Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 7,595
- 15,506
Kwa mambo yanayoendelea kuuana, kutekana, CCM, Chadema, wanaharakati, machawa, ufisadi, maendeleo ya nchi, madeni, Utanganyika, Uzanzibari, bandari, uranium, UAE, EU, Russia, changamoto za ajira, umasikini nk
The way tunavyo handle hivi vitu kama taifa, mnaiona Tanzania ya miaka ijayo ikiwa nzuri au inazidi kuharibika? Are we doing good enough or we could do better?
The way tunavyo handle hivi vitu kama taifa, mnaiona Tanzania ya miaka ijayo ikiwa nzuri au inazidi kuharibika? Are we doing good enough or we could do better?