pesa

  1. Objective football

    Pesa ikikubali nitatimka bongo nikaishi Sweden

    Tangu mdogo nasoma, kuna familia jirani na kwetu walikua wakishua sana. Watoto wa ile familia kila wakija kumsalimu Babu yangu nyumbani, walikua wanamletea zawadi nyingi na vitu vya thamani sana. Babu hakuishia hapo, muda mwingi alinijaza stori kuwa hawa jirani zako unao waona, wako sweden...
  2. M

    Kama unataka kuishi kwa amani usipungue kiwango hiki cha pesa

    gharama za maisha zimepanda , kiasi cha kwamba tunaondelea kuishi kwenye mzunguko ule ule tunaishi maisha Magumu sana nimejaribu kufanisha gharama za maisha kwenye nchi nilizopita , nilichokiona maisha yamepanda kila kona, na...
  3. D

    Ushawahi kulala njaa kwa kukosa pesa ya kula? Ulifanyaje?

    Hii ilinitokea kati ya mwaka wangu wa 2 na wa 3 wa chuo kikuu. Nilifanya kibarua cha kuhudumu kwenye mgahawa kila nikitoka chuo ili kujikimu na mahitaji yangu ya chuo, Pesa ilikua ngumu sana. Nilijiskia aibu ila ilibidi nifanye kile nilichokifanya ili niweze kuishi. Kuna muda nilikua nakusanya...
  4. William Mshumbusi

    Mo asituvuruge Pesa yote aliyotoa usajili msimu huu ilimnunua kipa 1 tu Ayoub

    Licha ya kulalama. Mo aache kutuvuruga. Kwenye usajili wa msimu huu yeye kama yeye kasajili kipa tu ambaye ata hachezi. Aligoma kutoa pesa za usajili. Akina jaribu tena wakafumua zote kutoka CAF. Bilion 2.5. Kuona usajili umekamilika bila kutia ela yoyote. Akaagiza akina jaribu tena...
  5. MamaSamia2025

    Wakazi kaonyesha kipaji kwenye Muziki wa Taarab. Ana pesa zake nyingi kwenye Muziki wa Mwambao

    Mimi kama mtu mwenye talanta ya kuweza kuona vipaji vya watu ambapo wakati mwingine wenyewe hawavioni ninapenda kuutaarifu umma kuhusu kipaji kipya nilichokiona. Ndugu yetu Wakazi Wasira ambaye anatajwa kama mwanafamilia ya muziki wa Hiphop amekuwa akipoteza muda kurap wakati kipaji chake halisi...
  6. N

    KERO BRELA huduma zao mbovu hadi uwahonge pesa ndio wanakamilisha kazi yako

    Ndugu zangu watanzania, sisi wajasiriamali tunaojaribu kufuata sheria na kuwa complied na sheria za Nchi tunapitia mengi sana. Wakati wa JPM ulikuwa ukifanya returns BRELA au mabadiliko yoyote kwenye kampuni yako ulikuwa unapata huduma kwa haraka sana. Nina miezi mitatu nimefile BRELA returns...
  7. M

    Wanawake kupenda wanaume wenye pesa kumefanya wanaume wajitambue na kuacha uvivu, pongezi kwenu

    Rejean kichwa cha habari hapo juu. Ipo wazi sasa hivi mwanaume kama huna hela mapenzi yatakusumbua sana, yaani kuna aina ya wanawake hutowapata regardless ya muonekana wako, family background, n.k. Hii imepelekea wanaume wengi kuchacharika kuitafuta pesa, hata zile jamii/makabila yenye...
  8. S

    Miaka mitatu ya Rais Samia na ukwapuaji wa matrilioni ya pesa za walipa kodi

    MIAKA MITATU YA SAMIA NA UKWAPUAJI WA MATRILIONI YA PESA ZA WALIPA KODI. Na Mwandishi wetu 5 November 2023. 23:05 Botswana 🔹Nimekuwa nikisema mara nyingi Uongozi makini ni ule uongozi unaowajali wananchi na kujali maslahi ya nchi na taifa lakini kwa uongozi huu ni bora uongozi na sio uongozi...
  9. A

    Hivi ni kweli kuna kampuni za Ubashiri zinachelewesha Pesa za washindi?

    Mambo vipi Mdau, Naombeni mniweke sawa kuhusu hili. Nasikia kuna kampuni za kikanjanja watu wamepiga pesa lakini mkwanja mpaka sasa kuna baadhi ya watu hawajapata, kama mtu anataarifa zaidi anisaidie, Maana mi kampuni ninayotumia huku ni mtelezo tuu naweka pesa na kutoa. Unyama wa Sokabet huu...
  10. Gabby msafi

    Nina milioni 1, nawaza kufungua biashara kutuma na kutoa pesa. Je, inalipa?

