paka

  1. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Mbwa na paka warithishwa Tsh billion 7, ni baada ya watoto wake kutomtembelea

    Mwanamke mmoja huko Shanghai, China Bi Liu amewaachia urithi wa Dola Milioni 2.8 sawa na Tsh Bilioni 7 kwa mbwa na paka wake aliokuwa anaishi nao na kuwatosa watoto wake watatu. Bi Liu amefanya uamuzi huo wa kuwapa utajiri paka na mbwa wake baada ya watoto wake wa kike kumtelekeza na kugoma...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Hivi hakuna namna Vijana kero ya paka na kunguru mtaani tukaifanya kuwa ajira ya muda wakati tunajitafuta?

    Serikali inapenda kusikia sisi vijana tunawaza nini ili watusaidie! Siyo kila wakati ni wa kulaumu laumu tu! Wakati mwingine tupeleke maoni yetu kwenye mamlaka za serikali kama vijana! Ukipita huko mtaani kuna paka wengi sana, kuna mbwa wengi sana, kuna panya wengi sana,kuna kunguru wengi...
  3. nentewene

    JamiiForums Tanzania Tungo: Acha tamaa za paka

    acha tamaa za paka, kuparamia majirani. roho ikakutoka, vya watu kuvitamani. mchana umeokoka, usiku hayawani. kila mtu wamtaka, umtupe kitandani. hebu punguza mizuka, na uache uhuni.
  4. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Wale tuliokula mishikaki ya paka enzi za kituo cha Ubungo na Mwenge tujuane, nini kifanyike tusile tena?

    Hii habari najua itawaumiza wengi sana ila kwangu ilikuwa somo zuri sana, kizuri gharama. Zamani kulikuwa na kituo cha ubungo pale ilipo tanesco na pale mwenge kabla ya kuhamishia makumbusho. Vile vituoo kulikuwa na mishikaki midogo yaa Mia mia, adimu sana kuipata hata uende serena kwa ubora...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta sumu au mtego wa paka pori

    Kuna paka ananitia hasara ya kula kuku na bata, kila nikimvizia kwa lengo la kumuua nashindwa. Je nitumie sumu au mtego gani ili afe?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Paka nyau white anauzwa

    Nyau anauzwa (Felis catus) elfu kumi na tisa 19,000/= (negotiable) Location: Kigamboni(Kichangani) Piga: 0759448927 Kama unahitaji rangi tofauti nicheki WhatsApp: 0620523897
  7. Chizi Maarifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Paka shume asiyekula samaki

    Sitaki shida, kama unataka salamu nenda shuleni watakuamkia. Nioneshe mwanamke asiyependa pesa nami nikuoneshe paka shume asiyekula samaki Dunia hii. Huwezi pata!
  8. Mr George Francis

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Paka wako ukimnyima chakula ataenda kula kwa jirani

    PAKA WAKO UKIMNYIMA CHAKULA ATAENDA KULA KWA JIRANI. Sina shaka kuwa unawafahamu PAKA, kama hujawai kufuga, basi hata kwa jirani zako ushawahi kuwaona. PAKA ni miongoni mwa wanyama wa kufugwa wanaoishi vizuri na binadamu, lakini pia wana tabia ya kubadilika na kuwa moja ya viumbe hatari kwa...
  9. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Hii ni mwaka 2015 lakini mpaka leo serikali imeshindwa kutatua hii kero

    Rais Kikwete atembelea Tegeta na Mkwajuni Kujionea Athari za Mafuriko 2015
  10. sammosses

    JamiiForums Tanzania Vita vya kuviziana, mwenye uwezo wa kumvika paka kengele bado hajazaliwa

    Maamuzi mengi ya serikali yanapitia kwenye Baraza la Mawaziri chini ya Rais ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM Taifa. Uwajibikaji wa serikali unamlenga waziri mkuu kwa kuwa ndiye msimamizi mkuu wa kazi zote za serikali,na waziri Mkuu huyu atapokea maelekezo toka kwa Rais na si vinginevyo. Drama...
  11. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Zanzibar na paka

    Najua kwamba kw Uislamu Paka wanapendwa na wanaonekana wasafi na sio km mbwa na kw moja ya hadithi kuhusu Mtume Mo ilisemwa kwamba paka alikuwa amelala kw msafa wale wa sala na mtume alichana upande mwingine ili asimsumbue na kumuamsha kwaiyo Uislamu wanaona paka wasafi sana na hawaaribu udhu...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kocha ana Ndevu mbaya kama Paka wa Wodi ya Mwaisela Muhimbili ndiyo mtegemee aifunge Yanga SC?

