panya

Panya (Russian: Панья) is a rural locality (a village) in Leninskoye Rural Settlement, Kudymkarsky District, Perm Krai, Russia. The population was 11 as of 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Polisi watangaza kuwakamata wahalifu 167 wa Panya Road wakiwemo wanaonunua mali za uhalifu

    Polisi inawashikilia watuhumiwa hao wa uhalifu ambao wamekutwa na TV 23, Redio 2, kompyuta 2, spika 2 na silaha za jadi kadhaa zinazotumika kufanya uhalifu. Pia magari matatu aina ya Toyota Carina na Toyota Noah mbili na pikipiki tano zimeshikiliwa zikidaiwa kutumika katika matukio ya kihalifu...
  2. Lady Whistledown

    Miaka 20, Panya Road ni wale wale

    Ni jioni yapata saa 1:00 jioni, wakazi wa Tabata wanakimbia huku na huko kwa hofu ya kushambuliwa na kuporwa na vijana wadogo wanaosemekana wana visu na mapanga. Baadhi ya watu wanakodisha bodaboda kwenda mbele zaidi ya walipo. Kadri muda unavyokwenda ndivyo utulivu unavyorejea. Kadri utulivu...
  3. C

    Na nyie mnaamini wazazi ni chanzo kikuu cha panya road?

    Ni moja ya sababu lakini sababu kubwa ya kuwepo kwa panya road ni hali ngumu ya maisha, mfumuko wa bei, kukosa ajira na kunyimwa mazingira ya kujiajiri hasa 'umachinga'. Wanaokamatwa sasa hivi siyo watoto ni vijana wakubwa na wengine ni wababa kabisa, bado tu kuna sababu ya kuwatupia lawama...
  4. Mr Dudumizi

    Onyo na ushauri wa bure kwa Panya Road, ndugu na wazazi wao

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Ndugu zangu nimepata taarifa kutoka kwa baadhi ya ma homeboyz kwamba kuna baadhi ya vijana wa panya road wako katika process za kutaka kuikimbia nchi ili waje Kaburu kwa lengo la kukwepa mkono wa...
  5. JanguKamaJangu

    Polisi watangaza kuwaua Panya Road sita Dar e Salaam waliokuwa wanatumia Noah

    Jeshi la Polisi limetangaza kuuawa kwa watuhumiwa sita wa vitendo vya unyan’ganyi wa kutumia silaha za jadi ikiwemo mapanga, visu na nondo ambao ni maarufu kwa jina la Panya Road, eneo la Makongo Area Four, Dar es Salaam. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne amesema...
  6. Mr Chromium

    Hii nchi tushukuru mchina laasivo Panya Road wangekua mara 7 ya waliopo sasa hivi

    Kilichoandikwa hapa ni mawazo binafsi haina uhusiano na siasa wala haiwakilishi upande wowote/kundi la watu! Tanzania tunaelekea milioni 60 kwa makadilio (sensa itajibu ufasaha). Lakini katika miaka yote zaidi ya 50 na kenda ni kama serikali au nchi haikujipanga na ongezeko hili la watu. Mwaka...
  7. L

    Barua ya Wazi kwa Mkuu wa Mkoa Amos Makala juu ya Panya Road na namna ya kuwatokomezaa pasipo kujirudia

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwanza nikupe Hongera ya kuendelea kuaminiwa kuendelea kuwa RC wa DSM, Ni heshima kubwa kwako kwa kuwa Mkuu wa mkoa wa jiji la kwanza kiuchumi na kibiashara, kiuwekezaji na hata mchango wake katika Pato la Taifa, Ni mkoa ambao ndio Tanzania yenyewe ambapo hata...
  8. Gily Gru

    Panya Road achomwa moto Manzese

    Habari za Jioni, Kuna jambo la kusikitisha sana ambalo limenifanya niwaze sana mda huu. Jioni hii saa moja kuna kijana ambaye ni panya road amechomwa moto barabara ya kutokea sweet corner kuelekea Manzese darajani (karibu na machine za kusaga). Kijana huyo ambaye alimpora mtu kwa kutumia silaha...
  9. Msanii

    Panya Road: Matokeo ya maamuzi mabovu ya viongozi

    Wakati wa utawala wa Awamu ya Tano tulishuhudia kupungua kwa wimbi la uhalifu nchini lakini pia tuliona ongezeko la vijana kwenye sekta ya ujasiriamali na shughuli halali za kujiingizia kipato. Baada ya kuanza kwa Awamu ya Sita, kipaumbele cha kwanza kilikuwa ni kuwazuia na kuwaondoa...
  10. Kelp B

    Panya road 100 wakamatwa Temeke

    Mkuu wa wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo amesema ndani ya siku mbili zaidi ya wahalifu 100 wamekamatwa wakiwemo vijana wanaojiita ‘panya road’ ambao wamekuwa wakijihusisha na vitendo mbalimbali vya uhalifu wa kuvamia nyumba na kupora mali pamoja na kuwajeruhi watu Source: #EastAfricaRadio MY...
  11. P Didy Wa Tanzania