    Nina 1.M nawaza kuwa Wakala wa kutoa pesa na ktuma pesa wazoefu inalipa kweli? Wenye experience na hii kazi Ina faida kweli
  11. sky soldier

    Kipindi hiki cha mvua hakikisha unampa pesa mara tatu zaidi ya ulivyozoea, ushindani umekuwa mkali sana

    Soko la Joto la body to body limeongezeka vibaya mno, sio suala la one night stand ama show time kwa sasa, ni suala la kupata uhakika wa joto kila siku, na hapa kwa mahesabu ya bajeti watu wameona wawe na mtu moja kuliko kubadili badili (wahasibu na wachumi tunazita economies of scale for bulk...
  12. M

    Bila Rais Samia kuwadhibiti Mahakimu na Majaji pesa nyingi za umma zitaibiwa na watumishi mafisadi watashinda kesi kirahisi

    Mahakama ni chombo huru lakini hakitakiwi kuwa huru. Mahakimu na majaji wengi wanautumia uhuru wa mahakama vibaya. Fikiria jinsi pesa za halmashauri zinavyoibwa kila siku. Ushahidi hata wa kimazingira upo wazi. Majengo yanajengwa chini ya ubora. Kinachofuata ni mtumishi kusimamishwa kazi na...
  13. R

    Lugha gongana: Wananchi tunataka pesa irudi, wanasiasa wanavizia koti la kiranja mkuu

    Salaam, shalom!! Hapo bungeni, mpo Kwa ajili ya wananchi. LUGHA YA WANANCHI. Wananchi tunataka kuona wabadhirifu walioiba pesa za umma, walioguswa na Ripoti ya CAG , wananchi tunataka watu hao wafungwe wote, na pesa yetu irudi. Wakamuliwe Hadi sent ya mwisho, Mali zao ziuzwe pesa irudi...
  14. H

    Kutuma pesa mitandao ya simu ya Tanzania ukiwa Kenya

    Habari wana JF Naomba uzoefu Kwa mtu ambaye amekuwa akisafiri kwenda Kenya na ana akaunti NMB je akiwa Kenya aliweza kutumia huduma za kwenye app ya NMB mfano kutuma pesa kwenda mitandao ya simu? Kwa kifupi issue yangu iko hivi nina akaunti NMB nitaenda Kenya hivi karibuni nikiwa huko nitakuwa...
  15. Samia atosha tukutane2030

    Usiku mwema kijana mwenzangu. Hakikisha unakuwa na pesa za kutosha kwa njia yoyote ile

    Hakikisha pesa hazikauki kwenye account zako za benki, kwenye line za simu na chumbani kwako. Hautaumwa hovyo, hutaitwa wee bali watakuita kwa majina yako. Utaushi kwa furaha. Hakikisha katika ukusanyaji wako wa pesa usiue wala kumuumiza mtu. Asante
  16. The Burning Spear

    Report ya CAG naona Wabunge wanapiga Makelele tu kama kawaida yao. Pesa hazitarudi.

    Amini usiamini hao wahuni wataishia kupiga mkelele na hakuna kitu itatendeka . Walikuwa wapi hadi pesa yote hiyo inapotea. Wezi wengine ni miongoni mwao. Wanajaribu kutuhadaaa eti waanauchungu nothing...tujipange 2025 tuwatupilie mbali
  17. matunduizi

    Faida ya kuwa Mkristo tajiri mwenye pesa nyingi siku za mwisho

    Yesu alipokufa liliandaliwa dau kupotosha kuwa hajafa. Shughuli hii iliratibiwa kwa ukaribu na Usalama wa Taifa wa Herode, Viongozi wa kidini na machawa wa kaisali. Pesa ilitumika kumuhafifisha Yesu, Hata leo trillions zimetengwa kumuhafifisha ionekane ni nadharia. Hii ni fursa kwetu sisi...
  18. sky soldier

    Ndugu yangu kakamatwa kwa simu ya wizi, Nawasihi sana tuchukue tahadhari tunaponunua simu 'used'

    Tamaa ni moja ya sifa kuu inayowatafuna vijana wengi sana hasa wenye kupenda vitu vyenye gharama kuzidi uwezo wao. Sikuhizi kwenye makundi mengi ya vijana ili uonekane kijana wa kisasa inaaminika inabidi uwe na simu nzuri zenye brand kubwa kama iphone, Samsung, Google pixel, Nokia, n.k. Kijana...
  19. Vincenzo Jr

    Mungu atuepushe na matatizo ambayo pesa haiwezi kutatua

    Kuna ndugu zangu jumapili watapakimbia sana hapa ndani
Back
Top Bottom