Offgrid forever: Kwa Tanzania unahitaji pesa kiasi gani kuwatolea nje Tanesco ujitegemee umeme wako kwa matumizi ya nyumbani?

Uncle bright

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
1,040
4,080
Ni kuhusu kung'oa kabisa nyaya zao za Tanesco, Mita yao iwe toy ya mtoto kuchezea.

Ni nyumba yenye watu 7

TV ipo on kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa nne usiku,
Fridge haizimwi,
Pasi asubuhi na usiku
Kucharge simu kwa sana

kwa siku ni kama unit 4
 
kwa siku unatumia unit ngap?
au soma nyuma ya remote one code za current alafu washa vitu vyote kwa pamoja bonyeza hiyo code leta majib hapa
 
Nilipoona Fridge haizimwi akili ikaanza kusoma maximum 10 millions........

Mimi natumia solar mwaka wa 8 sasa
 
Solar ni nzuri ila uwekezaji wake ni mkubwa sana , kama mpunga upo weka hybrid ya solar na generator(Hapa weka silent-isiyo na kelele) halafu uweke UPS/Backup battery ambazo zitakuwa zinachajiwa kwa solar na generator ,hapo ATS muhimu.

Kwa Tanesco hii ya zima washa ni ngumu sana kuwategemea.
 
Back
Top Bottom