LG Oled vs Samsung Neo Qled. Ipi nzuri zaidi?

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,299
Reaction score
4,691
Wakuu naomba mnisaidie ushauri nataka kununua TV inch 55 ya kudumu nayo muda mrefu.

Sasa kati ya

LG Oled android processor vs Samsung Neo Qled android processor.

Ipi itanifaa zaidi na reasons kama itawezekana.

Asante
 
Chukua Samsung hakikisha tuu ni OG.
Kudumu nayo muda mrefu hakikisha wakati TV inafanya kazi moja, viunganishi vingine zima kwenye vyanzo vya umeme.
Mfano kama unatumia king'amuzi, zima/toa disks iwe flash, external au PS.

Kinachounguza hizo TV ni shoti za umeme zinazotoka kwenye vifaa vingine, hasa ukizingatia umeme wetu huu haueleweki.
 
Kwa nini Samsung ?
 
Wakuu naomba mnisaidie ushauri nataka kununua TV inch 55 ya kudumu nayo muda mrefu.

Sasa kati ya

LG Oled android processor vs Samsung Neo Qled android processor.

Ipi itanifaa zaidi na reasons kama itawezekana.

Asante
Oled ni nzuri kuliko Qled most of time, sema bei za Oled zimesimama around 3M.

Pia si Samsung si LG mwenye android kwenye TV, kila mmoja na os Yake.
 
Unamaanisha lg na samsung hazina hiyo android processor?
 
Kama TV itaangaliana na dilisha au chumba kina ruhusu mwanga mwngi chukua qled Samsung
 
Ukiwa na TV za Samsung, LG au sonny unawezaje kutazama YouTube, netflix, prime videos au apple tv ?
Samsung: ina Tinzen OS YouTube ipo, Netflix, Apple TV, Prime, Disney+, Hulu nk, zote pre installed.

LG: WebOS kama Tinzen ya Samsung.

Ubaya wa hizo mbili, LG na Sammy hauwezi kusideload Apps za Android kabisa.

Sonny: Huyu amepartner na Google, kwahiyo TV za zamani zina Android TV wakati mpya zina run Google TV. Kwahiyo izi una access ya Google Play.
 
So kama nakusoma vizuri mkuu, sonny ndio best choice?
 
Back
Top Bottom