Zanzibar na paka

Ricky Blair

JF-Expert Member
Mar 13, 2023
391
873
Najua kwamba kw Uislamu Paka wanapendwa na wanaonekana wasafi na sio km mbwa na kw moja ya hadithi kuhusu Mtume Mo ilisemwa kwamba paka alikuwa amelala kw msafa wale wa sala na mtume alichana upande mwingine ili asimsumbue na kumuamsha kwaiyo Uislamu wanaona paka wasafi sana na hawaaribu udhu. Ila Zenj km old town Mombasa km naona paka ni wengi sana na pia hawakimbii ovyo ukitaka kuwagusa km Dar; sa cjui ndo huo upendo wa Waislamu kwa paka au wanawadekeza sana na kuwalisha kiasi cha kwamba wamekuwa mazezeta; mzenji yoyote anipe more insight lol.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom