paka

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa bongo wapo fasta wameshatunga wimbo wa Simba kawa paka. Utani wa jadi mtamu

    Huu wimbo simba kawa paka umeniacha hoi sana. Kila msiba wasanii wanautungia wimbo fasta
  2. The only

    JamiiForums Tanzania UCHAWI: Ongezeko la paka kukatwa mikia

    Naanza kwa kuwasalimu No reforms ! (mjibu kwa makelele no elections) Wakuu nimekuwa na hii observation mjini Dar na zanzibar kwa ujumla kumekuwa na paka wengi hususani hawa wakuzurura (wa mtaani) kuwaona wamekatwa mikia ,mwanzo niijisemea ni mambo ya watu wakatili kwa wanyama ,badae nikaona...
  3. Mmea Jr

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Jenny ,, Paka pekee aliyekuwa akiishi ndani ya meli ya Titanic

    Yapata miaka 113 toka meli hii ya Titanic ilipozama katika bahari ya Atlantic ikiwa katika safari yake ya kwanza ikitokea Southampton kuelekea New york baada ya kugonda iceberg na kuzama huku ikisababisha vifo vinavgokadiliwa kuwa zaida ya 1500 . Mengi yameongelewa juu ya meli hii na ajari yake...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ommy Dimpoz kamfanya nini Tajiri GSM hadi hivi sasa hawaelewani, kawekwa Benchi na wamekuwa Paka na Panya?

    Mlioko Tanzania tafadhalini si vibaya kama mkatujuza Sisi tulio mbali nanyi katika hili Sakata ambalo limeshika Kasi mno.
  5. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuua panya, kunguru au paka tumia Energy Drink

    Kama unasumbuliwa na panya waharibifu loweka nafaka mfano karanga, mahindi, nk kwenye kinywaji cha energy drink yoyeto iliyochemshwa, kisha weka kwenye njia zao wakila tu hawachukui round utaokota mizoga. Hata paka au kunguru we loweka nyama au samaki kwenye energy kisha weka sehemu atakayoweza...
  6. Magical power

    JamiiForums Tanzania Mnaofuga paka

    Mnaofuga paka. Mtagundua paka usipompa attention, ndio atakuja miguuni mwako, kutaka kucheza na wewe. Ila ukianza kumpa attention, kutaka kumfata fata, mara nyingi ataanza kukukimbia.. Wanaume bila shaka mnajua pakuifanyia kazi hiyo ni wapi.
  7. Pridah

    JamiiForums Tanzania NIMEMUONA MUNGU MUUMBAJI (ELOHIM) KUPITIA PAKA WANGU

    Juzi nikiwa nimejilaza kibarazani ghafla nilimuona paka wangu akifanya kitu ambacho sijawahi kumuona akifanya kabla wala kumuona paka mwingine yeyote akifanya hivyo.Nilishangaa sana nikamchukua ka clip nikiamini paka wangu ana talent ya ajabu na niliamini watu watashangaa sana kuona paka...
  8. Magical power

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumeaza kuchangamka, ananyonyesha paka

  9. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Hifadhi ya Taifa ya Amboseli yakabidhiwa kwa kaunt ya Kajiado ili wasimamie, Ngorongoro Wamasai wanatimuliwa kama Paka mwizi

    Amboseli sasa ni rasimi itasimamiwa na kuendeshwa na kaunti ya Kajiado kumbuka hata Masai mara inasimamiwa na kaunti ya Narok ambayo ndio inachukua mapato. Sasa piga picha pale Ngorongoro jinsi Wamasai wanavyo furushwa kama digidigi ili eneo wapewe Waarabu Wajomba. Au jiulize Serengeti...
  10. contask

    JamiiForums Tanzania Nilimpiga Paka picha lakini aliniangalia kwa macho ya kijasusi

    Habari wakuu Niende moja kwa moja kwenye mada kuu Kama ilivyo desturi ya mwanadamu ya kufuga wanyama pendwa kama vile paka,mbwa na ndege kama kasuku Siku za nyuma nilikutana na tukio la ajabu kuhusu paka Mnamo kipindi flan wakati nipo mkoa X ,nilibahatika kuwa na mahusiano na mdada mzuri sana...
  11. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Leo nimemuua paka

    Yule paka usiku huu alikuwa pembeni ya barabara pale karibu na Ubalozi wa Oman, Mikocheni. Nimekwenda nikamwona, a kitten, a scraggy kitten, nikafikiria kumchukua niende nae nyumbani. Yule paka aliponiona akastuka akakimbia kuelekea barabarani anataka kuvuka barabara, jambo ambalo...
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni kweli wahamiaji wanakula paka na mbwa wa wenyeji Marekani?

