Baadhi ya donors wameanza kulalamika kuwa wanachangia pesa lakini hazitumiki vizuri. Zinatumika katika kusafiria na kulipana posho.
Mnakumbuka pesa za kukubali uwepo wa Covid 19 na kupigwa chanjo? Tumezila sisi wakuu... Tumewana kwa namna mbalimbali. Inaumiza lakini unaona wenzako wanapiga...
Ni ndugu yangu mwenye miaka 26, kamaliza chuo mwaka juzi.
Hapo zamani mara kwa mara alikuwa akiniomba pesa za kutatua shida zake, hizi elfu 20 nimemtumia sana.
Nikaona isiwe taabu, kitu anachoomba ni kama samaki naowavua basi nayeye nimpe ndoano awe anajivulia, Tulikaa chini pamoja nikamuuliza...
Siku zote pesa inatakiwa ikupe mahitaji ya msingi, ndio maana tunatumia nguvu nyingi katika kuzitafuta.
Tunaamini na imethibitika, hatuwezi kuishi miaka 150; mara nyingi tumezidi sana tena kwa wale wachache sana wanaweza kubahatisha miaka 100.
Sasa, maisha ni nini, Je ni kuishi kwa furaha...
Habari za muda ndugu zangu.
Kwanza kabisa niipongeze serikali kwa juhudi za kuajiri hasa mwaka huu wa 2023, imejitahidi sana kuajiri vijana katika kada mbalimbali tofauti na za ualimu na afya sambamba na pongezi hizo naomba serikali kupitia wizara hasa TAMISEMI wawape maelekezo na miongozo...
Habari, nimejiunga na mtandao wa UPWORK hivi karibu. Swali langu kwa wazoefu, Je nitumie bank gani ya uhakika kati ya NMB na CRDB kwa ajili ya kutoa pesa payoneer?
Mimi sio mtumiaji sana wa mtandao wa vodacom mnamo mwaka 2022 nilihamasika kusajili laini ya vodacom kutokana na masuala ya miamala hivyo ilinilazimu kusajili laini ya voda na baada ya kumaliza zoezi langu sikuitumia tena
Nikarudi tena kuitumia mwaka 2023 sababu ya visa card huwa natumia...
Saa nyingine utawasikia wakisema kwenye kipindi chao cha usiku wa manane "leo washindi 30 usiku huu watajishindia kila mmoja sh. milioni 5, bodaboda 1, TV screen ya nchi 40 na jezi pair 2 kwa kila mmoja". Hii ni baada ya kutoa ahadi kama hiihii kwenye vipindi vyao vingine kama vile vya sports...
Watu zaidi na zaidi wanapoingia kwenye soko la uwekezaji, idadi ya utapeli wa uwekezaji inaongezeka siku baada ya siku.
Watu wengi hawawezi kupinga mvuto wa uwekezaji wa fedha za kigeni(forex), lakini wana ujuzi mdogo wa soko la fedha, ambayo huwapa matapeli fursa ya kutumia tamaa zao...
Mpango Jumuishi wa Harambee (Integrated Fundraising Plan) ni nyenzo muhimu katika kuiwezesha Taasisi kufikia malengo yake. Mpango huu huiwezesha Taasisi kutekeleza Programu zake na kuiwezesha kujitegemea kiuchumi. Mpango huu unapaswa kujumuisha mipango midogo midogo ifuatayo;
Annual Giving Plan...
Amini nawaambieni!
Wale matapeli wa ile pesa tuma kwenye namba hii wanapata taarifa kutoka kwa baadhi watoa huduma ya simu wasiokuwa waaminifu!
Ukitaka kujua hilo! "Ongea dili lolote na mtu kwa simu mufanye kama mnapatana na kuelekezana kwamba akutumie"
Baada ya kumaliza mazungumzo utashangaa...
Ni kama vile huwa wanaambiana au wanapeana semina.
Hii imenitokea mara nyingi mpaka nilipo anza kuchukua tahadhari. Hii inawahusu zaidi wanao toa kuanzia laki 2, 3 na kuendelea lakini pia hata wanao toa chini ya hapo inawahusu pia. Ni hivi ukienda kutoa hela kuanzia lets say laki 2 au 3...
Mama kama alitaka kuingilia chama hiki labda kwa lengo zuri, au lengo mahususi. Akafanya uteuzi wa viongozi wake. Kati ya viongozi wa Juu alilipoti moja tu. Kajaribu sana kuweka vitu upya kaambulia patupu.
Li chama limejaa Fedha. Fedha imekipa heshima na kuogopwa sana na viongozi wa...
Wakuu, baada ya tafakuri za kuyatazama Maisha since when I was broke mpaka muda huu nimegundua ukiwa na uhakika wa Maisha ya kila siku na unapata ushindi mdogo na mkubwa katika mzunguko wa Maisha unajikuta nguvu ya kuongea sana inapungua unakuwa msikilizaji sana. Ina maana ile nguvu ya kuongea...
Ndugu WanaJF,
Habari za muda huu twende kwenye mada Moja kwa Moja.
Nimeona mara kadhaa vitu vilivyokuwa vinamilikiwa/ kutumiwa na watu maarufu kuuzwa Kwa pesa nyingi na kimsingi sio kwamba vitu hivyo ni ghari hapana bali ni vitu vya kawaida sana mfano nimeona kofia ya Michael Jackson...
Tambua stadi zako na maslahi yako. Hatua ya kwanza ya kupata pesa mkondoni ni kugundua uwezo wako na kile unachopendezwa nacho. Hii itakusaidia kupata fursa sahihi na kuhakikisha unafurahia kazi unayofanya.
Unda tovuti au blogu. Ikiwa unataka kupata pesa mkondoni, utahitaji kuwa na uwepo...
Habari wakuu,
moja kwa moja niende kwenye topic chuo kikuu Cha udsm kimekua na utaratibu wa kuzuia wanafunzi kusign pesa za kujikimu mpaka pale mtu awe anemaliza kulipa ada pamoja na direct cost.
Huu mfumo haujakamilika kwasababu Kuna wanafunzi wa Hali ya chini wanategemea kulipa ada kwa pesa...
leo nimewaza sana, nipo mbali na.nyumbani ,nimefuata biashara huku, nimeacha mji wangu, nipo mbali na watoto wangu, nipo katika nchi ambayo imejaa matukio ya kishamba(matumizi ya bundiki hapa wanaona ni kama ndio akil)
Haya yote nafanya eti natafta pesa, nguvu ninazotumia , akili ninayotumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.