Panya road waliovaa suti?

Michewen

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
24,569
32,225
Msanii Nay wa Mitego, ameshusha Ngoma mpya humo ndani wanatajwa Panya Road, waliovaa suti mm bado sijawajua hao Panya Road waliovaa suti ni wa kina nani. Mwenye uelewa tafadhali.
 
Attachments

  • images - 2023-07-29T133046.314.jpeg
    images - 2023-07-29T133046.314.jpeg
    33.8 KB · Views: 17
Msanii Nay wa Mitego, ameshusha Ngoma mpya humo ndani wanatajwa Panya Road, waliovaa suti mm bado sijawajua hao Panya Road waliovaa suti ni wa kina nani. Mwenye uelewa tafadhali.
Utaelewaga tu mdo mdo, cha kwanza fuatilia mikataba yetu tang 1985 mpaka sasa!! Mengine utajiongeza mwenyew mbele kwa mbele!!
 
Msanii Nay wa Mitego, ameshusha Ngoma mpya humo ndani wanatajwa Panya Road, waliovaa suti mm bado sijawajua hao Panya Road waliovaa suti ni wa kina nani. Mwenye uelewa tafadhali.
Bana bana bana
Usitutake ubaya tukimwaga nyongo zetu😄
 
Back
Top Bottom