    Mojawapo ya mjadala mkubwa jana katika mdahalo wa wagombea urais wa Marekani ni tuhuma za Donald Trump ambazo zinaungwa mkono na wanachama wengi wa Republicans kwamba wahamiaji wanawinda/wanaiba na kula pets(paka, mbwa na bata wa urembo) wa wenyeji huko Marekani. Je tuhuma hizi ni za kweli?
  13. Damaso

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli Dolph alimjeruhi vibaya Sylvester Stallone wakiwa wanarekodi filamu ya Rocky IV?

    Nimepata kutazama mahojiano ya Sylvester Stallone na mtandao wa Vulture na kuona akidai kuwa walipokuwa wakirekodi filamu ya Rocky IV, toleo la nne basi alikutana na majanga nusu kupoteza maisha kwani Dolph Lundgren alimpiga ngumi walipokuwa wakirekodi vipande vya mapigano. Alidai kuwa alitamani...
  14. Mbahili

    JamiiForums Tanzania Hivi Roma aliposema mawingu kwenye derby ya Paka na Panya alimaanisha Clouds FM?

    Mzee mbabe untouchable mkali ka Mugabe, Hakuiva na Manji wenye ganji akasema akabwe, Panya wakafyata mkia wakapotea wenye ngebe, Acha kumpinga ukimsema unanyea debe, Hakua mlevi wa uhuru kunyata kama kalewa, Labda kama madaraka yanalevya alolevyewa, Sometimes hivi vyeo vina hangover, Lake gang...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Madai ya malimbikizo ya madeni ya watumishi ni mchezo wa paka na panya

    Watumishi wa umma tumekua tukiomba nyaraka za madai ya madeni yetu mara kwa mara ila hayafanyiwi kazi. Watumishi wengi wa umma wanaidai serikali malimbikizo ya madai mbalimbali ikiwemo kupanda daraja,likizo ,uhamisho nk lakini mchakato wa kulipwa imekua danganya toto. Serikali kuu imekua na...
  16. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Unapenda Paka? Tupia picha ya Paka wako tumuone

    Mufti kuku The Infinity kwenye picha ya pamoja na paka wake Cc BICHWA KOMWE - The Mongolian Savage
  17. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Naiomba Serikali yetu itunge sheria kali ya kuwalinda wanyama wa majumbani eg. Paka, Mbwa n.k

    Mimi Mjanja M1 sikuwahi kuwaza kama kuna siku nitaandika uzi kwaajili ya wanyama hususani wanyama wa majumbani eg. Paka, Mbwa na wengine ambao tunawafuga. Kwenye pilika zangu nimekutana na Vitoto vya Paka vikiwa vimetupwa jalalani na muhusika (Mfugaji) hajulikani. NILIUMIA SANA 😢 Ukiachana na...
  18. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya Mama Paka ina lengo la kutokomeza mnyama aitwaye paka nchini Zanzibar

    Hawa wazungu wamekuwa wakikamata paka mitaani na majumbani kisha kuwang'oa uzazi. Baada ya miaka michache tu nchi ya Zanzibar itakuwa haina paka hata mmoja. Paka wana faida nyingi sana kwa jamii na kimazingira pia. Hizi kampeni zinazoendelea, serikali izitupie macho. Wanyama wana haki ya...
  19. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe: Shabiki wa Yanga paka Bleach kichwani na kwenye Ndevu "PACOME DAY"

    Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga Ali Kamwe, amewataka mashabiki wa Klabu ya Yanga kujipaka Bleach kwenye mechi ya Jumamosi. Ali Kamwe amesema, "Mtoko wa Jumamosi ni PACOME DAY 𝐊𝐢𝐭𝐚𝐚𝐥𝐚𝐦𝐮 𝐙𝐚𝐢𝐝𝐢 .. Mwanayanga piga Breach kichwani. Piga Breach kwenye ndevu.. chora rangi shavuni...
  20. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume ambae hana mpango wa kuoa ni Mbwa Dume na Mwanamke ambae hana mpango wa kuolewa ni Paka Jike.

    Kupanga ni kuchagua mwanaume ambae hana nia ya kuoa ni Mbwa Dume na Mwanamke ambae hana mpango wa kuolewa ni Paka Jike, uamuzi ni wenu. Fuatilia tabia na mienendo ya maisha ya hao viumbe hawanaga ndoa wala kuoa au kuolewa. Hawa viumbe kazi yao ni kunyandua na kupata matokeo ya minyanduano...
Back
Top Bottom