paka

  1. Superbug

    JamiiForums Tanzania Natamani kumla paka wangu nione ladha yake

    Paka Ni viumbe wapole wazuri ila ukimtibua utajuta. Kutokana na kuishi na watu wa Jamii mbalimbali duniani Kuna vyakula natamani kuvila ila naona sitaonekana wa kawaida. Moja ya kitu ninachotaka kukila ni paka wangu ila dhamiri inanisuta. Najiuliza atakuwa na utamu Kama wa sungura au? Kumala...
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Imekaaje hii, hotelini mzungu kampa paka samaki mkubwa

    Wazungu wana mambo ya ajabu sana, wacha nikupe mkasa nilioshuhudia leo Mida ya lunch leo kuna rafiki yangu kazini katutoa lunch rafiki zake twende hotelini kupiga msosi. wakati tunapiga msosi maeneo ya wazi nyuma ya hoteli, tukawa tunamshangaa mzungu flani yupo na paka wa pale hotelini...
  3. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Natafuta PANYA maana naona PAKA wangu anajinenepea tu. Analala masaa 24

    Wadau mimi napenda kufuga hapa kwangu nina Mbwa,Paka, Ng'ombe wa Maziwa na Kuku pia. Mbwa nmeona kazi yake maana kuna siku kibaka alijichanganya kuruka ukuta kabla sijaweka Fensi ya Umeme... Tulimkuta hoi. Hawa mbwa nikawapenda zaidi. Kuku tunapata Mayai na Nyama pia. Ng'ombe tunapata maziwa...
  4. Barbarosa

    JamiiForums Tanzania Kwanini Panya ambaye hajawahi kuona Paka, akimuona anachanganyikiwa?

    Unakuta Panya hajawahi kuona wala kukutana na Paka tangia azaliwe, lakini siku akimuona tu kwa mara ya kwanza anashtuka na kuogopa sana, kwa nini? Nani kamfundisha kuhusu Paka?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta paka: Panya wananitesa sana, mimi niko Dar es Salaam

    Kama Uzi unavyosema, natafuta paka kwa udi na uvumba. Yeyote mwenye paka mdogo ambaye ameacha kunyonya tuwasiliane kuanzia jukwaani hapa. Hata kwa Kibaha, Dar, hadi Mkuranga, na Kisarawe pia Bagamoyo maeneo yote hayo niko tayari kumfuata. Karibuni. Naishi Dar es Salaam.
  6. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Nini kimepelekea Panya Mjanja wa Mtandaoni Kiboko ya Paka Mbishi wa Magogoni kutoweka ghafla?

    Tulishazoea kila mara kumuona Panya Mjanja wa Mtandaoni ambaye kiukweli ameweza Kumhenya na Kumnyima kabisa Usingizi Paka Mbishi wa Magogoni pamoja na kutumia Mbinu zake za kila aina Kumnasa. Hata hivyo Sisi wapenda Kuwafuatilia hawa Maadui wakubwa wawili tumeshikwa na butwaa kuona tangia tarehe...
  7. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Paka wengi wa Uswahilini hulia kama Watoto Wachanga (Wadogo) tena kwa Nyakati za Usiku tu pekee huku Wakiwa Madirishani kwa Watu?

    Kuna mahala fulani nilihamia Uswahilini na Siku moja nikasikia Kilio kama cha Mtoto Mdogo anamlilia Mama yake na nilipotoka zangu tu nje kwa nia njema ya kwenda Kumuangalia huyo Mtoto nikihisi ametelekezwa na Mama yake nikaishia kukutana na Paka Wawili wakilia hivyo tena kwa Sauti ya pamoja na...
  8. Komeo Lachuma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku ambayo wife alinipa kipigo cha paka mwizi...

    Pale ofisini kuna dada mmoja mashallah huwa analeta chakula. Kaumbika sana yule, chakula anachokuletea hata akizidisha pilipili kama yupo mbele yako huwezi pata ujasiri au nguvu ya kumkosoa; utakiona sawa tu. Nilichukua namba yake tuwe tunawasiliana nimwagize chakula ntakacho. Mtoto wa kizigua...
  9. anonymousafrica

    JamiiForums Tanzania Paka Oscar alias Unsinkable Sam, aliyenusurika kifo mara tatu wakati wa vita vya Dunia

    Hii sio AFRIKA NA UAFRIKA. Leo nakusimulia kuhusu paka aliyenusurika kufa vitani mara tatu. Paka ana roho ngapi? Utaskia watoto wanajibu ANA ROHO SABA Labda theory hii ya kikatili ya kumsifu paka ana roho saba ilianza kwa paka OSCAR. Kwenda JKT tu kwa vijana sasa ni mbinde. Kuna njemba moja...
  10. mitale na midimu

    JamiiForums Tanzania Shenzhen China: Ulaji wa Paka na Mbwa wapigwa marufuku katika jitihada ya kuzuia Corona

    Wanyama hawa ambao ni haramu hata kibibilia wamesadikiwa kuchochea janga hili. Pia wanamkakati wa kuongeza list zaidi ya wanyama mwitu,kufugwa na watambaao. Tabia ya kulakula nyama za mwitu akiwemo paka miaka 17 iliyopita ilipelekea vifo vya watu zaidi ya 8000 Source: South China Morning Post...
  11. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kisa cha mtoto wa shehe na paka; Bulembo, Mama Lwakatare na Zitto; Mdomo huumba na mdomo uliponza kichwa

    Wakati tunasoma shule alikuwepo mtoto mmoja baba yake alikuwa Shehe. Mtoto yule Kuna siku aligombana na sisi wanafunzi wenzake wote bwenini. Kwa bahati mbaya Sana alitutishia kwamba baba yake ni Shehe na anafuga majini hivyo usiku atakuja kwa njia ya paka akiwa Kama jini. Basi sisi tulilala...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Paka mkubwa kuliko wote duniani

    Paka aliyevunja rekodi ya ukubwa anaitwa Hercules, ambaye ni chotara wa mchanganyiko wa simba na chui milia, ambaye sasa anaishi Myrtle Beach Safari, hifadhi ya wanyama pori South Carolina, USA. Ana urefu wa mita 3.33, kimo chake ni mita 1.25 na ana uzito wa 418.2 kg (922 lb). Hercules anakula...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Paka wenye tabia hizi huwa ni paka kweli?

    1. Anapenda kwenda sawa na wewe kwa kile unachokila na muda mwingine atataka ale zaidi yako. 2. Ukiwa umelala na mkeo au mpenzi wako atalazimisha akupige chabo dirishani. 3. Ukiificha mboga hasa nyama sehemu ya mbali akiwa hayupo baadae unakuta ameshaila. 4. Ukimuadhibu anakudindia...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna bora ya kuua paka pori/shume kwa sumu

    Habari wakuu. Kuna mahala hapa paka pori shume wananisumbua haswa. Wanaiba mayai, wanakamata kuku n.k. naomba nisaidiwe namna ninavyo weza kuwaua kwa sumu ----------------------------------------------------------------------------------------- MREJESHO: nawashukuru kwa msaada. Paka Yule...
Back
Top Bottom