habari huko Makao Makuu ya Polisi Zanzibar amesema usambazaji wa taarifa za upotoshaji kupitia mitandao sio tu kukosa uwajibikaji bali pia...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar: Tulikamata wavuta bangi sio wanaokula mchana

    Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar, CP Hamad Khamis Hamad Kamishna Mkuu wa Jeshi la polisi Zanzibar, CP Hamad Khamis Hamad amesema hakuna sheria inayowaruhusu Polisi Zanzibar kuwakamata Watu wanaokula hadharani mchana wa Ramadhani na kusema chanzo cha msako uliofanyika ni baada ya video...
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi kuchunguza tukio la Makonda kutishia kumuua Salah

    Polisi wanaingia kazini kuchunguza madai ya Makonda kutishia kumuua Salah.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mwizi akiibiwa polisi hawalali.

    Jamaa mmoja anaejulikana Kwa jina la David (27) mkazi wa Madibira ,mbarali mkoani mbeya ameoa mke wa mgoni wake. Bwana David alimuoa Maria (23) mwaka 2019 nabkibahatika kupata mtoto mmoja. Kutokana na changamoto za kiuchumi alizokua akipitia kijana huyo ilipelekea mke kumkimbia jamaa mwaka jana...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania ACT: Tunalitaka Jeshi la Polisi Kuhakikisha linawakamata wote waliohusika na Kifo Cha Katibu wa ACT Jimbo la Chaani

    Tunalitaka Jeshi la Polisi Kuhakikisha, Linawakamata na Kuwafikisha Katika Vyombo Vya Sheria, Wote Waliohusika na Kifo Cha Katibu wa ACT Wazalendo, Jimbo la Chaani, Ndugu ALI BAKARI ALI Pia soma - Kamishna wa Polisi Zanzibar: ACT Wazalendo wanapotosha kuhusu usalama wa Zanzibar, wana malengo...
  13. Mystery

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini kushambuliwa Kwa risasi Mbunge Sendeka, kushughulikiwe Kwa haraka na Polisi, wakati lile la Tundu Lissu halishughulikiwi kabisa?

    Tukio la kushambuliwa Kwa risasi gari alilokuwemo Mbunge Ole Sendeka, ni baya mno na linafaa Jeshi la Polisi lifanye uchunguzi ili kuwabaini waliotenda uovu huo. Hata hivyo Kwa taarifa zilizotufikia zinasema kuwa tayari hivi sasa, kuna timu ya wataalamu, kutoka Jeshi la Polisi, limetumwa...
  14. Informer

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Kifo cha utata cha Katibu wa ACT-Wazalendo Jimbo la Chaani chaibua minong'ono

    ACT-Wazalendo wataka uchunguzi ufanyike. Chama Cha ACT Wazalendo, Tunalitaka Jeshi la Polisi Kuhakikisha, Linawakamata na Kuwafikisha Katika Vyombo Vya Sheria, Wote Waliohusika na Kifo Cha Katibu wa ACT Wazalendo, Jimbo la Chaani, Ndugu ALI BAKARI ALI Chama cha ACT Wazalendo, tumepokea kwa...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Hakuna sheria Zanzibar inayokataza kula mchana wakati wa ramadhani

    Polisi zanzibar ni waongo sana, hakuna sheria yoyote Zanzibar inamkataza mtu kula wakati wa ramadhani. Miaka ya nyuma kesi zote zilizopelekwa mahakamani mashitaka yalisomeka tofauti, badala ya shitaka la kula mchana wakati wa ramadhani, mashitaka yote yaliletwa mahakamani kwa kosa la uzururaji...
  16. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kuna haja gani ya muungano polisi kukamata wakristo huko Zanzibari wanaokula mchana?

    Nimesikitishwa na hali inayoendelea Zanzibari kukamata watu wanaokula mchana nakupewa kipigo hali hii imekuwa inajitokeza kila mwaka mwezi huu wa ramadhani Kilichonisikisha mwaka huu vyombo vya dola kuendelea na zoezi hili la kukamata watu wanaokula mchana ni jambo baya sana halileti afya kwa...
  17. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Polisi wa Zanzibar kuwakamata watu kisa kuwakuta wakila mchana kipindi cha Ramadhan ni uvunjifu wa sheria za Nchi

    Zanzibar sio Nchi inayoongozwa na Sheria za Kiislamu, Zanzibar ni nchi inayoongozwa na katiba huru. Inakuwaje unamkamata mtu kwa sababu ya kutokufunga Ramadhan, ni wapi kwenye katiba wamesema kwamba usipofunga inapaswa kuswekwa Ndani. Mkianza kutuletea sheria za kiarabu Kwenye ardhi za Tanzania...
  18. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha: Anywa sumu akiwa kituo cha polisi na kufariki dunia

    Kijana mmoja aliejulikana kwa jina maarufu chinga Mwenye wa miaka 48 amekunywa sumu akiwa katika kituo cha polisi Murieti Mkoa wa Arusha. Kijana huyo Mkazi wa FFU iliyopo kata ya Murieti alikuwa akifanya kazi migodini ya uchimbaji wa Madini alikuwa na mgogoro wa kifamilia yeye na. Mke wake...
  19. aise

    JamiiForums Tanzania Niko polisi imepigwa filimbi ya kushusha bendera watu wote wakasimama! Hii maana yake nini?

    Habari za jioni wakuu! Niko polisi hapa kituo ambacho kipo karibu na soko! Imepigwa filimbi na watu wote wamesimama mpaka jamaa kamaliza kushusha bendera akapiga tena filimbi ndiyo watu wakaendelea na mishe! Hivi huu si utumwa? Maana yake nini kwa kizazi cha leo? Mimi yote hayo yakiendelea...
  20. Swahili AI

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Vituo vya Polisi viitwe Vituo vya Usalama wa Raia na Mali zake

    Naona kila kona vituo vya polisi vimeandikwa " Kituo cha Polisi" kisha kufuatiwa na jina la mahala lilipo. Sasa swali la kujiuliza, raia anamfuata polisi ama usalama wake pamoja na mali zake. Nashauri vibadilishwe majina na kuitwa vituo vya usalama wa raia na mali zake. Hii iitaboresha...
Back
Top Bottom