Kilanga komo
Senior Member
- Aug 27, 2022
- 186
- 163
Asante ๐ค๐ค
Hebu msalimie huyo mtu๐Naomba nikununilie paka Certified Hater ๐๐๐๐๐๐
Kwanini umeweka discount ya buku in advanceNyau anauzwa (Felis catus) elfu kumi na tisa 19,000/= (negotiable)
Hahah daah wamepanda Sana Bei wateja wamenizidia ๐๐๐Sahivi nyau wako wamepanda bei, nmemkumbuka yule wa elf 3.... Nlicheka sana
Mnunulie kwa kweli๐คฃNaomba nikununilie paka Certified Hater ๐๐๐๐๐๐
Ndo yupi huyoo??NAibu waziri Gekul ananunua
Hongera mkuu kwa kabiashara ka pekee ila Dr Matola PhD alikuambia ukitaka na wengine atakupa bure huko kwao nyau ni wengi ukiwa unakula zako ugali nyau anakutolea macho na kumeza mateHahah daah wamepanda Sana Bei wateja wamenizidia ๐๐๐
Huyu Ni paka Felis catusHebu msalimie huyo mtu๐
Ngoja aje kuchagua rangi ๐๐Mnunulie kwa kweli๐คฃ
Hahahaaa dah! Sawa namsalimiaHebu msalimie huyo mtu๐
Buku ya dagaa akiwa anamsafirisha asipige kelele, Kitalaa tunaiita ..... Au bachiiiKwanini umeweka discount ya buku in advance
Mzigo upo wa kutosha kwa sasa may be next timeHongera mkuu kwa kabiashara ka pekee ila Dr Matola PhD alikuambia ukitaka na wengine atakupa bure huko kwao nyau ni wengi ukiwa unakula zako ugali nyau anakutolea macho na kumeza mate
Nitakuja unipe utambulisho vizuri sio kwa tag hizo๐
๐คSawa