Sababu Tano kwa nini Mkristo upambane kushinda umasikini wa kipato?

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,590
15,386
Karibu moja kwa moja,

Umasikini wa Kipato namaanisha kutokuwa na kipato cha kuendesha mambo yako na kibaki cha ziada kwa ajili ya kusaidia wahitaji. Utajiri wa kipato ni kinyume chake.

1: Unasikini ni matokeo ya Laana.
Torati 28 inataja laana za kujitenga na Mungu zote zinauhusiano na umasikini wa kipato. Umasikini wa kipato sio sifa ya ukiroho ni kitu cha kukikataa kwa maneno na vitendo.

2: Umasikini ni matokeo ya Uvivu wa kufikiri na kutenda. Mungu sio mvivu. Ni mchapakazi kwelikweli na Great thinker. Lazima unapomshinda Ibris tabia zako zifanane na za baba yako.

3: Umasikini unapoteza uwezo wako wa kuwasiliana na Mungu. Umasikini wa kipato utapelekea ulaji mbovu. Utakula ili usife, hautakula ili upate afya. Mfumo wako wa fahamu ndio njia anayotumia kuwasiliana na wewe. Sasa ukiwa duni kwa kutokula vizuri, uwezo wako wa kumsikiq Mungu unashuka.

4: Umasikini utakupunguzia uwezo wako wa kuabudu. Masikini hana Muda mwingi wa kuabudu. Muda wote anapambana na maisha. Tajiri wa kipato anaweza kuamua hata kufunga na kuomba week nzima na bado mambo yakaenda wakati masikini akithubutu kufanya hivyo atapoteza ajira, ataua familia na kudhalilika.

5: Umasikini unaleta aibu na fedheha. Tabia ya kuombaomba inashusha hadhi. Mtu wa Mungu kuwa mtu wa mizinga, kuvizia watu uwapige virungu, kunyenyekea matajiri ni kumdhalilisha Mungu.

6: Masikini wengi ni wajanjawajanja katika ibada. Ili ibada ikamilike lazima iwe na Maombi, Usomaji wa neno, Nyimbo na Sadaka. Kwenye sadaka hapo masikini ni walalamishi balaa, wengine wamekimbia kabisa ibada hiyo. Mungu aliposema usiende ibadani mikono mitupu alijua wanaokwenda ni matajiri wa vipato kwa maana wanapata na cha kutoa katika baraka anazowabariki.

Ili kutukumbusha aliamua Baba wa Imani Awe Ibrahimu sio Yuda Iskariote, Baba wa Uvumilivu na Ibada awe ni Bilionea Ayubu.

Ni hayo tu.
 
Screenshot_20240308-161658.png
Wewe kakwambia nani???

Chagua moja eti utajiri na mbingu ni sawa na maji na mafuta, ngamia na sindano.
 
View attachment 2928327Wewe kakwambia nani???

Tafuta maokoto eti...
Alisema ni vigumu hakusema haiwezekani.
Maana yake wafuasi wa Mungu ni watu ambao wameshinda kwa imani vitu vigumu.

Ndio maana Ibrahim, Daudi, Suleiman, Ayubu, Isaka, Yakobo walikuwa ni matrillionea, kama alivyo baba yao wa Mbinguni.

Ndio maana Mungu tajiri na mmiliki wa kila kitu sio mdhambi au utajiri wake haujamfanya awe na dhambi.
 
Na huo Utajiri unapatikana vipi ? Kwa kusaidia wengine na kuwafanya nyote muwe na plenty au kwa kukusanya sadaka hata za wasionazo ?

Kwamba kafanyani kazi mlete kwetu.....

If the churches took half the money that they was making and gave it back to the community we'd be alright. If they take half the buildings they use to praise God and gave it to motherfuckers who need God we'd be alright. We'd be alright. Have you seen some of these God damn churches lately? There's ones that take up the whole block in New York. There's homeless people out here. Why ain't God letting them stay there? Why these niggas got gold ceilings and shit? Why God need gold ceilings to talk to me? Why do God need colored windows to talk to me?
 
Utajiri inategemea na mazirngira. Mwenye laki kijijini ni tajiri sawa na mwenye bilioni NY.

Kikubwa ni kuwa na uwezo wa kujihudumia na kugusa mahitaji ya jamii na wengine. Wanaochofanya hawa wachungaji wengi (wevi na wanyanganyi) wanajikusanyia. Ila Mungu anachotaka ukusanye ili usambaze kwa wasionavyo ili Mungu alete zaidi na wasionavyo wapate zaidi.
 
