nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Top for B

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada ya Hospital nzuri ya meno Dodoma

    Wakuu nina jino la uzeeni limeota mwisho kabisa upande wa juu. Mwanzo nimelivumilia nikajua likiota litapona maumivu, ila yamezidi na nikigusa naona jino linatokezea kwa pembeni nje ya usawa wa mengine. Naomba kujuzwa hospital nzuri ya meno kwa Dodoma yenye gharama nafuu
  2. Mvinyo mpya

    JamiiForums Tanzania Mahusiano ya wazi ni dhana nzuri?

    Kuna hii kitu inaitwa open relationship, yaani unakua na mtu wako ( tuseme mke au girlfriend) lakini anaruhusiwa kudinywa na mtu mwingine, vivyo hivyo wewe mwanaume unaweza kudinya demu mwingine! Is it not good idea. Tuseme mkeo hapati mimba kwanini tuonane wivu? At the end of the day hakuna...
  3. C-C Daily Stories

    JamiiForums Tanzania Kama Ruge Mutahaba angekuwa hai basi Civilian-Coin angepata promotion nzuri ya nyimbo zake.

    https://youtu.be/BIVfUcyhhyc?si=cfesf42mJiog8DvH https://youtu.be/SkLvVyZveTI?si=8UOmuc6ldnXQXvqa
  4. Jeremia Mhanuzi

    JamiiForums Tanzania Tungo nzuri za fasihi ya Kiswahili

    MAHABA YASIYOKOMA. Mimi binafsi huwa ni mpenzi wa tungo mbalimbali za sanaa ya kiswahili. Tangu utotoni, nimekuwa nikipendelea sana kusoma vitabu na machapisho mbalimbali yaliyoletwa nyumbani ama na mzee wangu au kaka na dada zangu walionitangulia kufika shule. Mpaka sasa nawezasema, nimesoma...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ombaomba wa Tanzania ni wabunifu sana

    Kuna wamama nimekutana nao barabarani wanaomba msaada ukishuka tu kwenye gari wanaanza kwa kuambia "Asalamaleko, kuna jambo zuri la baraka tungependa kukushirikisha kwa ajili ya sadaka..." kisha wanakupa kadi yenye maelezo mengi, mwisho wa siku kumbe ni msaada tu unatafutwa Kuna wakina mama wa...
  6. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Hivi future ya Tanzania ni nzuri kweli?

    Kwa mambo yanayoendelea kuuana, kutekana, CCM, Chadema, wanaharakati, machawa, ufisadi, maendeleo ya nchi, madeni, Utanganyika, Uzanzibari, bandari, uranium, UAE, EU, Russia, changamoto za ajira, umasikini nk The way tunavyo handle hivi vitu kama taifa, mnaiona Tanzania ya miaka ijayo ikiwa...
  7. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Kumbe Buza ni sehemu nzuri namna hii

    Kumbe ni sehemu tulivu pazuri kuliko hata Sinza ni watu tu waliamua kutuaminisha ujinga
  8. Brex2

    JamiiForums Tanzania Natafuta chimbo nzuri la kariakoo la saa, jewellery, accessories

    Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema na kamtaji changu cha 1M hapa. Nataka kuanzisha biashara ya kuuza saa ,accessories, jewellery kwa anayefahamu machimbo mazuri zaidi naomba tusaidiane
  9. M

    JamiiForums Tanzania Huwa unatumia nini kuifanya nyumba yako iwe na harufu nzuri?

    Wakuu kila nyumba ina harufu ambayo wakazi wameizoea na kuhisi kawaida, ila mgeni ukiingia ndio utaiskia kama ni nzuri au mbaya, iwe ya marashi au uvundo. Kuna nyumba zinanukia vizuri sana, harufu murua sana hutatamani kutoka ukiingia. Kuna njia za Kiasili ambazo wengine hutumia kwenye nyumba...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Pasi ya maji hulinda nguo zako na kuzitoa smart kuliko pasi kavu, pasi za maji sio mbovu, zitumie kwa namna hii na hutafikiria tena kutumia pasi kavu

    Watu wengi wamekariri kutumia pasi kavu bila kujua zinachangia pakubwa kuharibu nguo zao Pasi kavu huchosha kitambaa, huchosha nyuzi na fabrics, huondoa mwonekano mzuri wa nguo na kufanya zifubae mapema. Ndio maana mara nyingi utaona nguo za mtumba zimetumika miaka mingi huko zilipotoka lakini...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Wadau naomba recommendation ya model nzuri ya laptop ya mtumba ndani ya 800K–1M

    Wakuu, naomba msaada wa ushauri na connection za laptop nzuri yenye specs za kufanya kazi nzito kidogo kama programming, video editing, gaming, 3D rendering na data analysis. Napendelea zaidi brand za Dell au HP, zikikosekana naweza pia kuangalia Lenovo. Sina sababu ya kitaalamu sana kuchagua...
  12. sonofobia

    JamiiForums Tanzania LG Oled vs Samsung Neo Qled. Ipi nzuri zaidi?

