Mwanaume ambae hana mpango wa kuoa ni Mbwa Dume na Mwanamke ambae hana mpango wa kuolewa ni Paka Jike.

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,411
11,061
Kupanga ni kuchagua mwanaume ambae hana nia ya kuoa ni Mbwa Dume na Mwanamke ambae hana mpango wa kuolewa ni Paka Jike, uamuzi ni wenu. Fuatilia tabia na mienendo ya maisha ya hao viumbe hawanaga ndoa wala kuoa au kuolewa.

Hawa viumbe kazi yao ni kunyandua na kupata matokeo ya minyanduano.

Ibaki kama tafakari kuamua vema ni akili na kukosea ni upumbavu.

Ni hayo tu

Wadiz
 
_20240218_141207.JPG


Fukumean
 
Back
Top Bottom