Unadhani Yesu angekuja sasa hivi angekuwa na Baiskeli / anatembea kwa miguu au kwa Helicopter ?

Majority hawana kitu Gap ya wenye nacho na watu ambao wapo kwenye extreme poverty ni kubwa sana kuliko muda mrefu sana katika historia ya Dunia..; Kwahio Kanisa na Taasisi za Imani zote ni jukumu lao kuwapoza hawa wasionacho either kwa kuwafariji au kuwawekea mifumo ambayo angalau watapata basic needs..., Na sio kuwalisha matango pori na kuwalaumu kwamba waende wakatafute (no matter wanapataje) ili walete fungu la sadaka kubwa zaidi...

Used to be an Opium of the Mass sasa hivi imekuwa kama Myonya Damu asiyejali anayemyonya ana hali gani....
 
Yesu akija atatumia vyote maana hata alipouja mwanzo alitumia vyote.
Alitembea kwa miguu,Alipanda boti, Alipanda Punda wa kifalme Yeriko.
Kwa sasa atatembea kwa miguu, Atapanda baiskeli, Atapanda private jet, kimsingi kila chombo cha usafiri kilichokaribu kitakachomsaidia kufikia lengo au mtu anayemtaka.

Ila wengi wa wahubiri Wa kizazi kipya ni kama Celebrities. Wanajirundikia mali na kuzungukwa na mabodigadi ili angalau aonekane na Yeye kama watu wajivuni wa duniani. Hii tunaiita Luciferian Spirit.
Roho ya kujiinua. Gluttony Spirit, au roho ya kujilimbikizia mali ambazo walipewa ili wasaidie wasionavyo. Hii roho ndio ilipelekea Sodoma na Gomora Kuchomwa moto na sio Ushoga kama wengi wanavyoaminishwa. Ushoga ni matokeo ya hiyo spirit.
 
Yesu akija atatumia vyote maana hata alipouja mwanzo alitumia vyote.
Alitembea kwa miguu,Alipanda boti, Alipanda Punda wa kifalme Yeriko.
Kwa sasa atatembea kwa miguu, Atapanda baiskeli, Atapanda private jet, kimsingi kila chombo cha usafiri kilichokaribu kitakachomsaidia kufikia lengo au mtu anayemtaka.
Atapanda private Jet wakati waumini wake majority wanatembea kwa miguu ? Sasa atakutana nao wapi ?; Kama kwa maandiko yako aliweza kubadilisha maji na kuwa Divai unadhani angeshindwa badilisha Punda kuwa kama Farasi wa Farao ? Au kwanini alikuja kwa kupitia familia ya kawaida na sio ya Kifalme....

Anyway Umasikini / Extreme Poverty Popote ni Hatari kwa Ustawi wa jamii Pote...; lakini kabla hatujafika mbali tujiulize kwanini watu (wengi) ni masikini ? Je ni Uvivu, Uzembe, Ujinga au ni mifumo ya sasa sio rafiki ? )..., In short Poverty is Man Made na ni upon kwa hizi taasisi kusaidia kuondoa umasikini na sio kuendelea kuwadumbukiza watu katika umasikini kwa kuwafanya rasilimali...

Wanakuwa kama wapiga ramli eti tukuombeeni muwe matajiri na wala hawakemei mafisadi so long as wanachangia Taasisi
 
Atapanda private Jet wakati waumini wake majority wanatembea kwa miguu ? Sasa atakutana nao wapi ?; Kama kwa maandiko yako aliweza kubadilisha maji na kuwa Divai unadhani angeshindwa badilisha Punda kuwa kama Farasi wa Farao ? Au kwanini alikuja kwa kupitia familia ya kawaida na sio ya Kifalme....

Anyway Umasikini / Extreme Poverty Popote ni Hatari kwa Ustawi wa jamii Pote...; lakini kabla hatujafika mbali tujiulize kwanini watu (wengi) ni masikini ? Je ni Uvivu, Uzembe, Ujinga au ni mifumo ya sasa sio rafiki ? )..., In short Poverty is Man Made na ni upon kwa hizi taasisi kusaidia kuondoa umasikini na sio kuendelea kuwadumbukiza watu katika umasikini kwa kuwafanya rasilimali...
Yesu hakuja kwa ajili ya masikini wa kipesa. Ni masikini wa roho. Kama matajiri wakubwa duniani wanapanda Private jet kukutana katika mikutank yao Yesu atafanya hivyo ili awasaidie na wao. Alikuja kwa watu wa matabaka yote. Ndio maana aliingia kwa Martha, Lazaro na Marian familia masikini, na Akalazimisha kuingia kwa Zakayo Tajiri mkubwa, na Simon Tajiri mkubwa kabisa Yerusalem.

