Matulanya Mputa
Senior Member
- Aug 14, 2023
- 105
- 203
Msimamizi wa uchaguzi mdogo kata ya chipuputa jimbo la Nanyumbu amekamatwa akiwa na kura feki Lakini jeshi la polisi limemlinda, na pia baada ya katibu wa ACT-WAZALENDO mkoa wa Mtwara kuhoji tukio hilo amekamatwa na jeshi la polisi kwa maagizo ya OCD wilaya.
Demokrasia iko wapi au tume huru iko wapi.
Demokrasia iko wapi au tume huru iko wapi.