pesa

  1. Brain Kingdom

    Uhaba na Ubaguzi kwenye Pesa itakuwa nguzo kuu ya anguko la CCM miaka michache ijayo

    Nguvu ya kiuchumi inabeba ushawishi mkubwa sana katika nyanja mbalimbali za maisha hapa Duniani. CCM itavugika tu pale tu pesa itakapokuwa ni taabu miongoni mwao hasa ubaguzi wa fursa za kiuchumi Nawaibia siri tu shida za kiuchumi, fursa za kiuchumi na kipesa ndani ya CCM ndio silaha kubwa...
  2. Mhaya

    Mkurugenzi Geita afunga safari china kujifunza kuendesha wilaya hiyo kwa pesa kwa pesa za halmashauri

    Mkurugenzi wa halmashauri ya mji wa Geita amefunga Safari kwenda China kujifunza namna ya kuendesha mji huo, jambo ambalo limeleta maswali mengi kwa wananchi kwa matumizi mabaya ya Pesa za walipa kodi ambao kimsingi ndio wananchi. Hata hivyo Mkuu wa wilaya ya Geita Mh. Cornell Magembe ameiagiza...
  3. Braza Kede

    Kati ya simu tatu zinazopigwa, mbili ni za mtu anayetaka apewe pesa

    Wakuu hali ishakuwa tete,, mnafanyaje kuwakwepa hawa wapiga mizinga wanaoamini wao tu ndo wenye shida na maokoto.
  4. LIKUD

    Je pesa ndio Mungu wa dunia hii ( is Money the true God of this planet?)

    Je pesa ndio Mungu halisi wa sayari ya dunia? 1. The holy scriptures say YES. MHUBIRI 10:19 " Pesa huleta hajawabu ya kila kitu" ( From a spiritual perspective mwenye MAJAWABU ya kila kitu ni Mungu. Isije kuwa Nabii Suleiman alikuwa anatoa subliminal message kwa dunia kuhusu Mungu halisi wa...
  5. Victor Mlaki

    Kama haufanyi mambo haya hauna haki ya kumiliki pesa au mali; utaishia kutamani tu na umasikini hautakuacha

    Ukweli mchungu lakini ndivyo ulivyo, Ili dawa iingie wakati mwingine sindano kwanza. Moja kwa moja kwenye hoja ni kwamba kwamba kama hakuna huduma au bidhaa unayoizalisha na kuitoa kwa jamii kama mbadilishano kutafuta utajiri bila njia hiyo ni kujighilibu akili. Mahitaji ya jamii yako ndiyo...
  6. Gol D Roger

    Je, ni kweli kwamba pesa inaharibu mapenzi?

    Habari zenu. Moja kwa moja kweny point. Madam Donatila ameanzisha uzi leo ambao unasema; Mapenzi ya pesa yameharibu utamu mapenzi Bac mm kwa sababu nilikuwa nina mawazo ambayo yako tofauti kidogo, nikaamua nifungue uzi ambao nitajaribu kueleza mambo kwa mtazamo wangu, kwa jinsi ninavoyaelewa...
  7. Samia atosha tukutane2030

    Umemtongoza kabla ya game anakuambia anaomba pesa akachome sindano za UTI, utachukua uamuzi gani?

    Yamemkuta jamaa huko mtaani. Kamtongoza kakubali, siku mbili hazijapita binti kasema anaumwa kamsaidia pesa akapime. Baadaye kaambiwa ni UTI, binti akaomba pesa ya sindano kamsaidia pesa kidogo. Hii ni trick ya binti kuombea pesa kwamba si mgonjwa wa UTI au ni kweli anaumwa anahitaji msaada...
  8. DELETED ACCOUNT

    Rais wa FIFA amuuliza Hersi "Hivi nyie ndiyo mliwaibia pesa wale Wanigeria"?

    Leo Rais wa FIFA aliyekuja kuiona timu yake ya Simba ikipambana na Al Ahly alikwenda katika kituo cha mafunzo cha TFF na Rais wa Yanga, Hersi Said akaona huyu bila kumfuata huko huko aliko naweza nisije kumuona tena maishani mwangu. Basi akazamia hivyo viwanja vya TFF, Infantino akienda huku...
  9. Mstahiki Mea

    Ukiona kijana tajiri ujue ni mwizi, aliachiwa pesa na baba yake au beti

    Kauli hii inayotrend imenifikirisha Sana wakati mwingine nikidhani nikweli! Embu tutazame Jambo hili kwa Tanzania kijana kuwa tajiri labda mwenye Umri wa Under 30yrs amiliki angalau 100M Jambo hili linawezekana? Je, mifumo na mazingira yanawezesha? Bila kutarajia vilivyotajwa kwenye kichwa...
  10. Mhafidhina07