Yesu kitu cha kwanza anachomfanyia anayemuamini ni kumfungua akili ( Renewing of Mind). Matatizo mengi ni matatizo ya mindest kabla ya kiroho.

Umasikini kwa asilimia kubwa ni matokeo ya mindest potofu. Ndio maana anasema Masikini hawatakoma duniani hadi kiyama. Hii ni kwa sababu bado wataendelea kuwepo watu watakaong'ang'ania Giza na mindset za kichovu. Mfano akili tegemezi au kuigaiga wakati tumeumbwa unique.

Ndio maana Paulo akifuata mafundisho ya Yesu, aliingia kwa masikini kabisa wa Macedonia, wakati huohuo aliingia ikulu ya Cyprus. Akaingia na Ikulu kwa kaisali superpower wa wakati wake Roma.

Kimsingi kwa Yesu watu hawapimwi hadhi yao kwa mali au vyeo. Kwake wote ni wanadamu wanaoitaji msaada hata kama wanajitutumua.

Leo hata Elon Munsk na washikaji wake wakisema waingie kwenye Rocket wahamie Mars. YESU angekodi na Yeye Rocket awafikie. Acha tu Private Jet. Hasingekodi kqma ufahari wa kuonyesha jinsi alivyobarikiwa bali kama medium ya kuwafikia wateja wake japo ananjia maelfu.
 
sisi tuliookoka, sio matajiri ila tuna ustawi. tunakula na kunywa na kuvaa na kulala sehemu nzuri na safi. Mungu ametuzingira na utele Ila sio utajiri.

"hamuwezi kutumikia mali na Mungu"

JESUS IS LORD &SAVIOR
 
Wafilipi 4:19
Na Mungu wangu atawajazeni kila mnachokihitaji kwa kadiri ya utajiri wake, katika utukufu, ndani ya Kristo Yesu.
 
Yesu hakuja kwa ajili ya masikini wa kipesa. Ni masikini wa roho. Kama matajiri wakubwa duniani wanapanda Private jet kukutana katika mikutank yao Yesu atafanya hivyo ili awasaidie na wao. Alikuja kwa watu wa matabaka yote. Ndio maana aliingia kwa Martha, Lazaro na Marian familia masikini, na Akalazimisha kuingia kwa Zakayo Tajiri mkubwa, na Simon Tajiri mkubwa kabisa Yerusalem.
Mkuu unajua maana ya Private Jet (Key World Private)..., Mbaya zaidi sasa hivi wala sio kwamba Viongozi wa Dini wanachapa kazi ili wanunue hio Private Jet bali wanataka wachangiwe ili wainunue...;
Leo hata Elon Munsk na washikaji wake wakisema waingie kwenye Rocket wahamie Mars. YESU angekodi na Yeye Rocket awafikie. Acha tu Private Jet. Hasingekodi kqma ufahari wa kuonyesha jinsi alivyobarikiwa bali kama medium ya kuwafikia wateja wake japo ananjia maelfu.
Again hapa tunaongelea Private Jet (Yaani Yesu angewaambia waumini wamchangie ili aweze kutoa neno vema); na kama unaongelea pesa kama kiwezeshi ndio hizo basic needs nazosema ambazo Kanisa kama taasisi inabidi kuhakikisha waumini wanapata.... watu hawewezi kuishi kwa neno pekee bali na mkate pia

By the way ni vema tukajua uhusiano kati ya umasikini, utajiri, werevu na uvivu kama kweli ni direct propotional...

Alisema ni vigumu hakusema haiwezekani.
Maana yake wafuasi wa Mungu ni watu ambao wameshinda kwa imani vitu vigumu.

Ndio maana Ibrahim, Daudi, Suleiman, Ayubu, Isaka, Yakobo walikuwa ni matrillionea, kama alivyo baba yao wa Mbinguni.

Ndio maana Mungu tajiri na mmiliki wa kila kitu sio mdhambi au utajiri wake haujamfanya awe na dhambi.
Unamfahamu ngamia na sindano lakini?🤔🤔🤔🤔
 
Masikini hawaendi mbinguni,maana masikini wengi wana roho mbays
Roho mbaya ni program na inakua coded haiji from nowhere lazima ipandikizwe na iote na imee na inapozaa matunda ndio huonekana wazi kwamba huyu ana roho mbaya na haichagui tajiri au masikini lakini pia unaweza kua wipped out km unavyofuta maandishi ya chalk kwenye blackboard
 
Nani anaipanda
 
Back
Top Bottom