Aliyeimba ‘Yesu ninyandue’ akamatwa na Polisi

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,194
4,114
PRESS STATEMENT: GOSPEL ARTISTE WILLIAM GETUMBE ARRESTED OVER INDECENT CONTENT

The Kenya Film Classification Board (KFCB) through its North Rift Regional Office, Eldoret, and with the support of Police from Kapsoya Police Station have arrested and detained Gospel artiste William Getumbe over non-compliance with the Films and Stage Play Act, Cap 222 of the Laws of Kenya.

Getumbe's arrest comes after the lapse of a seven-day 'Demand Notice' issued to him for violating Sections 4 and 12 of Cap 222 governing the creation, possession, distribution and exhibition of audio-visual content in Kenya, specifically the creation, distribution, and exhibition of the blasphemous 'Yesu Ninyandue music video, among others.

The artist will be arraigned in Court on Wednesday, 13th March 2024 to face the following charges:
a) Filming without a license which contravenes Part II, Section 4 of Cap 222.

b) Distribution and exhibition of unclassified audio-visual content in breach of Part III, Section 12 of the Cap 222.

c) Distribution, public exhibition, and possession of 'obscene cinematograph films and public exhibition of indecent shows/performances tending to corrupt morals contrary to Section 181 (1) (a) and (e) of the Penal Code.

The KFCB takes a strong stance against the creation, distribution, possession, broadcasting, and exhibition of 'indecent content that goes against the values and morals of our society.

As the Government agency mandated to regulate film and broadcast content space within the country, the Board urges all content creators to create content that promotes Kenya's culture, moral values, and National aspirations, while ensuring that children are not exposed to inappropriate content. To this effect, the Board is collaborating with relevant platform owners to pull down the targeted content.

We also encourage members of the public to report to KFCB any instances of "indecent content distributed or exhibited via social media platforms and other broadcast channels for appropriate action to be taken. Further, the Board appeals to members of the public to desist from circulating inappropriate audio-visual content that the Board has flagged, as doing so will result in legal action.

The KFCB remains committed to ensuring a facilitative regulatory environment to spur the growth of the film industry in line with the Fifth Pillar of the Bottom-Up Economic Transformation Agenda (BETA) and the Talanta Hela Initiative, a flagship program of the Ministry of Youth Affairs, Creative Economy and Sports.

IMG_20240312_210954_660.jpg
IMG_20240312_210955_021.jpg

Pia soma Wakristo huyu msanii wa injili ayeimba yesu ninyandue mbona anaachwa? Na wala hatujasikia kauli kutoka kwa viongozi
 
Huyu jamaa inawezekana alikuwa na dhamiri nzuri kusema ninyandue akirejelea lile fundisho kuwa yesu ni bwana harusi na sisi ni bibi harusi kule mbinguni kutakapokuwa na sherehe ya harusi.

Yaani kanisa ni bibi harusi safi aliyejitunza mpaka siku ya harusi atakapotwaliwa na bwana wake.

Jamaa kaona kazi ya bibi harusi ni kuja kunyanduliwa na bwana harusi, akaamua kuiba kabisa anyanduliwe.

Kunyanduliwa si kwamba afanyiwe kile kitendo mpaka apate mimba bali ni apatiwe mafundisho na ajae imani thabiti.

Uelewa wa lugha ikaeleweka ni kunyanduliwa kama ilivyo tafsiri yake halisi. Tatizo ni uelewa wa lugha katika kuwasilisha maudhui kwa kutumia maneno ya kihuni katika mukhtadha wake
 
Huyu jamaa inawezekana alikuwa na dhamiri nzuri kusema ninyandue akirejelea lile fundisho kuwa yesu ni bwana harusi na sisi ni bibi harusi kule mbinguni kutakapokuwa na sherehe ya harusi. Yaani kanisa ni bibi harusi safi aliyejitunza mpaka siku ya harusi atakapotwaliwa na bwana wake. Jamaa kaona kazi ya bibi harusi ni kuja kunyanduliwa na bwana harusi, akaamua kuiba kabisa anyanduliwe. Kunyanduliwa si kwamba afanyiwe kile kitendo mpaka apate mimba bali ni apatiwe mafundisho na ajae imani thabiti. Uelewa wa lugha ikaeleweka ni kunyanduliwa kama ilivyo tafsiri yake halisi. Tatizo ni uelewa wa lugha katika kuwasilisha maudhui kwa kutumia maneno ya kihuni katika mukhtadha wake
Tena wanasema Kanisa Ni Bikra Mwanamke😄😄
 
walokole huwa hawana akili kabisa.
Dini kwa ujumla hupumbaza watu. Kwa mfano mkatoliki anaweza kuona mlokole hana akili na mlokole akamuona mkatoliki hana akili.

