Naomba msaada ya Hospital nzuri ya meno Dodoma

Naomba msaada ya Hospital nzuri ya meno Dodoma

Top for B

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2023
Posts
1,156
Reaction score
3,952
Wakuu nina jino la uzeeni limeota mwisho kabisa upande wa juu.

Mwanzo nimelivumilia nikajua likiota litapona maumivu, ila yamezidi na nikigusa naona jino linatokezea kwa pembeni nje ya usawa wa mengine.

Naomba kujuzwa hospital nzuri ya meno kwa Dodoma yenye gharama nafuu
 
Hospital kwa Tanzania ni mloganzila tawi na muhimbili tu, hvo vingne ni vituo vya afya

Unaweza ambiwa lolote la ajabu na la uongo tena kwa ujasiri mkubwa

Tahadhari, jino linaweza kukufanya uwe kipofu nenda muhimbili au mloganzila mapema
 
Back
Top Bottom