Unadeal vipi na Mwanamke anaelalamika pesa unayompa haimtoshi kisha anakubana kwenye 18 aipate wapi wakati yupo na wewe tu, au umpe ruhusa adange?

Uncle bright

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
1,040
4,080
Halafu unakuta ni pisi ya kwenda + wife material, umemkuta yupo 22 akiwa bikra (mali adimu), hazijui jeans wala suruali, anakupenda kuzidi unavyompenda.

Shida inakuja mwanzoni wala alikuwa hakuombi hela au akiomba ni kidogo tu, ila sasa anakwambia kaamua awe na wewe serios relationship so ni jukumu lako rasmi uanze kumpa pesa, like elf 10 or 20 oe 30 kila siku.

Na watu wanaomba sana wakupokeze maana ni zile type adimu
 
Shida ya kifamilia, mwambie watoe wengine, wew huhusiki, unless uwe na pesa nyingi, kuendekeza nyapu unakufaa
 
Alafu unakuta ni pisi ya kwenda si mchezo, ipo loyal kwako tu.
ipo loyal!?? Do you know the meaning of been loyal mkuu? Mtu m'binafsi hajawahi kuwa loyal sema kwamba ni mwanamke ambae anadanga kwa kujificha sema inampa taabu kujificha ndo maana anatumia udhaifu wako kukufanya uwe kama sababu ya yeye kutafuta njia mbadala.... Nisikilize mimi ninaekuambia kwamba achana na mademu tengeneza maisha yako
 
Huyo sio mama yako mzazi kwamba ni LAZIMA uwe na yeye tu joh!. Mpe hizo hela anazokukomand umpe kisha aende awahonge wahuni wamfumue hadi mshono
 
10k, 20k, 30k kila siku?
Mkuu kwani hiyo ni akaunti ya akiba?
Mjali na mhudumie mwanamke wako kadri ulivyojaaliwa uwezo, ukijilazimisha kuzidi uwezo wako utaumia na utaporomoka kiuchumi na bado atakukimbia.
 
Muite Leo geto umpige mti usiku kucha. Moakie mkongo ili uichakaze hasa na asbh unamtema live
 
kama hujastuka kwamba ni malaya na ameshaanza kuliwa kwa dau zuri basi una safari ndefu
 
Back
Top Bottom