    Wakuu naomba mnisaidie ushauri nataka kununua TV inch 55 ya kudumu nayo muda mrefu. Sasa kati ya LG Oled android processor vs Samsung Neo Qled android processor. Ipi itanifaa zaidi na reasons kama itawezekana. Asante
  13. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni brand ya syrup nzuri ya kikohozi kikavu

    Nimepata kikohozi pale mafua yalpoisha. Nisaidieni wakuu.
  14. jooohs

    JamiiForums Tanzania Sehemu gani nzuri ya kula bata Igunga (Tabora)

    Habarini ndugu. Kwa wanao pafahamu Igunga vizuri ni sehemu gani nzuri ya kula bata palipo changamka siku za weekend + mziki mzuri . Natanguliza shukran.
  15. K

    JamiiForums Tanzania TRMC BOND VS. I trust Bond: Ipi Bond nzuri kuwekeza?

    Uchaguzi kati ya TRMC Bond Fund yenye riba ya 11% kwa muda wa miaka 5 na i-Trust Bond Fund yenye riba ya 13% kwa muda wa miaka 4 unategemea malengo yako ya uwekezaji, kiwango cha hatari unachokubali na muda unaotarajia kuwekeza. Kama unatafuta uwekezaji wenye utulivu zaidi, usalama wa mtaji na...
  16. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Ayoub Rioba: Ninaomba Serikali ichukue hatua ngumu kukomesha hii 'narrative' ya utekaji. Tutaharibu Nchi yetu nzuri bila sababu za msingi!

    Watanzania ni watu wanaopenda amani na hawajazoea kuishi kwa hofu. Niwapongeze Polisi kwa kujibu haraka kwamba wanachunguza tukio la 'kutekwa' Msaidizi wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, ndugu Djumbe. Nitoe pole kwake na kwa familia yake! Kuna maadui zetu wanaweza kutumia mwanya wa...
  17. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu mtambo huu, excavator, je ipi ni nzuri na bora na imara?

    Kama kichwa cha habari kisemavyo ningependa kufahamishwa kwa kina juu ya mtambo huu unaojulikana kama excavator, aina gani ni nzuri,imara na inayodumu muda mrefu,pia wapi inaweza kupatikana kwa bei nafuu kidogo! Asanteni,wasalaam. Inshaallah.
  18. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Kuna sehemu nzuri ya kutunza watu hawa ? Au ni story?

    Habari! Kuna mtazamo mmoja hivi kwamba watu ambao huwa wanaonekana ni wasumbufu lakini ni public figure mfano Balozi polepole na Mdude Nyagali pengine Kuna mahala wanaweza kuwa wamehifadhiwa kwa mda tu huku wanapata huduma muhimu hasa ikiwa watu kama hawa huwa wanahusishwa na serikali. Huu...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kofia(boshori) zibauso achia macho zinazoanza kushamiri mitaani sio nzuri kiusalama

    Hamjambo! 1. Siku za hivi karibuni ukipita mitaani na barabarani umezuka mtindo wa vijana kuwaona wakiwa wamevaa kofia boshori funikauso achiamacho aidha wakitembea barabarani au wakipita na bodaboda wakiwa wamepakizana. 2. Mtindo huu sio mzuri kiusalama hasa ukizngatia vijana wengi hawana...
  20. IKEKERA

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba, unafanya kazi nzuri sana. Kaza buti

    Kiukweli PM unafanya kazi nzuri sana za kutatua kero za wananchi.. Ukitangaza tu ziara sehemu yoyote kiukweli watendaji wa serikali wanawajibika kwa wananchi 100%..juzi ulitangaza kwenda mkoa X kiukweli wanahaha kutatua kero za wananchi mpaka usiku kabisaa. Naomba usikatishwe tamaa na viongozi...
Back
Top Bottom