Je, kuna mtu ameshawai kusikia kelele za panya anatembea juu ya gypsum board?

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,822
33,532
Habari wadau,

Kuna hoja nimeisikia kwamba panya yeyote hawezi kutembea wala kukimbia juu ya gypsum board. Anateleza.

Je, mtoa hoja anasema ukweli ama anadangaya?

Kwa watu mnaoishi kwenye mazingira yenye gypsum board Je, mmewahi kusikia panya juu ya hizo board anakimbia ama anatembea kama siling board za kawaida za kizamani?
 
Atatembea kwa kuteleza hivyo hivyo mpaka atafika anakoenda

kwanza kuteleza ni bora kuliko kutembea kawaida🥵🥵
 
Habari wadau.

Kuna hoja nimeisikia kwamba panya yeyote hawezi kutembea wala kukimbia juu ya gypsum board. Anateleza.

Je mtoa hoja anasema ukweli ama anadangaya.

Kwa watu mnaoishi kwenye mazingira yenye gypsum board. Je mmewahi kusikia panya juu ya hizo board anakimbia ama anatembea kama siling board za kawaida za kizamani ?
Panya anatembea kwenye mbao.
 
Back
Top Bottom