Mwanamke mmoja huko Shanghai, China Bi Liu amewaachia urithi wa Dola Milioni 2.8 sawa na Tsh Bilioni 7 kwa mbwa na paka wake aliokuwa anaishi nao na kuwatosa watoto wake watatu.
Bi Liu amefanya uamuzi huo wa kuwapa utajiri paka na mbwa wake baada ya watoto wake wa kike kumtelekeza na kugoma kumtembelea wakati anaumwa magonjwa ya kizee ambapo wanyama hao ndio walikuwa wanampa faraja, urafiki na company.
Hata hivyo kutokana na vikwazo vya kisheria nchini China vinavyokataza usia wa moja kwa moja kwa wanyama, urithi huo sasa uko chini ya usimamizi wa kliniki ya mifugo ya eneo hilo.
Nini maoni yako?