Kitu gani watu wananunua kwa pesa nyingi kwa lengo la kupata STATUS?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Kitu gani watu wananunua kwa pesa nyingi kwa lengo la kupata STATUS, lakini ili mtu a recognize hicho kitu ni cha gharama ni either awe nacho au ni mfatiliaji sana wa vitu hivyo?
 
Matumizi ya mtu siku zote yanaendana na kipato chake ingawa kuna wingi wa vijana ni attention seekers .
 
Mimi nikinunua simu ya milioni moja ni fedha nyingi ila Mwigulu akinunua simu ya milioni tatu ni pesa za kawaida tu ko hakuna swali hapo, kila mtu aishi kwa kiwango chake.
 
Back
Top Bottom