Uzi wa kusaidia vyombo vya dola kujua machimbo yote (incubation hubs) za panya road na vijana wahalifu mikoa yote

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,928
Wakati mwingine kuwa mzalendo ni kuvisaidia vyombo kuzima uhalifu kabla haujamature.

Kumekuwa na ongezeko la panya road hasa dar es salaam.

Sasa tutumie uzi huu kutaja machimbo yote na mitaa yote inayolea vijana wahalifu na wavuta bangi popote walipo Tanzania.

Taja mkoa wilaya kata mtaa na vichochoro ambavyo hawa panya road wanakuwa incubated.
 
Tukishataja una connect vip hizo taarifa na police .kiluvya kuna mtaa msaki kwa Kweli kuna vijana wanasumbua sana
 
Tukishataja una connect vip hizo taarifa na police .kiluvya kuna mtaa msaki kwa Kweli kuna vijana wanasumbua sana
Vyombo vyote vinasoma kila kitu humu jamiiforum ukishataja eneo wao watafwatilia na wakijiridhisha wataambush!
 
Ndugu polisi wanajua chimbo zooote,hua wanaendaga kufata pesa Kila wikiendi mwenye hizo chimbooo speaking from experience,tutajichosha tu hapa,mfano buguruni, vingunguti,kiwalani askari wanajua Kila kitu
 
IMG_4206.jpg
 
Sasa hao na wezi wana tofauti gani, wewe waelekeze tu kituo cha polisi hapo hapo.
 
Back
Top Bottom