Mlokole ataimba yesu ninyandue, mkatoliki ataelekezwa na papa Francis wake akubali kufirwa na watapata baraka za mungu kanisani.

Shida hapa ni dini, dini hupumbaza watu na hufanya watu wasio na akili kua mataahira kabisa.
 
PRESS STATEMENT: GOSPEL ARTISTE WILLIAM GETUMBE ARRESTED OVER INDECENT CONTENT

The Kenya Film Classification Board (KFCB) through its North Rift Regional Office, Eldoret, and with the support of Police from Kapsoya Police Station have arrested and detained Gospel artiste William Getumbe over non-compliance with the Films and Stage Play Act, Cap 222 of the Laws of Kenya.

Getumbe's arrest comes after the lapse of a seven-day 'Demand Notice' issued to him for violating Sections 4 and 12 of Cap 222 governing the creation, possession, distribution and exhibition of audio-visual content in Kenya, specifically the creation, distribution, and exhibition of the blasphemous 'Yesu Ninyandue music video, among others.

The artist will be arraigned in Court on Wednesday, 13th March 2024 to face the following charges:
a) Filming without a license which contravenes Part II, Section 4 of Cap 222.

b) Distribution and exhibition of unclassified audio-visual content in breach of Part III, Section 12 of the Cap 222.

c) Distribution, public exhibition, and possession of 'obscene cinematograph films and public exhibition of indecent shows/performances tending to corrupt morals contrary to Section 181 (1) (a) and (e) of the Penal Code.

The KFCB takes a strong stance against the creation, distribution, possession, broadcasting, and exhibition of 'indecent content that goes against the values and morals of our society.

As the Government agency mandated to regulate film and broadcast content space within the country, the Board urges all content creators to create content that promotes Kenya's culture, moral values, and National aspirations, while ensuring that children are not exposed to inappropriate content. To this effect, the Board is collaborating with relevant platform owners to pull down the targeted content.

We also encourage members of the public to report to KFCB any instances of "indecent content distributed or exhibited via social media platforms and other broadcast channels for appropriate action to be taken. Further, the Board appeals to members of the public to desist from circulating inappropriate audio-visual content that the Board has flagged, as doing so will result in legal action.

The KFCB remains committed to ensuring a facilitative regulatory environment to spur the growth of the film industry in line with the Fifth Pillar of the Bottom-Up Economic Transformation Agenda (BETA) and the Talanta Hela Initiative, a flagship program of the Ministry of Youth Affairs, Creative Economy and Sports.

Pia soma Wakristo huyu msanii wa injili ayeimba yesu ninyandue mbona anaachwa? Na wala hatujasikia kauli kutoka kwa viongozi
Mimi ni mwanafunzi wa Yesu.
Kama ambavyo Yesu hakuwalaani wale waliomwita yeye ni Berzeebul yaani mkuu wa mapepo machafu. vivyo hivyo ninaona hatua waliyoichukua KFCB ni kubwa mno. Imani ya Kristo inasema samehe saba mara sabini. Mungu ndiye hushughulika na nafsi zetu tukiwa hai ama tumekufa.

Mashabiki wa Ukristo (maana hawamfuati Yesu kama ilivyo katika 1Kor 11:1), ndiyo wamepandwa na hasira kali mno kwa kitendo cha huyo msanii kumdhalilisha Yesu.

Kumbukeni wale wevi wawili msalabani ambapo mmoja alimdhihaki Yesu lakini hakumjibu wala kumlaani. Alimrehemu aliyeomba rehema.
 
Wakenya eana kiswahili tofauti na hiki chetu cha TZ...hivyo aulizwe maana halisi ya kunyanduliwa ni nini?

Kwa Tanzania kunyanduliwa maana yake ni kupelekewa moto haswa ,sasa sijui kwa mujibu kikikuyu,kijaluo na kikamba ina maana gani?
 
Back
Top Bottom