Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha limesema linaendelea na ukaguzi wa magari ya Shule ikiwa ni utaratibu wao wa kila mwaka kabla ya muhula wa masomo kuanza ambapo imekuwa ikifanya ukaguzi wa magari hayo ili kubaini changamoto na kutoa maelekezo ya matengenezo ya vyombo...
Nakuja kwenye hoja, nimeona na kusikia kuhusu unyanyasaji na ushamba wa madaraka kwa polisi wa Mikumi wakiongozwa na DTO wao.
Nimefatilia na kupewa habari za pale mikumi, wanakama raia hovyo, kubambikiwa kesi na wengine kukaa / kulala vituona kwa zaidi ya siku 3 bila huduma muhimu kama...
Polisi katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kinshasa imewazuwia waandamanaji kukusanyika siku ya Jumatano 27/12/2023, baada ya kuandamana dhidi ya uchaguzi wa hivi karibuni katika taifa hilo tete la Afrika ya Kati.
Wanasiasa wakuu wa upinzani katika nchi maskini lakini yenye...
Jeshi la Polisi la Tanzania wanapaswa kuwa na Ueledi zaidi.
Tizama Video
Huyu ndugu yetu Hamza tusingempoteza.
https://youtube.com/shorts/6h1kmOlwE34?si=xwdoAccRSXkUmYeh
Jeshi la Polisi nchini limesema limeona taarifa katika baadhi ya Mitandao ya Kijamii zikionyesha taarifa za Wananchi ambao wanalalamika kufanyiwa vitendo ambavyo ni kinyume cha Sheria na Haki za Binadamu na baadhi ya Askari Polisi.
SACP David Misime
Akitoa taarifa hiyo Disemba 21, 2023 Msemaji...
Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) wamefanya ukaguzi wa kushtukiza ili kubaini kama Wananchi wanalipa nauli halali zilizotangazwa na Serikali mapema mwezi huu ambapo wamebaini baadhi ya wamiliki na mawakala...
Ni wakamilifu? Sijasema hivyo.
Isitoshe, hakuna taasisi ya kibinadamu iliyo kamilifu!
Pamoja na madhaifu yao, wana mengi sana mazuri. Shrikisha🙏
Usiandike madhaifu, bali mema tu. Elezea matukio yaliyowahi kufanywa na Polisi wa Tanzania, iwe ulishuhudia au umesimuliwa na mtu mwingine, ambayo...
Ndugu MUSA VENERABLE MZIBA mfanyabishara mwenye umri wa miaka 37 anaemiliki Kampuni ya Mzibaz Empire Investments Ltd amechukuliwa na watu wasiojulikana Tar: 07 Desemba mida ya Saa 2 Usiku, akiwa maeneo ya ofisini kwake Mikocheni.
Familia Inaomba sana Msaada kwa Jeshi la Polisi Tanzania...
Jeshi la Polisi Wilaya ya Longido limeendelea kutoa elimu ya ukatili wa kijinsia makundi mbalimbali ya jamii za kifugaji huku wakitumia siku 16 za kupinga vitendo hivyo kuchangia damu katika kituo cha Afya Longido.
Akiongea mara baada ya zoezi hilo Mkuu wa Polisi wilaya ya Longido Mrakibu...
Kutokana na matukio yanayofanywa na baadhi ya askari wa jeshi la polisi la kuwanyang'anya kwa nguvu raia mali zao na kuwaua wengine ili kupoteza ushahidi Kama ilivyotokea huko Mtwara,Dar na kwingineko , bado jeshi la polisi linawataka wafanyabiashara kupewa escort ya jeshi la polisi
Je huyu...
Hii ipo kisheria kabisa, kama una kuanzia Tsh elfu 30 na unahofia usalama wa pesa zako basi ni ruksa kwenda kuomba escort ya polisi mpaka unapokwenda .
Ila je unao uthubutu huo kwa hawa polisi wetu, eti uende kituoni na Tsh elfu 30 uombe escort 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Awali kabla ya kwenda ukweni kwake walikubaliana na baba wa bibi harusi mtarajiwa kuwa watakwenda na ng’ombe na mbuzi. Lakni aliwasili ukweni bila kuwa na mifugo hiyo.
Uganda. Mzee Samuel Maikut (6O) amejikuta mikononi mwa polisi baada ya kwenda kwenye sherehe ya utambulisho na kutoa mahari...
Kuelekea mwisho wa mwaka 2023, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kupitia kikosi cha usalama barabarani limewataka madereva wa malori kuwa na udereva wa kujihami ili kuepuka ajali zinazoweza kuepukika.
Akizungumza Desemba 11, 2023 katika eneo la maegesho ya malori Jijini Mbeya, Mkuu wa Kikosi cha...
Nini hatima ya kilio cha askari wa Jeshi la Polisi kuhusu kikokotoo? Hili ndilo swali linaloumiza vichwa vya askari polisi wengi hususan wale wanaotarajia kustaafu kuanzia mwakani.
Kikokotoo kwa askari na watumishi wengine wa umma inaonekana kuwa kaa la moto popote kunapokuwa na mikusanyiko ya...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Kwanza napenda kumshukuru mw/Mungu kwa kuendelea kunipa nafasi nyingine ya kuishi hapa duniani. Naelewa kila mtu atakufa kwa kifo cha namna yake hapa duniani, lkn katika maisha yangu nimekuwa nikimuomba Mungu siku akinihitaji kurudi kwake, basi kifo changu kiwe cha...
Kupitia mtandao wa X, GODBLESS LEMA ameandika kuwa wameamua kusitisha safari ya kutembelea wahanga wa mafuriko kateshi wilayani Hanang kutokana na vikwazo vikali wanavyokutana navyo tokea waanze safari ya kuelekea huko
---
Tumekatisha safari ya kuelekea Katesh- Hanang kuona waanga wa mafuriko...
aibu
chadema
dharau
hanang
kisingizio
kubwa
kuelekea
kuona
kutembelea
kutoa
kutoka
maafa
maeneo
manyara
mateso
mbele
mbowe
mchafu
mchezo
mkuu
mkuu wa nchi
nchi
nonsense
polisi
rambirambi
safari
sana
ubaguzi
uchaguzi
uchaguzi 2025
wagonjwa
wazuiwa
Tukio hili la kusikitisha la Hanang linanikumbusha maporomoko kama haya yaliyotokea Uganda miaka kadhaa iliyopita , watu walizikwa na udongo , huku vifaa vya uokozi vikiwa Machepeo na Sululu , kiukweli baada ya jambo lile niliona aibu sana kuzaliwa Africa , na hasa Africa Mashariki , nilijiona...
Mtandao wa Polisi Wanawake Mkoa wa Arusha kuelekea Siku 16 za kupinga ukatili umeendelea na kutoa elimu kwa makundi mbalimbali ambapo wametoa elimu ya ukatili wa kijinsia kwa jamii za kifugaji kata ya Lengijave wilaya ya Arumeru Mkao wa Arusha na kuwaonya baadhi ya wananchi wa jamii ya kifugaji...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi limewatia mbaroni watuhumiwa 121 kwa makosa mbalimbali ikiwemo wizi, uzururaji, mauaji na uvunjifu wakiwa na vielelezo vya tuhuma hizo.
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi, ACP Kaster Ngonyani amesema katika misako mbalimbali inayoendelea katika mkoa huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.