Hackers wadukua IG ya Chaumbea Soudybrown na kufichua Sura yake huku wakimtishia kutoa Mamilioni ya pesa ili wasifichue siri zake

Mhaya

JF-Expert Member
Aug 20, 2023
1,658
4,861
Wazee wa kazi au kule Nigeria tunawaita Yahoo Boys wame-hack account ya Soudybrown, mtangazaji wa kamapuni ya utangazaji ya Clouds Media Group, na Chaumbea namba mmoja nchini TANZANIA.

Screenshot_20240301-150739_1.jpg

Hata hivyo vinara hao wa udukuzi hawakuishia ku-hack tu account yake, pia walimpa na masaa ya kuwalipa pesa ili warudishie account yake, kiasi cha dollar 10,000 ambayo ni zaidi ya Shilling Millioni 25 za kitanzania. Huku kwenye background wakiweka nyimbo ya Rayvanny-Money. Huku wakitaka pesa hizo zilipwe kwa mfumo wa Sarafu Mtandao wa Bitcoin. Hili isiwe rahisi kwao kugundulika.

Baada ya Soudybrown kushindwa kufikia Makubaliano, yani deadline ya saa nane mchana, wazee hao wa ngwasuma yani wazee wa kazi wakaamua kumkomoa kwa kufichua sura yake ambayo kwa muda mrefu amekuwa akiificha kwa kuvaa mask usoni.

Screenshot_20240301-150048_1.jpg

Huku caption ikisomeka kama ifuatavyo;

"Umekuja Dm Unatia tia huruma gangamara mwanaume usijirize sisi tunataka Pesa Dola 10,000 tu tutakuludishia takataka zako
hatutaki maneno ona sasa tunakuumbua tunakuvua maksi, na hizi ni lasha lasha tu kibwengo wahed tutaachia chati zako zote mpaka vyeti vya hospitali. Hee marehemu kumbe alikua hajambo kwa kukupa maumbea ya wenzake. Fanyia kaz maelekezo tuliyokupa sivyo tutakuweka wa mnyama Tunaitwa Panya wa Kampala usituchezee"

Mpaka hivi sasa bado ufumbuzi wa tukio hili haujafahamika.
 
Wazee wa kazi au kule Nigeria tunawaita Yahoo Boys wame-hack account ya Soudybrown, mtangazaji wa kamapuni ya utangazaji ya Clouds Media Group, na Chaumbea namba mmoja nchini TANZANIA.

View attachment 2921432

Hata hivyo vinara hao wa udukuzi hawakuishia ku-hack tu account yake, pia walimpa na masaa ya kuwalipa pesa ili warudishie account yake, kiasi cha dollar 10,000 ambayo ni zaidi ya Shilling Millioni 25 za kitanzania. Huku kwenye background wakiweka nyimbo ya Rayvanny-Money. Huku wakitaka pesa hizo zilipwe kwa mfumo wa Sarafu Mtandao wa Bitcoin. Hili isiwe rahisi kwao kugundulika.

Baada ya Soudybrown kushindwa kufikia Makubaliano, yani deadline ya saa nane mchana, wazee hao wa ngwasuma yani wazee wa kazi wakaamua kumkomoa kwa kufichua sura yake ambayo kwa muda mrefu amekuwa akiificha kwa kuvaa mask usoni.
View attachment 2921438

Huku caption ikisomeka kama ifuatavyo;

"Umekuja Dm Unatia tia huruma gangamara mwanaume usijirize sisi tunataka Pesa Dola 10,000 tu tutakuludishia takataka zako
hatutaki maneno ona sasa tunakuumbua tunakuvua maksi, na hizi ni lasha lasha tu kibwengo wahed tutaachia chati zako zote mpaka vyeti vya hospitali
Hee marehemu kumbe alikua hajambo kwa kukupa maumbea ya wenzake
Fanyia kaz maelekezo tuliyokupa sivyo tutakuweka wa
mnyama
Tunaitwa Panya wa Kampala usituchezee"

Mpaka hivi sasa bado ufumbuzi wa tukio hili haujafahamika.

Chanzo:

View: https://www.instagram.com/p/C3-CUUqsAe1/?igsh=bTE2N3l0MW81ZWx5

View: https://www.instagram.com/p/C3926gTM4jz/?igsh=MTh2d3phbHQyZjZheg==

So what?
 
Daah wahuni wamemdukua. Usikute jamaa anacheza na akili za watu kujaribu ku temper na ofisi yake ili apate hela. Anaweza sema nina Mil 10 na ofisi ikaja kutoa 15 anawapa jamaa Mil 5 wanatambaa ye anasema 10 yake.
 
Back
Top Bottom