Kama jeshini kuna MP(Military Police) kwanini polisi kusiwe (Police Bureau and Investigation)

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,595
8,729
Wote tunaona idara ya ulinzi wa jeshi la taifa likiweka vitengo ambavyo vinaweza kuwalinda na kuwaongoza wenyewe mfano kama polisi za kijeshi kwa wanajeshi.

Sasa upande wa polisi hapa kwetu kumekuwa tofauti ambapo polisi hakuna wa kuwajibishwa hata kama polisi mwenzake labda upande wa rushwa tena kwenye idara iliyoundwa TAKUKURU.

Jambo lilonileta kuwaza ili ni pale wananchi wengi wanashindwa kuwashitaki polisi pindi wanapokiuka PGO. Na hakuna sehemu ambapo kosa linaweza kufanywa na polisi ukawezwa kusaidiwa hata kama ushaidi unao au limetokea.

Kama mpo wahusika hapa JF naomba lifikishwe mahali husika:
Police Bereau and Investigation (PBI).

NI idara inayojitegemea ikiwa imekusanya wataalamu na waelewa ili kuwa simamia polisi na upelelezi endapo kuna umashaka au ukiukwajiuliopindishwa na kushindikana.

Sio hilo tu kuwa wapelelezi wanaoweza kuchunguza wasiofungamana na polisi wa usalama ili kulinda usalama wa mali na raia.

Idara hii inaweza kuwaongoza jeshi la polisi na kuwapa weledi zaidi ili kupunguza haya malalamiko wanayopata sababu hakuna wa kuwasimamia kama Jeshi la Polisi.

Ili kupunguza kila tukio kuundwa tume uhuru kuchunguza polisi wafanyapo makosa na wananchi wapi pa kukimbilia kutoa malalamiko yao.
 
BADO PIA WANA IDARA INAYO WASIMAMIA POLISI TAMBUA ILO
Hapa hata ukiweka Idara itakuwa ni wale wale tu, hii ni bongo.

Maliza kazi kila askari awe na camera na ziwepo data center maongezi yote yanayorekodiwa yawe yanakwenda huko kwenye cloud muda huo huo, pia pale mbele ya gari kuwe na camera, nyuma ya gari pia na ikibidi na ndani ya gari.

Pia kuwe na signal kwenye camera kama inafanya kazi iwe blue kama imezimika iwe nyekundu.

Hii itasaidia sana mahakama kwa maana ushahidi wa video picha na sauti hauna janja janja.

Hata zile kesi za akina Mbowe kule Rau Madukani ingekuwepo hii mifumo kesi ingekuwa rahisi sana.
 
Wote tunaona idara ya ulinzi wa jeshi la taifa likiweka vitengo ambavyo vinaweza kuwalinda na kuwaongoza wenyewe mfano kama polisi za kijeshi kwa wanajeshi.

Sasa upande wa polisi hapa kwetu kumekuwa tofauti ambapo polisi hakuna wa kuwajibishwa hata kama polisi mwenzake labda upande wa rushwa tena kwenye idara iliyoundwa TAKUKURU.

Jambo lilonileta kuwaza ili ni pale wananchi wengi wanashindwa kuwashitaki polisi pindi wanapokiuka PGO. Na hakuna sehemu ambapo kosa linaweza kufanywa na polisi ukawezwa kusaidiwa hata kama ushaidi unao au limetokea.

Kama mpo wahusika hapa JF naomba lifikishwe mahali husika:
Police Bereau and Investigation (PBI).

NI idara inayojitegemea ikiwa imekusanya wataalamu na waelewa ili kuwa simamia polisi na upelelezi endapo kuna umashaka au ukiukwajiuliopindishwa na kushindikana.

Sio hilo tu kuwa wapelelezi wanaoweza kuchunguza wasiofungamana na polisi wa usalama ili kulinda usalama wa mali na raia.

Idara hii inaweza kuwaongoza jeshi la polisi na kuwapa weledi zaidi ili kupunguza haya malalamiko wanayopata sababu hakuna wa kuwasimamia kama Jeshi la Polisi.

Ili kupunguza kila tukio kuundwa tume uhuru kuchunguza polisi wafanyapo makosa na wananchi wapi pa kukimbilia kutoa malalamiko yao.
Kaka umechanganya mafile, MP is not equal to bureau of investigation.
bureau of investigation haitakiwi kuwemo ndani ya police otherwise halitakuwa effective
 
Back
Top Bottom