    Kama kuna Timu kwa sasa itakuwa ni ya Pili Kwangu Kuichukia baada ya ile nyingine inayojulikana na kila Mtu kuwa naichukia zaidi basi itakuwa ni Azam FC. Timu imejaa Unafiki na Uyanga mno.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nauza paka wa nyumbani

    Nauza paka (Felis catus) ana mwezi 1-3, elfu tatu 10,000/= njoo umchukue Location: Kigamboni Piga: 0759448927
  14. malisak

    JamiiForums Tanzania Kwani Siku Hizi Hatuli?, Mbona Paka Kalala Jikoni?

    Uzi wa mapishi umedoda jamani watu sijui tupo kwenye mifungo mikavu, rudini kundini tuanzae madigo diko mapya. Mtag mwana mapishi wako pendwa umualike arudi uzini tushee mapishi mapya na kukumbusha ya zamani pia. Kuna lishe za afya na za watoto pia ni vyema tunaukaza uzi wa mekoni.
  15. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Udadisi uliomuua paka: Namna sahihi kiafya ya kuulaza mwili wako

    Habari wakuu. Nisiwapotezee muda ngoja niende moja kwa moja kwenye mada. Awali ya yote niseme tu wazi Mimi sio mtu wa Afya nikimaanisha Mimi sio daktari wala sio nesi. Namaanisha Mimi si mtu mwenye taaluma ya Afya Ila napenda masuala ya Afya. ....... Nitagusia kitu kidogo tu kinachohusu...
  16. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu "Operesheni Acoustic Kitty" jinsi CIA ilivyotaka kutumia Paka kama chanzo cha taarifa kutoka Soviet

    Miaka ya 1960 Shirikia la Ujasusi la Marekani lilikuww linapambana na Urusi katika vita baridi. Katika kipindi hiko Marekani ilianzisha program na miradi mbalimbali dhidi ya kupambana na Ujamaa ulioanza kuenea sehemu mbalimbali za Dunia. Kule Langley, Virginia yalipo makao makuu ya CIA walikuwa...
  17. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Sio ndoto, nimeng'atwa na paka kwenye uume

    Sio ndoto, ni tukio halisi. Baada ya kuperuzi JF nikampigia mke wangu, maana niko Mafinga nimekuja kufunga mzigo wa mbao kwa ajili ya ujenzi wa shule. Nilipomaliza kuongea na simu, nimekuja kushtuliwa na maumivu makali sana kitu kimeng'ata uume wangu na kimeushikilia. Uzuri switch iko hapahapa...
  18. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Yesu Kubambikiwa alitakasa vyakula vyote ina maana alimkaidi Mungu alietuchagulia vya kula? Ni ruksa kula nzi, paka, mbwa, chura, kinyonga, nyoka?

    Mungu alishaweka sheria tule vyakula vifuatavyo Wanyama - wawe wenye kwato + miguu ya kupasuka kati + mwenye kucheua walioruhusiwa: Ng;ombe, mbuzi, kondoo, swala, nyati, n.k wasioruhusiwa: Nguruwe, Kobe, punda, mbwa, nyau, panya, n.k. Samaki - wawe na magamba + mapazi walioruhusiwa...
  19. ChatGPT

    JamiiForums Tanzania Paka ahuzuria sala ya Ramadhani!!

    Paka: ni paka Kila mtu: OMG Wengi wetu hatukerwi na paka, hata Sheikh Walid Mehsas, akiongoza sala za usiku za Ramadhani nchini Algeria siku ya Jumatatu. Paka huyu mdadisi alionekana kufurahia maombi (huenda!, au labda alifikiri Sheikh alikuwa akificha kitu kizuri cha kula mahali fulani)...
  20. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Umewahi muona paka wa aina hii? Anaitwaje kwa Kiswahili?

    Huyu paka anapatikana sana Africa, ikiwemo Tanzania. Kwa kiingereza anaitwa serval cat. Umewahi muona? Anaitwaje kwa kiswahili?
Back
Top Bottom