    Panya road ni hatari ila kauli za viongozi juu ya panya road ni hatari zaidi

    Hivi karibuni kumekuwa na matukio mengi sana ya uhalifu yakihusiana na makundi ya vijana jiji Dar Es Salaam . makundi ayo maarufu kwa jina la PANYA ROAD . Matukio yamezidi kuwa mengi na athari ya matukio hayo ya uhalifu yamepelekea mpaka wanajamii kupata ulemavu , kubakia na majeraha na wengine...
  12. Mwl Athumani Ramadhani

    Kutokomeza Panya road na Watoto wa mitaani, serikali ianzishe operation ya "Kamata jiunge JKT"!

    Hao vijana Wana nguvu za kutosha zilizokosa mpenyo ndio maana wanatusumbua mtaani! Nchi yetu ina ardhi ya kutosha sana ya kuendesha kilimo na ufugaji,kamata vijana Hawa peleka jkt wakalijenge Taifa letu kuliko kuwa wakabaji! Operation "Kamata jiunge jkt tumikia Taifa lako"inawafaa Sana Hawa...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    Ngumu sana kwa vikundi kama Panya Road kushamiri kwenye tawala za Mkono wa chuma

    Kwema Wakuu! Kutawala Kwa Mkono wa chuma Kwa faida na hasara zake. Moja ya faida ya kutawala Kwa Mkono wa chuma ni nadra Sana kusikia vikundi vya kipuuzi kama sijui panyaroad sijui nini. Ni ngumu Sana! Watu wenye akili za kimabavu kikawaida hawapendi kushughulika na ishu ndogondogo Kama hizo...
  14. kavulata

    ‘Panya road’ ni mifugo ya Serikali na jamii

    Hakuna mtoto anaezaliwa akiwa panya road. Hili ni kundi la vijana ambao wamejitoa mhanga baada ya kushindwa kutofautisha faida kati ya kuishi na kufa. Ni kundi la vijana ambao hawana Cha kupoteza, Mifumo yote ya kiuchumi imewafungia nje. hakuna kijana anaependa kuzunguunga na mizigo kichwani na...
  15. GENTAMYCINE

    Kwanini Panya Road hawataki na hawapendi Kuibukia Mkoa wa Mara ( Musoma ) kama wafanyavyo Mikoa mingine?

    Hiyo Mikoa mingine ambayo huibuka Kila wanapojisikia tu ni ya Kagera kwa Wahaya, Singida kwa Wanyaturu na Wanyiramba, Kigoma kwa Waha, Dodoma hasa kwa Warangi Kondoa, Mwanza hasa kwa Wakara na Tabora kwa Wanyamwezi ambako ndiko Kumejaa Raia Waoga Waoga tupu Tanzania nzima. Na muwaambie hao...
  16. BARD AI

    Panya Road waua mtu mmoja Kawe na kujeruhi wengine watatu

    Kundi la Vijana wanaojihusisha na Uhalifu Maarufu kama 'Panya road' wamevamia nyumba moja Kawe mtaa wa Mzimuni usiku wa kuamkia leo Septemba 14, 2022 na kujeruhi watu watano na Kumsababishia kifo Binti aliyetambulishwa kama Maria paschal Basso mwenye umri wa miaka 24. Eneo la tukio na...
  17. BARD AI

    Spika Tulia Ackson akataa kuahirisha Bunge ili kujadili Panya Road

    Akijibu hoja ya Wabunge Bahati Ndingo na Bonnah Kamoli, waliosimama kutaka Shughuli za Bunge ziahirishwe ilikujadili uhalifu wa vikundi hivyo kwa dharula, Spika wa Bunge amesema Kanuni za Bunge haziruhusu. Dkt. Tulia amesema kwa mujibu wa masharti ya Kanuni ya 55 ya Bunge suala hilo...
  18. Idugunde

    Dar es Salaam: Askari 300 waongezwa kudhibiti panya road

    Mikoa mingine mbona hawa vijana wanadhibitiwa? ======== Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Amos Makalla amesema mkoa huo umeongeza askari 300 kwa ajili ya msako wa kuwakamata wahalifu maarufu 'panya road'. Makalla ameyasema hayo leo Alhamisi Septemba 15, 2022 alipokuwa...
  19. Tengeneza Njia

    Panya Road - Mtanzania wa hali ya chini ni mhanga mkubwa!

    Ndugu zangu, Baada la tukio la mauaji ya mwanafunzi kawe, nimeona leo nililete hili! Ukiangalia matukio haya ya Panya Road sehemu ambazo huwa zinatajwa kuathirika mara kwa mara ni maeneo ambayo sisi kitanzania tunaita "uswahilini". Huku uswahilini ndipo wanaishi wananchi wa hali za chini sana...
Back
Top Bottom