    Tanzania ina matumizi mabaya kwenye pesa za walipa kodi, utitiri wa mamlaka za udhibiti zisileta tija

    Lengo la sera ni kuondoa changamoto zinazoikabili jumua/jamii, mfano tunayo changamoto ya umeme katika taifa letu, bunge limekaa kikao cha kupitisha sheria/sera ya umeme kwa kumgaia udhibiti na mamlaka shirika la umeme kudistribute na allocate eletricity, halkadhalika EWURA, LATRA, CNA CAG vyote...
  11. S

    Sio mpenzi wangu lakini kaninunia sababu nimeshindwa kumkopesha pesa

    Kuna binti mmoja nilipata kujuana nae baada ya kukutana kwenye kazi ya muda ambayo tuliifanya kwa muda wa miezi 6. Baada ya ile kazi kuisha kila mtu aliendelea na harakati zake zingine lakini bado tulikuwa tutawasiliana mara mojamoja. Kuna siku alinitumia link ya group la ajira lakini...
  12. ELI COHEN

    Ngozi nyeusi akishapata pesa kinachofatia ni kutesa wenzake kwa zamu

  13. Travis Kitengo

    Siyo watu hawana pesa, sema sina pesa

    Unalalamika na kujifariji hapo hapo wenzio wanaagiza tu.
  14. Brain Kingdom

    Ukiwa na kiasi gani cha pesa kwenye wallet unakosa ujasiri wa kumtongoza mwanamke?

    Maisha ni pesa na pesa ni nguvu mojawapo ya ujasiri na kujiamini katika maisha ya mapenzi na mahusiano. Binafsi nikiwa na pesa pungufu ya Laki moja siwezi thubutu kumchokoza demu, hata kama ni mkali vipi ntamsomea ramani tu kinyele bila swaga. Nikiwa sina Laki moja na kuendelea kwenye wallet...
  15. Ester505

    Msaada: Kwa anayeijua Internet Pesa je ni halali na salama?

    Nawasalimu, Naomba kwa wanaoijua hiyo Internet Pesa jamani waje. Kuna mtu anataka kuingia.
  16. M

    Which one is corect between waziri wa pesa au waziri wa fedha?

    Je mwigulu nchemba alipaswa kuwa wziri wa pesa au waziri wa fedha? Au utafauti wake ni Nini na kwa nini asiitwe waziri wa pesa.
  17. Mr Why

    Mwanamke anayeomba pesa kwa mmewe mara kwa mara ni tapeli

    Wanaume wengi wana date na matapeli wakidhani ni wake au wachumba aidha kwasababu ya uzuri wao ama lah Wanawake hao wanakuwa wakiendekeza pesa kila wakati ila wanaume hao wanakosa ufahamu wakidhani sifa ya mwanaume ni kugharamikia. Ukweli ni kuwa pamoja na wanawake hao kupata fedha huwa...
  18. Mhaya

    Kwanini watu wa mkoa wa Kagera wanaongoza kwa kipato cha chini licha ya Wahaya kutamba sana?

    Takwimu zinaonesha kwamba, Kagera ni kati ya mikoa ambayo watu wake wana kipato kidogo zaidi. Pamoja na yote tunayofahamu kuhusu wenyeji wa mkoa huo (Si unajua tena: wasomi, wenye pesa, watu wa kwenda nje ya nchi na mengine). Mkoa huo umezidi kudorora kwenye kila nyanja ya maendeleo. Toa Maoni...
  19. N

    Wapi mnapata pesa za kujenga wandugu? Mbona kwangu naona chenga tu?

    Habari wa ndugu wa tanzania?? Nimepitia site mbalimbali humu,ila site iliyonifanya kuwaza sana ni hii ya UJENZI,nimepitia nyuzi nyingi sana humu,yani kila niliyosoma imenifanya moyo kuuma kwa machungu sana na kuna kitu kipo kwenye koo kinanifanya machonzi kunilenga lenga kwa huzuni juu ya...
  20. GENTAMYCINE

    Mbona wengine wanajulikana Kitambo tu 'Kusagana' na Wanawake maarufu na Kuwahonga Pesa na Mali Dar, Arusha na Dodoma na hamuwakemei?

    Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Farida Mgomi amekemea vikali na kupiga marufuku tabia ya wanawake watu wazima, kuwaweka kinyumba vijana wenye umri mdogo. Mgomi ameyasema hayo wakati akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Mtima, Ileje na kueleza kuwa taarifa zimemfikia kwamba vijana wengi wanaishi...
Back
Top Bottom