Mahusiano ya wazi ni dhana nzuri?

Mahusiano ya wazi ni dhana nzuri?

Mvinyo mpya

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
3,298
Reaction score
7,828
Kuna hii kitu inaitwa open relationship, yaani unakua na mtu wako ( tuseme mke au girlfriend) lakini anaruhusiwa kudinywa na mtu mwingine, vivyo hivyo wewe mwanaume unaweza kudinya demu mwingine!

Is it not good idea. Tuseme mkeo hapati mimba kwanini tuonane wivu? At the end of the day hakuna kitu kitabadilika ukifanya sex na mtu mwingine. Cha msingi ueleweke mahusiano makuu ni yapi.

What is your view. Mi naona ni idea nzuri.
 
Hayo uliyoandika ndio mahusiano ya wazi?
Au kuna kitu umechanganya?

Hapo kuna utofauti gani na umalaya?
 
Nachojua mahusiano ya wazi ni wewe na mpenzi wako kuwa huru,yaani unatambulika ofisini kwake,na anatambulika ofisini kwako.

Yaani humfichi hata kama hujamuoa wazazi na jamaa zako na ndugu zake wanafahamu mahusiano yenu.

Hicho ulichosema wewe ni uchafu na si sifa nzuri,hakuna mtu ambaye anapenda kushare,ndiyo maana hata mwanamke anayejiuza,hapendi mpenzi wake ajue anachofanya.
 
Idea nzuri?!
Na hizi UTI sugu, utangotango na homa ya ini vilivyojaa mtaani.

Hapa ni kujiandaa kuwa mgonjwa tu.
 
Kuna hii kitu inaitwa open relationship, yaani unakua na mtu wako ( tuseme mke au girlfriend) lakini anaruhusiwa kudinywa na mtu mwingine, vivyo hivyo wewe mwanaume unaweza kudinya demu mwingine!

Is it not good idea. Tuseme mkeo hapati mimba kwanini tuonane wivu? At the end of the day hakuna kitu kitabadilika ukifanya sex na mtu mwingine. Cha msingi ueleweke mahusiano makuu ni yapi.

What is your view. Mi naona ni idea nzuri.
Ninamiliki wivu mwingi kuliko fedha.Siwezi kukubaliana na ubolizozo huo.Nunca!
 
kuna mambo tunafanya faragha ...kwamba mke wako unajua katoka kunyonya ya mwingine....huo ni ushoga
 
Umesahau kwamba ni lazima upate ruhusa ya mwenzi wako kabla ya kutoka.

Open relationships zinaongoza kwa kuachana.
 
Na magonjwa yote yaliyojaa?
Hii forum kweli ina ma great thinker wa hovyo..!!
 
Nilifikiri mahusiano ya wazi katika upande wa uaminifu na kuambizana ukweli.
Kumbe ni ujinga ujinga tu.
 
Back
Top Bottom